Vyovyote vile ilivyokuwa haiondoi ukweli kuwa magu alikuwa shetani katika umbo la binadamuHuyu jamaa alitumbuliwaga kwa kuwa na vyeti feki ; namfahamu vizuri sana. Yeye alitumbuliwa na baada ya miezi minne tu kutumbuliwa! Ndowa yake ikavunjika, na mshikaji alikuwa na mkopo benki! baada ya mwaka mmoja na miezi sita , bank iliuza nyumba na mashamba yake mawili. Ndo maana anamchukia uncle magu huyo.
Aaamen...sawa kabisaVinaudhi ndugu yangu, Azory, Ben, Mawazo, Cococ beach dead bodies ni watanzania kwanini waliuawa? ...wako wapi? Lisu na Lema wako wapi? unadhani wanafurahi kuwa uhamishoni? Biashara za watu ziko wapi? Watu wanaozea magerezani, kesi za kubambkikiwa kwanini? Watu wamekufa kwa covid 19 kwa ajili ya msimamo wake wa kishenzi etc etc etc....Hapana wacha lioze huko (nami nitaoza lkn sina mtu niliyemuua/muonea)
Tuna tabasamu pana nyusoniNO, a big NO, I am relaxed he is gone forever!
Mke wangu vumilia miezi tisa siyo mingi utajifungua salama maisha yataendelea.Ikitoka hii yako utazaa kufidia.
Chama tawala na upinzani hawajawahi kuwa kitu kimoja,maana nguvu ya upinzani ni kuvizia makosa ya mtawala,yeye mpinzani akinasibu kwamba hatafanya kama mtawala.Hii ni zaidi ya siasa, huu ni undugu.
Jiwe aliifarakanisha sana nchi yetu hadi hili linakuwa ni jambo la mjadala!
Ndio ushangae hawa wapinzani wa jf wanaoongozwa na njaa[emoji1][emoji1]Chama tawala na upinzani hawajawahi kuwa kitu kimoja,maana nguvu ya upinzani ni kuvizia makosa ya mtawala,yeye mpinzani akinasibu kwamba hatafanya kama mtawala.
kumbuka enzi za JK waliopiga kelele sana juu ya safari nyingi ni upinzani,juu ya ufisadi,na nchi kukosa hata ndege moja,ni wapinzani.
leo hii kuna kitu wanakitafuta bado hawajakipata,wakikipata tu rangi yao halisi utaiona.Chui hawezi kubadili madoa yake.
Mashavu si mchezo wabelgiji wanajua kucare ndo maana hataki kurudi kwao,pamoja na mwendazake kuchukuliwa na Israel.Mzee wa Ubelgiji anawasalimu kwa jina la Jamuhuri ya muungano wa Tanzania😂😂😂😂
View attachment 1797539
View attachment 1797540
🤣🤣🤣Inapendeza kuona wana Ufipa na wenzao wa Msoga kwa sasa wana mshikamano mkubwa baina yao.
Ni vema mshikamano huu ukaendelea hadi 2030 ili amani itamalaki nchini kwetu na wale walioko Ubelgiji na Canada waweze kurejea
Inapendeza sana.
Kazi Iendelee!
Kazi iendeleee...........Mzee wa Ubelgiji anawasalimu kwa jina la Jamuhuri ya muungano wa Tanzania😂😂😂😂
View attachment 1797539
View attachment 1797540
Kabisa! Huku chadema wakidemka mi 10 tena kwa mamaMagu analiwa na funza fashisti mkubwa ananuka ile mbaya mida hii
Kabisa!Potelea mbali, bora jinamizi, nunda mla watu halipo. Jitu katili la roho za watu halipo. Shetwaini Lucifer halipo. Wcha waende Msoga, potelea mbali
Kabisa! Huku chadema wakiimba mi 10 tena kwa mama na 2025 belgiji asisogeze pua yake hukuSukuma Gang imekufa na FASHISTI NDULI MWENDAZAKE
Nchi ina amani balaaMagu analiwa na funza fashisti mkubwa ananuka ile mbaya mida hii
Bado yule mgogo mwenye kiparaCha muhimu yule pepo amekufa
ndio maanaHuyu jamaa alitumbuliwaga kwa kuwa na vyeti feki ; namfahamu vizuri sana. Yeye alitumbuliwa na baada ya miezi minne tu kutumbuliwa! Ndowa yake ikavunjika, na mshikaji alikuwa na mkopo benki! baada ya mwaka mmoja na miezi sita , bank iliuza nyumba na mashamba yake mawili. Ndo maana anamchukia uncle magu huyo.
Kabisa!Nchi ina amani balaa
Amsterdam anajua kulea wewe acha tu!Mashavu si mchezo wabelgiji wanajua kucare ndo maana hataki kurudi kwao,pamoja na mwendazake kuchukuliwa na Israel.
Kabisa! Dhalimu kaondoka na ccm itakuwa inajipigia tu kiulaini maana majamaa yamejipeleka yenyewe kibraVinaudhi ndugu yangu, Azory, Ben, Mawazo, Cococ beach dead bodies ni watanzania kwanini waliuawa? ...wako wapi? Lisu na Lema wako wapi? unadhani wanafurahi kuwa uhamishoni? Biashara za watu ziko wapi? Watu wanaozea magerezani, kesi za kubambkikiwa kwanini? Watu wamekufa kwa covid 19 kwa ajili ya msimamo wake wa kishenzi etc etc etc....Hapana wacha lioze huko (nami nitaoza lkn sina mtu niliyemuua/muonea)
Pambana na hali yakoKabisa!
Chini ya ccm ya mama Samia kila goti litapigwa!
Belgiji aendelee kukaa kwa amsterdam kwanza sisi tuko na mama,
Mi 10 tena kwa mama na ccm mbele kwa mbele