Kwa sasa Ufipa na Msoga damu damu na hii ndio siasa!

Anahaki ya kumchukia kwa nyama aliofanyiwa
 
Siasa za matukio mbaya sana, mwishowe utashangilia hata jambo litakalokuweka mtegoni mbele ya safari, bora liende tu, bado upinzani haueleweki seriously hasa wanachama na mashabiki wake.
Nimekuelewa bwashee!
 
Ndoa hii haiwezi kudumu miaka yote hiyo. Muda si mrefu mzee wa ubelgiji atageuza upepo na kama unavyojua nyumbu na wao wataufata. Kwa sasa inayotafutwa ni timing tu.
Yule Mfu aliwafanya mukaona wapinzani Kama magaidi hata kuwapiga risasi mchana na mkaona aina shida na kushangilia. Mwambieni akawaamlishe malaika kuuwa pia. Alafu mijinga Kama wewe unashangalia
 
Uo Utafiti ulifanywa kipindi kile Mzee wa Msoga yupo Ikulu na ndiyo CCM wakiogopa kuvaa na nguo zao mtaani kwa kuogopa kuzomewa ila si sasa..!! Ukiniambia sasahivi kuna upinzani Imara kama wa 2014 ni uongo. Ata sasa wanamsifia Mama tu kumjaza na Mama namuona na muoga wa kukosolewa na kusemwa vibaya lakini ajue anauchaguzi mgumu sana 2025.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
2025 magufuli ndiye atakuwa rejea ya chadema katka kampaign.

Na mbaya zaidi nyumbu,kuku,mbung'o hasa hawa wanaomtukana watamshangilia sana[emoji28][emoji28].

Hiyo ndio siasa bwana.
Bado unaangaika na ibada ya Mfu.ndiyo mkome kuabudu watu
 
Wajane wa yule dhalim mwendazake mnahangaika kama kuku anayetaka kutaga
 
Bado unaangaika na ibada ya Mfu.ndiyo mkome kuabudu watu
Magu yuko katika mioyo ya watu,ishieni kumnanga hapa hapa jf na huko twitter,otherways mtabakwa na wananchi.

Kama kafa na hana madhara tena,si muendelee na biashara zenu za kuuza vishimo!!![emoji23][emoji23]

Lissu,mbowe,ni wajanja sana,ukichunguza move zao wanamkwepa jiwe,wakimkataa wanamkataa na mama pia,nyinyi wajinga wajinga wahanga wa vyeti feki,mnarukia kila tawi.
 
Sasa hivi ndivyo limekuwa kuni za kuwachomea madhalim wenzake huko jehanam
[emoji16][emoji16][emoji16]nakuona unavyoteseka mkuu.

Kwani si tulikubaliana baada ya kifo cha magu ni kazi na bata,au imabadirika na kuwa kazi na mabata[emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…