Kwa sasa Ufipa na Msoga damu damu na hii ndio siasa!

Linatoa calories nyingi za kuwachoma mauaji menzake, loh sijui lilizaliwa wpi na ukatili ule.
Lilikuwa baya sana!

Sasa hivi mi 10 tena kwa mama na belgiji aendelee kulelewa kwa amsterdam kwanza
 
Kabisa! Dhalimu kaondoka na ccm itakuwa inajipigia tu kiulaini maana majamaa yamejipeleka yenyewe kibra
Bora waibe lakini tuna amani yule alikuwa anapakuwa haswa na watu wachache sn alafu ikijengwa hata choo mtasimangwa mpk basi, suala la maendeleo kila mtu ajitafutie mradi tuwe huru
 
Bora waibe lakini tuna amani yule alikuwa anapakuwa haswa na watu wachache sn alafu ikijengwa hata choo mtasimangwa mpk basi, suala la maendeleo kila mtu ajitafutie mradi tuwe huru
Kabisa mkuu!

Tuko vizuri chini ya ccm ya mama! Mi 10 tena kwao tafadhali.
 
Wapizani wasidangajike, SSH hatawapa katiba mpya Wala tume huru, upinzani utaendelea kunyolewa tu. Endeleeni kumsifia mama. CCM ni ile ile.

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Kwa wale wa enzi hizo, kumbukeni bango la urafiki wa wanyama. Simba anapiga gitaa, sungura anacheza na Tembo anapiga drum. wanyama wengine wanacheza dansa. Mwishowe walitafunana balaaaa
 
Yale mateso ndiyo yamewaunganisha.
Natabiri utengano baada ya mmoja kushiba na kulewa.
Samahani lakini.
 
kwahiyo wewe ilikuwa ni furaha kwako kwa madhila aliyokuwa akiptia huyo jamaa?

kwann unapenda kuona binadamu mwenzio akiteseka? huoni kama ni roho ya ushetani, maana hapa duniani sote tunapita tu, huzikwi hata na shilingi mia yako mfukoni, regardless mamilioni ulionayo..

kama ishu ya vyeti feki na unadhani jamaa alistahili kupitia hiyo adhabu, vipi mbona kulikuwa na double standard kwa wengine kufukuzwa na wengine kubaki? i hope fununu za Mako na Bashite ulizisikia, na kipi kilifanyika? Saanane alikuwa akihoji juu ya elimu ya nani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…