Kwa tabiri hizi, CCM tukiendelea kumchekea Rais Samia soon tutageuka kuwa wapinzani!

Namkubali sana Nabii Dr Ian Ndlovu PHD. Miezi 11 iliyopita alitoa utabiri kwamba wakristo wote wamuombee Lady Presidents of East Africa country.

Kwani mungu alimuonesha anatembea kwenye sakafu halafu anateleza mara 2. Baada ya kumuuliza mungu akamwambia huko kuteleza ni 2 foolish decision ambazo atazitenda na zitapeleke upinzani mkubwa ndani ya circle yake na nje ya her circle yaani ndani ya ccm na nje ya ccm. Lakini pia aliendelea akasema itafika kipindi hata weza kutegemea wasaidizi wake kwani ndio watakaokuwa wanamuingiza chaka. Fuatilia hii video hapo chini kutoka divine Kingdom ministries

View: https://youtu.be/fgFjN5MzQVE

Ila alisema mamlaka ya uongozi hutika kwa mungu baba hivyo mungu mwenyewe alimpa uongozi SSH na inatakiwa tumuombee apate hekima ya kufanya maamuzi sahihi kwa wakati sahihi. Ila washauri na machawa wamemzunguka sana na wana influence decisions ambazo zingine si nzuri.
 
Shaloom wana wema!
Nianze kwa nukuu hii ya Jakaya Kikwete, "Samia najua wewe ni zao la upinzani kwa hiyo haishangazi unavyowatendea wapinzani". Jakaya anakumbushia historia ya Samia kuwa anayo damu ya upinzani. Kwa kuwa ni Mzanzibari basi kama anayo hisia za upinzani basi tujue ni muumini wa Serikali tatu.

Pili tukumbuke Urais wa Samia haukuwahi kuwa programmed si na chama wala "ofisi nyeti" bali limetokana na Mungu kuamua ugomvi kati ya Watanzania na Bwana yuleee ikabidi Katiba ielekeze Samia kushika hatamu za uongozi. Hatua hii imewafurahisha mno Wazanzibari kuliko Watanganyika wakiamini kuwa Mungu amesikia kilio chao cha miaka mingi kwamba huu ndio wakati wa kuipata Zanzibar huru kutoka makucha ya Tanganyika. Itawezekana?

Tuanze na utabiri wa Shekh Yaya Hussein mwaka 2005 mwezi April. Yahya alisema, "Rais atakayeshinda Uchaguzi Mkuu atatokea Pwani na anayo sura ya kike. Atakayemfuata atakuwa ni mwanamume kutoka Bara lakini baada yake huyo atakuja Rais mwanamke. Huyo mwanamke atakabidhi kwa upinzani". Kweli, alishinda Jakaya Kikwete kutoka Pwani akiitwa handsome boy. Akafuatia Magufuli kutoka Bara. Kisha akaja Samia Suluhu Hassan (mwanamke). Je, utabiri huu utafika mwisho kwa Samia Suluhu Hassan kukabidhi nchi kwa upinzani? Time Will tell.

Mwaka juzi 2021 Askofu na Nabii Ndlovu wa Zimbabwe alitabiri kuwa ameoneshwa katika njozi kuwa mwaka 2022 kuna ndege itaanguka katika moja ya nchi za Afrika Mashariki. Na itaanguka ndani ya maji. Akasema ndege hiyo ikiua watu, basi chama kinachotawala kitaondoka madarakani lakini kwa kumwaga damu. Isipoua kitaondoka kwa Amani. Hapo maana yake ni kwamba ndege lazima ianguke. Alitumia maneno, "rulling system must quit". Alipuuzwa na spinning doctors". Mwaka Jana ndege ya Precision Air ikaanguka Ziwa Victoria na kuua watu 19. Je, unabii huu wa Ndlovu utafika mwisho na hatimaye Rais Samia Suluhu Hassan kukabidhi nchi kwa upinzani?

Sasa tujenge hoja kwa uhuru wa kutoa maoni chini ya Ibara ya 18 ya Katiba.

