Kwa tabiri hizi, CCM tukiendelea kumchekea Rais Samia soon tutageuka kuwa wapinzani!


Dr Samia Sululu Hassan ameletwa na Mwenyezi Mungu ili kuwakomboa Wa-Tanzania kutoka kwenye utawala wa JPM.
Mola ampe maisha marefu mama yetu.
 
Ipo hivi Samia karuhusu demokrasia kuvutia mabeberu na kutengeneza uhusiano bora na mabeberu, there was no way out, alijua akiendelea na siasa za JPM asingefika , anajielewa uwezo wake na anajua wazi pasipo misaada angekuwa rais mbovu kuwahi kutokea
Ni hulka yake tu, angeamua kuwachunia angewachunia na misaada ingeingia bila chenga.
 
Hoja yako sio dhaifu Sana, wenye akili tunaichukua na kuitafakari zaidi kadri muda unavyosonga! [emoji106]
 
Unajichosha Bure sana sana ukiendelea hivi unaweza usifike 2030
 
Samia najua wewe ni zao la upinzani kwa hiyo haishangazi unavyowatendea wapinzani". Jakaya anakumbushia historia ya Samia kuwa anayo damu ya upinzani. Kwa kuwa ni Mzanzibari basi kama anayo hisia za upinzani basi tujue ni muumini wa Serikali tatu.[emoji419][emoji375]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwani kuna shida yoyote upinzani kushinda kihalali? Watanzania ndio wanapaswa kuamua chama kipi wakipe madaraka

Nchi hii iko mikononi mwa Mama Samia, tumuachie achape kazi. Najua hana roho mbaya kwa wapinzani. Iwapo wapinzani watashinda atawakabidhi nchi, ila wanaCCM hawataki.
TUMUOMBEE
 
Nchi hii iko mikononi mwa Mama Samia, tumuachie achape kazi. Najua hana roho mbaya kwa wapinzani. Iwapo wapinzani watashinda atawakabidhi nchi, ila wanaCCM hawataki.
TUMUOMBEE
Hapo ndipo ndege itaanguka na kumwaga damu
 
Sisi Hatutaki kufosiwa kuwa punda wa sisiem.. Hatutaki hata kuwasikia
 
Cha msingi chadema waachane na lissu,wamtafute mgombea msukuma mwenye ushawishi mkubwa
Kwa udikteta, ugaidi na mauaji ya Yule BWANA, itachukua miaka 100 labda msukuma kuja kuongoza nchi hii, waTanzania wakimuona msukuma wanaona kivuli Cha Yule BWANA.
 
Menemene tekel na persin .
Nyerere alitabiri chama kisikilize watu wanasemaje ? Na chama kisiposikiliza anguko ni dhahiri !
Mwenye video na aitupie ya nyerere.
Utabiri wa JKN umetimia bado wa Lema.
Kwaheri ya kuonana chama cha mwaka 77.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…