mwezi unasiku 30, huyo mwanamke ana siku 4 za period, lakini huyo mwanamke anapokaribia hiyo period atapitia maumivu ya tumbo kiuno na mgongo, kwa namna atakavyokuwa anaumwa utaona aibu kumuomba hizo siku zitoe wengi wao hudumu hapo kwa siku 3, ukizitoa kwa mwezi utashangaa zimebaki siku 23 tu, ambao mwanamke atakupa tendo. Hizo ni given utake usitake.
Zipo sababu zingine kama ugonjwa, stress za mhusika hapo utagundua kwa mwanamke mmoja huwez pata tendo kwa asilimia 90, Kumbuka tumesema ndoa ni zaidi ya tendo la ndoa, hapa nimekuonyesha ni kwa namna gani huwezi pata uhakika wa tendo kwa asilimia 90 unazosema, labda upate nje ya mke.