Kinachoonekana ni Rais Samia Suluhu Hassan kurejesha demokrasia iliyokuwa imebinywa na mtangulizi wake JPM. Lakini ukweli ni kwamba ameenda mbali zaidi si tu kurejesha uhuru wa demokrasia lakini ameingia hata ndani ya vyama hivyo (Chadema) na kuwaimarisha kisiasa (rejea kauli ya JK hapo juu). Samia anakijenga Chadema hasa. Mwaka 2025 chama hiki kitavuna wabunge wengi sana sawa na hata nusu.

MUHIMU SANA: Katiba Mpya haitopatikana kabla ya 2025 kwa maana kwamba mtu yeyote asitegemee Uchaguzi 2025 utafanyika kwa Katiba Mpya, sahau maana inaweza kukiletea CCM shida kikaamua kumuondoa. Hivyo, msala huo atahakikisha 2026&7 Katiba Mpya inapatikana tayari upinzani ukiwa na nguvu kubwa. Hapo ndipo mpera-mpera wa Upinzani kuelekea 2030 utashika kasi naye hatowafanya kitu maana hatokuwa na cha kupoteza tena. Ifikapo 2030 upinzani utaweza kushinda lakini CCM itakubali kuachia Ikulu? Hapo ndipo ilipo unabii wa Nabii Ndlovu. Upinzani wakifanikisha hilo basi Serikali 3 haitokwepeka. CCM ikikataa kuondoka' Ikulu basi baada ya damu tutasuluhishwa na Jamii za Kimataifa ikiwezeka hata kugawana mkate. Mbowe analijua hili vizuri sana katika maongezi ya maridhiano. Lissu anaposema, "nasikia Kuna kugawana mkate" mueleweni.

Na ikumbukwe waliovujisha mkataba wa DP World ndio hao hao walio nyuma ya dili hili. Ndio walioshauri William Lukuvi na Abdalah Bulembo (maadui) wa Samia kisiasa kusogezwa Ikulu kufanikisha ajenda hii.

My Take: CCM kuweni makini mno na mahaba ya Samia kwa Upinzani kama bado mnataka kuitawala nchi hii. Mbowe si mjinga hata kidogo. Wajerumani, Wamarekani na EU are very smart in the deal. Kuweni macho kabla utabiri wa Nyerere nao kutimia, "Upinzani wa kweli utatoka ndani ya CCM". Hayo ndiyo yangu kwa Leo. Mkiona Kuna hoja chukueni mkiona ni upuuzi mnipuuze na kunitemea mate. Kwaherini!
Labda Rais Samia ashinde uchaguzi wa 2025 na akishinda kitakachofuata kwenye Katiba Mpya ni kuwa na Serikali ya mseto kama itakubalika.

Ila nasisitiza hii fursa Kwa Wazanzibar na Kwa nini Watanganyika mnawalazimishia Wazanzibar?
 
Namkubali sana Nabii Dr Ian Ndlovu PHD. Miezi 11 iliyopita alitoa utabiri kwamba wakristo wote wamuombee Lady Presidents of East Africa country.

Kwani mungu alimuonesha anatembea kwenye sakafu halafu anateleza mara 2. Baada ya kumuuliza mungu akamwambia huko kuteleza ni 2 foolish decision ambazo atazitenda na zitapeleke upinzani mkubwa ndani ya circle yake na nje ya her circle yaani ndani ya ccm na nje ya ccm. Lakini pia aliendelea akasema itafika kipindi hata weza kutegemea wasaidizi wake kwani ndio watakaokuwa wanamuingiza chaka. Fuatilia hii video hapo chini kutoka divine Kingdom ministries

View: https://youtu.be/fgFjN5MzQVE

Ila alisema mamlaka ya uongozi hutika kwa mungu baba hivyo mungu mwenyewe alimpa uongozi SSH na inatakiwa tumuombee apate hekima ya kufanya maamuzi sahihi kwa wakati sahihi. Ila washauri na machawa wamemzunguka sana na wana influence decisions ambazo zingine si nzuri.

Mimi binafsi napenda Samia kama Mungu ameamua kutumia kama.daraja la kubadili Uongozi kutoka Kwa ccm,no way ccm watafanya maana mambo haya Yako out of their control yaani anaepanga ni Mungu so mtoa mada atakuwa anajisumbua tuu.

