Kwa sisi wanaume tuliooa, ukiacha tendo la ndoa, mke wako anakusaidia kwa lipi?

Kwa sisi wanaume tuliooa, ukiacha tendo la ndoa, mke wako anakusaidia kwa lipi?

mwezi unasiku 30, huyo mwanamke ana siku 4 za period, lakini huyo mwanamke anapokaribia hiyo period atapitia maumivu ya tumbo kiuno na mgongo, kwa namna atakavyokuwa anaumwa utaona aibu kumuomba hizo siku zitoe wengi wao hudumu hapo kwa siku 3, ukizitoa kwa mwezi utashangaa zimebaki siku 23 tu, ambao mwanamke atakupa tendo. Hizo ni given utake usitake.

Zipo sababu zingine kama ugonjwa, stress za mhusika hapo utagundua kwa mwanamke mmoja huwez pata tendo kwa asilimia 90, Kumbuka tumesema ndoa ni zaidi ya tendo la ndoa, hapa nimekuonyesha ni kwa namna gani huwezi pata uhakika wa tendo kwa asilimia 90 unazosema, labda upate nje ya mke.
Lkn sija maanisha kila siku bruh
 
Kwanini ufuge n'gombe ilihari nyama na maziwa vinapatikana mtaan tena Kwa Bei chee.
kumbuka mtaani hayo maziwa unauziwa mkuu, ng'ombe wako hawezi kukuuzia maziwa, ukienda kununua nyama utanunua nyama tu kila kitu na bei yake, maini bei yake, utumbo bei yake, steki bei yake na nyama ya kindali bei yake. lakini ukifuga ukaamua kumchinja, unapata vyote bure,

Faida nyingine utapata mbolea, buree, ngozi bureee nadhani hapo utakuwa umeelewa umuhimu wa kufuga, kwa kujazia ukienda maeneo ya wafugaji nyama sio kitu cha ajabu sana, wakat huku mjini nyama inaliwa kwa bajeti kulingana na kipato cha mhusika
 
Binafsi Mke wangu ni Msaidizi wangu kwenye mambo mengi, mathalani;

Ananisaidia kusimamia baadhi ya miradi tuliyoanzisha pamoja (Nafanya hivi Kwa kujua kwamba nitawahi kufa kabla yake, hivyo Jukumu la kulea watoto litabaki kwake).

Anasaidia malezi ya watoto wetu

Anasaidia kunipa Utulivu wa mwili na akili
Kwamba utakapokufa ale na mwanaume mwingine?
 
Kwamba utakapokufa ale na mwanaume mwingine?
Ale nao tu, unadhani nyege zake atakuwa anaziondoa nani nikifa?

Muhimu watoto wangu awakuze, ahakikishe wanasoma Shule nzuri hadi watakapohitimu na kuanza kujitegemea, maana tayari nimeshawaandalia miradi itakayowasaidia kupata Ada Kwa level zote.
 
Kwa hiyo,hawapo waliokosa vyote? Asiejielewa kwenye 30, ukifika 45 ndo atajielewa?
Hao wapo, japo Kibongo Bongo mtu mwenye 30 anakuwa ana utoto mwingi. Yaani ukikuta mtu ana 30 halafu ana behave kama mtu mzima, ni wachache mno.

Wengi wa rika hilo wameangukia kwenye Ulevi/mademu/Kamari

Wakifika 45, almost asilimia 90 watakuwa tayari Wana familia, hivyo possibility ya kuchange huwa ni kubwa kuliko at age below 40
 
Hapana atatangulia yeye,
Kwanin uwaze ivyo?

NImetania tu.
Zipo factors nyingi ikiwemo Umri, Mke wangu nimempita almost 8 yrs

Utafutaji, Wanaume hatutulii sehemu moja, hivyo tumekuwa ni watu wa kusafiri Usiku pamoja na nature ya kazi zetu wakati mwingine. Kupoteza maisha ni jambo la dakika 1 tu.

Stress za Kazi/Familia/Kipato kuyumba n.k

Imagine unasomesha watoto ambapo unatumia zaidi ya 10M kulipa Ada, halafu ghafla kipato kikashake, lazima uvurugwe. Kama utakosa Utulivu, ni rahisi kupoteza maisha Kwa kuzalisha MaPresha/Visukari n.k
 
Binafsi ananisaidia mambo mengi hata hayaelezeki. Miongoni mwao hayo ni
1. Msaidizi wangu mkuu
2.Mlezi mkuu wa watoto wetu
3. Kila akipata NAFASI ya kumwomba Mungu,lazima aiombee ndoa yetu hasa Mimi
4. Ananisaidia kunishauri mambo MBALIMBALI
5. Ananisaidia kusimamia shughuli zetu.
 
Hayo yote uliyoyataja yanapatikana nje ya ndoa kwa gharama nafuu, amani, utulivu kuliko kwenye ndoa.

Nitazungumia hili moja kama mfano,

Usimamizi wa miradi, Kuna uwezekano hajachangia mtaji, anaiba pesa kama wanavyofanya wafanyakazi na mwisho wa siku hizo mali ni zenu wote. Ila ungeajiri mtu ungemlipa pesa kidogo kuliko unayotumia kumtunza mkeo na familia yake na mali zingebaki zakwako pekeako.
Binafsi nimemwamini zaidi Mke wangu kuliko hao wafanyakazi unaowasema.

Na baadhi ya miradi, mapato nimeyaelekeza kwenye akaunti yake.

Najua hata ikitokea tofauti nikafa ghafla, yeye ataweza kuwatunza watoto wetu hadi wakue.

Nilishafanya utafiti kwake kuhusu hela nimegundua ni mtunzaji mzuri sana wa hela kuliko Mimi, Mimi ni mtafutaji mzuri ila yeye ni mtunzaji mzuri

Ninaamini hata nikifa kesho, watoto wangu watakuwa sehemu salama zaidi Kwa Mama yao, kuliko ningewaacha Kwa ndugu zangu wa tumbo Moja, maana wao Wana watoto zao pia
 
Back
Top Bottom