Mahondaw
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 67,252
- 168,563
Uchumi unapoelekea anajua alie juu tu walai!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Uchumi unapoelekea anajua alie juu tu walai!
Kwa kila mtu ana haki ya kusema analo ona ni sawa lakini kwa namna hali ilivyo je hata wengine wakipata nafasi wanaweza kulifikisha taifa sehemu tunayo dhani linaweza fika?Mkuu umemaliza kikwazo kikubwa cha maendeleo ya nchi yetu ccm .
Mahondow Kama jambo lipo sawa ni vizuri kulisema, kama uchumi wa watu wa chini una mashaka inawezekana pia kutoa namna ya mambo yafanyike ili kunusuru, alipo yeye au wao mpaka kujua na kuelewa hali za wa chini ni ngumu mno.Uchumi unapoelekea anajua alie juu tu walai!
Mkuu naheshimu sana andiko lako na ni nzuriKwa kila mtu ana haki ya kusema analo ona ni sawa lakini kwa namna hali ilivyo je hata wengine wakipata nafasi wanaweza kulifikisha taifa sehemu tunayo dhani linaweza fika?
Nadhani haya tunayo hitaji ni zaidi ya hili wana jamii
90% ya viongozi wetu Wana sera binfasi na sio ya Nchi , ndio maana wanawafundisha kila mtu awe mla rushwa , injinia, Daktari, Mwalimu, polisi NK NKShukrani sana nikweli kabisa Benny Haraba huenda wapo wa namna hiyo lakini yakijadiliwa nadhani haitoweza kutokea viongozi wa namna hiyo
Mahondow Kama jambo lipo sawa ni vizuri kulisema, kama uchumi wa watu wa chini una mashaka inawezekana pia kutoa namna ya mambo yafanyike ili kunusuru, alipo yeye au wao mpaka kujua na kuelewa hali za wa chini ni ngumu mno.
Na ni ngumu kubadilisha hali ya watanzania wote kuwa sawa, ila inawezekana kubadili mfumo wa vitu vinavyo wakutanisha watanzania hata wa chini akipata changamoto basi anapoingia sehemu za uma ana ona afadhali mfano hospitalini, kwenye usafiri, na mengine ya kijamii.
Shukrani sana, inawezekena ni kweli yapo lakini wenye nia ya kweli huenda ni wachache na hiyo kutokana wengi wetu hatuna uwezo wa kureasoning kiasi ambacho wenye nia na walio wengi wakaona kana kwamba hawapewi kesi naweza sema kuwa offended. Cha msingi wenye nia nzuri na wenye hayo mawazo wanabidi kuyagusia na kuyapeta juu taratibu kwa sababu namna mambo yanavyo enda duniani tukishangaa tutakuwa na maisha magumu sanaMkuu naheshimu sana andiko lako na ni nzuri
Lakini ukweli ni huu maandiko na mawazo mazuri kama haya ya kwako serikali wanayo lakini wameyafungia kwenye makabati
Maendeleo tuliyonayo na rasilimali tulizonazo haviendani
Ccm imekuwa ni chama wizi ruswa na ufisadi na kwenye mambo haya hamuwezi kuwa na maendeleo
Hili nilikuwa sitambui kwahiyo kwa maana hiyo nchi inayotaka kuendelea lazima iwe na sheria kama za Torati ama Msaafu kosa moja kubwa ni litakufanya uweke maisha yako rehani right?Nchi yenye demokrasia, hata demokrasia uchwara-haiwezi kuendelea.
Hili ni changamoto kama hali ni hii August, lakini naimani inawezekana kulitatua wapo viongozi bado wana uchungu na upendo kwa taifa ama?90% ya viongozi wetu Wana sera binfasi na sio ya Nchi , ndio maana wanawafundisha kila mtu awe mla rushwa , injinia, Daktari, Mwalimu, polisi NK NK
Wapo lakini jinsi ya kupita katika msitu wa mafisi ndio shida, labda itoke tu kwa mapenzi yake Mungu au wananchi wajieleweHili ni changamoto kama hali ni hii August, lakini naimani inawezekana kulitatua wapo viongozi bado wana uchungu na upendo kwa taifa ama?
Kwani ukiwa hauna demokrasia ndiyo unakua hivyo?Hili nilikuwa sitambui kwahiyo kwa maana hiyo nchi inayotaka kuendelea lazima iwe na sheria kama za Torati ama Msaafu kosa moja kubwa ni litakufanya uweke maisha yako rehani right?
Mkuu 'Rijali jandoni', nikushukuru tena kwa kuanzisha mada muhimu sana kama hii hapa JF.Wow, well narrated, nimependa ulivyo shuka kuanzia kichwa nini la msingi na hitimisho.
Nitalifanyia kazi kuhusu mpangilio na kuhusu south korea pia nimeeleza japo nimejumuisha kwa ujumla na kuto chambua kitu kimoja baada ya kingine.
Kuhusu swala la wasomi na wenye ujuzi wa mambo baadhi ya kulisaidia taifa nilishawahi lifikisha sehemu muitikio ulikuwepo tatizo ni namna ya kuliwasilisha kutokana na mambo yanavyo enda kwa sasa watanzania tukiweza muda kwenye teknolojia na maendeleo waliopewa dhamana wangeweza onesha zaidi kwenye hayo maswala.
Tatizo ni kwamba nguvu yetu itakapo lalia kiongozi hana budi nae kuonesha nini watu wanataka waone lakini naimani itafika wakati watu watafunguka ila itakuwa muda umeshaenda japo tukiwahi tunaweza kuelekezea upepo huko kwenye mapinduzi ya kiuchumi.
Tume ichezea sana ellimu yetu, na sasa inatugharimu sana kama taifa.Mada nzuri Sana hii, kwa kuongeza at least kwa upande Wangu, hasa hapo kwenye Human capital, nashauri shule zetu zibadilishwe kabisa (total reform) kutoka kwenye ufaulu Hadi kwenye skills development!
Wakati nasoma primary, I think darasa la TATU au la nne, tayari nilikua na tuta la spinach, mchicha n.k. Kaka Zangu walikua na mabanda ya sungura, Kaka Yangu mmojawapo alikuja kutengeneza Banda zuri Sana la Kuku!
Tulikua na mafundi -technicians wazuri Sana WA kidato cha nne..... Leo hamna kitu
Amin ni kweli kabisa kazi sio nyepesi AugustWapo lakini jinsi ya kupita katika msitu wa mafisi ndio shida, labda itoke tu kwa mapenzi yake Mungu au wananchi wajielewe
Hapana kukosa demokrasia sio lazima kufanya hivyo, lakini kwa mifumo ya namna hiyo kuhukumu na kutoa adhabu pasipo kuzunguka huwa inafanyika hasa nchi zenye mifumo ya kifalme, kuendeshwa na dini moja ama chama kimoja.Kwani ukiwa hauna demokrasia ndiyo unakua hivyo?
Kalamu ahsante sana nime quote hiki kipande, ni kweli kuna muda tunatafuta wawekezaji wakubwa na tuna watamani tatizo lina angukia pale kwenye point yako ya rasilimali watu, wawekezaji wa ndani wakipewa mazingira mazuri wanaelewa soko letu kwa uzuri na undani.Tatizo kubwa zaidi linalo tukabili sisi kama wananchi, ni hizi fikra za kudhani kuna watu toka huko nje watakao kuja kuijenga Tanzania na kuleta maendeleo;