Kwa sisi wanaume tuliooa, ukiacha tendo la ndoa, mke wako anakusaidia kwa lipi?

Ndipo swali lilipo; kwa sababu kwa nyakati hizi, nje ya tendo la ndoa wengi wao hawana msaada mwingine.
Ukimpata 'wautulie' waweza pata nanufaa ya kusaidiwa kazi ndogo ndogo, msaada pale unapougua ama matatizo mengine ya kilimwengu, kukulelea familia nk nk.

Lakini ukipata mwanamke wa hovyo, hakuna lolote la maana analokusaidia, sana sana ni kukuvuruga saikolojia na kukubebesha majukumu yasiyostahili kama usingelikuwa naye.

Maana hata tendo la ndoa lenyewe si msaada wala manufaa.
 
Tutumie njia zipi kupata mke mkeo? Kwa sababu najua hapo ndipo kwenye shida

Ni swala la kuomba Mungu tu akupe wa kufana nawe.

Ndoa za sasa ni changamoto.

Wengi wanaishi na wake zao lakini hawajui behind the scene mauchafu wanayoyafanya siku wakigundua ndipo matatizo yanapoanza...kuomba Mungu kupata mwanamke aliyetulia ,mwanamke akitulia na kuwa MKE MKEO na mwanaume naye anatulia na ndiyo maana vitabu vya dini vinasema Mwanamke mpumbavu huivunja ndoa yake kwa mikono yake mwenyewe so anayevunja ndoa siku zote ni mwanamke ,UKIONDA NDOA IMEVUNJIKA ujue aliyeivunja ni mwanamke.
 
Wanaume wengi hufa mapema sababu ya direct au indirect pressure toka kwa wake zao. Mwanaume akipata maendeleo kinachofuata ni ndoa ilihali mwanamke akifanikiwa kinachofuata ni talaka. Wanawake wengi wakiwa huru kiuchumi huwa hawana time na ndoa.
Mwanamke akipata financial freedom lakwanza ni kuondokana na mwanaume maishani mwake. Hatari hawa viumbe. Ni kuwagegeda tuu
 
Umeandika mambo mazuri lakini ni irrelevant na characters za wanawake wa kisasa
 
Hakuna kitu, maana, kwanza wengine tunaishi mbali, mkoa mwingine, hiyo huduma tunapata kwa vitoto vya 2000,kitu pekee ni kupikia na kutunza watoto, na kuhudhulia jumuia,
Thank God, kazi yangu inaniweka bize, na ni kitu ninachokipenda, kama kula wali kuku,
Ndoa za siku hz, headache tupu, mabinti wanaolewa, kusafisha nyota,basi, maana, kwao,tendo la ndoa, limeishawakinai! Wanapigwa pipe tangu primary! Hakuna kitu
 
Hii inawezekana labda ni kutokumpata mtu sahihi
 
Kabla hujaoa either umempata mjini au kijini,awe na mali asiwe na mali,hakimisha IQ yake ipo vzr kuna watu darasa la 7 lkn wewe wa chuo unaweza usiwe namawazo km yake sometimes becomes,huyo ndio wakuoa
Asilimia kubwa, wengi hukimbilia kuoa kutokana na muonekano wa mtu; je uko tayari kuoa mtu ambaye hajakuvutia ila ana IQ kubwa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