Kwa sasa, huenda hawa wakawa ndio Wanawake bora wa kuoa

Nitakutumia hiyo video ya yule baba anasema nani anasema mimi si Gen Z, mmenizaa? mna kadi yangu ya clinic?

Nilicheka kinoma!
 
Hii ya mpaka kifo kitutenganishe majanga matupu😁

Hii ya mikataba nayo inachangamoto zake.

Tukubali tu kwamba Kuna mahali wanaume tumeteleza. Sina lengo la kubagua au kuleta matabaka, la hasha. Mke anapatikana popote na atakua kama wewe utakavyompeleka.

Newton's third Law of motion " To every action, there is equal and whaaat....?" Malizia mwenyewe mkuu.

Malalamiko ya wanaume yamezidi sana.
 
Mi mwenyewe nakujaza tu lakini huna ubabu huo hata huyo Eroni na Grahams hawana uzee huoooo hata 50 hawana nina uhakika, msitufanyie hivyo jamani mnatunyima nini huko kwenye ubabu acheni uchoyo πŸ˜…πŸ˜…
 
Ooooh Lord!! Na ukizingatia huu mtandao ndio faraja yao kwa Tz, maana hawajulikaniπŸ™†β€β™€οΈπŸ™†β€β™€οΈπŸ™†β€β™€οΈ
πŸ˜…πŸ˜… na ukiwajua wanakuwa wakali balaa
 
Mi mwenyewe nakujaza tu lakini huna ubabu huo hata huyo Eroni na Grahams hawana uzee huoooo hata 50 hawana nina uhakika, msitufanyie hivyo jamani mnatunyima nini huko kwenye ubabu acheni uchoyo πŸ˜…πŸ˜…

Kwahiyo umesadiki maneno ya Binti kiziwi? Unaniruhusu niweke NIDA hapa mjukuu? Hao wote umewataja hatuachani umri Kwa mbali, amekosekana Watu8 swahiba wangu. Umri umesogea sema tumeamua kukubali matokeo kwamba wakati umetutupa.
 
Kwahiyo umesadiki maneno ya Binti kiziwi? Unaniruhusu niweke NIDA hapa mjukuu? Hao wote umewataja hatuachani umri Kwa mbali, amekosekana Watu8 swahiba wangu. Umri umesogea sema tumeamua kukubali matokeo kwamba wakati umetutupa.
Niwekee pm ila si utaniwekea ya kaka zako weee nimekushtukia
 
Asilimia kubwa ya rangi tofauti,wanaume walio wengi wanazitakaga wenyewe. Hivi,unaanzaje kudeti mwanamke mwenye umri sawa na mwanao? Kama kazi wana sifa za muombaji,iweje kwenye ndoano watu washindwe kufata vigezo? Unajua mwanamke ana mtu au watu,mwingine anakuweka wazi,unaomba kuwa spea tairi,unaridhia. Baada ya mda,unaanza ohh simuelewi,mara nikimupigia hapokei. Barmaids hao hao,mnajua wengi wanaliwa kwa pesa. Kila siku yupo mwenye hela zake,kesho wewe unaanza ohh leo mambo hayajakaa sawa. Unategemea nini?
 
Nakazia hapa
 
Bado

Bado natafakari kuhusu mwanamke.....
 
Jamaa yangu moja kuna demu alikuwa naye anafanya kazi hotelini kila akisafiri kwenda huo Mkoa alikuwa analala hiyo hotel anajupigia huyo demu.Mwaka jana ameoa kabisa-hakutaka mambo mengi.
Una uhakika hakukuwa na wengine waliokuwa wakisafiri kuelekea mkoa huo,kulala Hotel hiyo na kujipigia? Kwa sasa,oeni kuzaa tu watoto,jifunzeni kulea wenyewe,mambo mengine waache na akili zao wenyewe.
 
Niwekee pm ila si utaniwekea ya kaka zako weee nimekushtukia

Nikiimaliza kuwaasa vijana kuhusu mambo ya kuoana ntakuthibitishia uhenga wangu kama ulivyoomba na siwezi fanya fraud.

Lakini tukirudi kwenye hoja, inamaana mjukuu mmekua matata namna hiyo hadi vijana hawaishi vikao vya dharura kuumiza vichwa kuhusu mambo ya kuoa? Au ni kuogopa majukumu tu?

Uthibitisho wa awali, hivi ni vyakula vya Babu..









Kuna Gen Z hapo?
 
Nafarijika sana kuona ombi langu linakumbukwa, nileteeni huyo mwali na kazi nae
 
Kuweni na imani na Wazee πŸ€—

Tatizo Vijana Hamtaki kututumia Wazee wenu vizuri, sisi kutokana na uzoefu na umri tulionao, tunaweza kuangalia mke mtarajiwa tukasema pale yaliyomo yamo ama hakuna 😜
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…