Kwa sasa, huenda hawa wakawa ndio Wanawake bora wa kuoa

Muhimu mi na wewe tunapendana...hayo mengine nakuachia wewe😍
 
Majuzi niliandika uzi kwamba kuzaliwa mwanaume ni hatia, nikimaanisha kwamba dunia haitajali chochote kuhusu mwanaume, uzi wako umethibista nilichokiandika. Wewe umesukumwa na huruma kwa magumu ya mwanamke na unataka kumuokoa na magumu hayo ili upewe reward ya sex, lakini haujali kwamba kuna wanaume wenzako wanapitia magumu pia.

Kwa kifupi unasema kwamba tuoe wanawake wenye hali ngumu na waliopitia sexual harassment, hao ni hatari sana mzee baba, kwanza wanaishi na trauma za mahusiano yao yaliyopita, to her you will always be a suspect, pili atajishikiza kwako akiwa na shida pale atakapojipata baada ya wewe kumuwezesha ataenda kwa mwanaume wa ndoto zake.

Kama suala ni kumsaidia ilo ni jukumu la wazazi na ndugu zake, acha kimbele mbele cha kubeba jukumu ambalo halikuhusu. Kumbuka mwanamke ana uhuru wa kukuacha bila kukulipa compensation ya gharama ulizoingia kwa ajiri yake, na kama mmefunga ndoa atapata na mgao wa mali zako, yaani mwanamke anakupiga na bado ana reward ya kisheria kwa upigaji aliokufanyia.

Uplift your fellow men, these hoes aint loyal
 
Wakishapata pesa utaona watakavyobadilika
Nb..sio wotee
Wakishapata walichokifuata kwa mwanaume hapo ndipo wanaanza kujiita ferminist, superwoman, malkia wa nguvu, strong woman n.k tena kama uyo mwanamke hana aibu usishangae akasema wewe mwanaume uliemwezesha ndio ulikua kikwazo cha yeye kufanikiwa ndio maana alidai talaka, mfano mzuri ni cristina shusho.
 
Ngoja legend Graham akuthaminishe
Kwa Wajukuu tuliopata Posa nyingi wakati wa kumuozesha ni huyo, mumewe amepata Chuma hasa kuanzia height, namba 8 iliyosimama, rangi ya Dubai bila kusahau brain with beauty🤗

Yule Mumewe Mpare pamoja na ubahili wote ule, lakini alitoa Pochi Nene kwaajili yake 😜
 
Haaaaaah! Kumbe Mali ipo secured
 
Sheria ipitiwe upya, wake wataitumia vibaya kujipatia maslahi
 
Kunguru hatufiki!, hao unaosema ni watiifu wameshazoea pesa za ofa zile za keep change, kama ulivyosema wametembea na wanaume wa kila aina, wanawezaje kutulia na mmoja? kuchepuka kwao ni kama 22/7 huwez wabadilisha.

Hakuna wanawake wanaogawa kama hao wasaidizi wa mama ntilie,unajua kuna wanawake walishajichoka hawana future wanakula tu ili waishi kwao A na B yote majibu, kuwa makini.

Tafuta mwanamke unayeona anakufa katika hali zote, usiseme walokole wanafaa, au wahasibu wanafaa biashara itakukata
 
Kumbuka hao maafisa wa huduma ya bia ni vipozeo vya wanaume wengi wenye stress majumbani kwa io unapomwoa mmoja unaacha ukame kwa wanaume wenzako wengi.
mi naonaga apa mtaani akiletwa baamedi mpya mji mzimaunaamia apo, afu we ndo unataka uoe uyo wafikilie ata wanaume wenzako basi[emoji851][emoji851][emoji851][emoji851][emoji851]
 
Natafuta Ajira akiiona hii post Dunia inaweza kupasuka... Yule mwamba terminology ya huruma kwa wanawake alishai-delete kichwani kwake ikaondoka na ubongo... Namkubali sana yule mwamba.
 
Wakati mwingine mwanamke anaweza kujakwako kwa lengo la.kuku dhuru

Lakini mema yako kwake yaka mbadili hakili aka angukia kupenda nakujitoa bule kuwa mlinzi wako hata kwa gharama ya maisha yake

Na asikuache kamwe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…