Kama ambavyo hamkupanga Samia kuwa Rais ndivyo na hayo mengine hamtaweza.

So blander ya kwanza ndio hiyo ya Bandari,tunasubiria nyingine na ikifika mahala kweli akaacha kuwaamini hao wasaidizi wake wa karibu na Mungu akampa hekima nyingine msije kushangaa akiwa dikteta.
 
Kwa jinsi SSH alivyoingia madarakani, na wiwa kusema yeye ni mpango wa Mungu. Watanzania finally wanakwenda kupata haki ya kuchagua na kuchaguliwa katika nafasi za uongozi wa nchi kwa mara ya kwanza.
Na huu ndio ukweli na hii ndio itakuwa legacy yake kubwa Kwa sababu ukimuangalia sio muagidhina ila analazimishwa na circle ya ccm tuu huu ndio ukweli.

Katiba baada ya 2025 Iko pale pale Kwa hiyo ccm mjiandae,wale ambao watataka kushindana na Mpango wa Mungu mtadhoofishwa nafsi au hata mtakufa.
 
Shida iliyopo watu wengi wamepandikizwa chuki na kuaminishwa kwamba Nchi inauzwa wakati uhalisia siyo kweli tatizo jingine ni kuwarudisha walioaminishwa uongo ili waelewe ni kazi nyingine ngumu.

Matukio yanayoendelea nayafananisha na maisha ya kijiji ambacho watu hawana uelewa wa kutosha wanapo tumika vibaya na watu wanajifanya watabiri,wasoma nyota na wapiga ramli chonganishi jinsi wanavyoaminiwa na kuharibu ustawi wa watu wasio na hatia.

Huku kijijini wakianzisha fitina na kukuzushia kwamba wewe ni mchawi huwezi kujisafisha kutokana na uelewa duni wa wanakijiji wenzangu nguvu zote za kufikiria tumewakabidhi waganga wa kienyeji mbaya zaidi huwa mpaka tunafikia ya kuwaua wenzetu kwasababu ameaemekana ni mchawi bila kujali kama ni mzazi wako au ni jirani yako.!

Tanzania tumejichagulia na kuamua kuwa na Uhuru wa kuabudu katika kuabudu lazima tukubali kutokukubaliana ili siku zisonge mbele kwakuwa viongozi wetu wa Dini tumekuwa tukiwatukuza sasa wanajiona wanayo haki ya kutupeleka wanakotaka kila nikiangalia dhamira yao inaonekana wazi wanafanya yaleyale ya waganga wetu wa kienyeji hakuna ubishi hawa watumishi wetu wa kiroho wanamahovyohovyo mengi kwakuwa tunawaheshimu sana tunawaangalia tu hakuna dhambi wasioifanya hawa Leo wanapata wapi haki ya kutetea raslimali za nchi. Hawa si ndiyo wale walioingia kwenye kashfa ya ufisadi uliotukuka!? Hawa so ndiyo kila siku wanaiba na kutumia vibaya Sadaka? Hawa so ndiyo wanaotuhumiwa kuvunja ndoa za watu? Hawa si ndiyo walio sababisha mauaji ya kimbali Kule Rwanda? Nk.

Wananchi tunapo ingia kanisani tunatarajia kuungama dhambi zetu na kumuomba Mungu atusaidie katika mambo mbalimbali na tukiwa kanisani tuna maoni mbalimbali kuhusu mambo mbalimbali lakini tukiwa kwenye kazi zetu tuanatakiwa kutenda kazi kwa mujibu wa mikataba ya kazi au viapo unaposema unawatumia waumini wako kudukua taarifa za siri unataka kuwaharibia watumishi wa dhehebu lako waonakane wanakiuka maadili ya kazi zao jamno ambalo ni uchonganishi kama wale waganga wa kijijini kwetu.

Ni maoni yangu kwamba kwakuwa kuna Pande tatu zimejitokeza katika sakata hili basi kila upande uheshimiwe hayo ndiyo matakwa ya haki za Binadamu na Ustaarabu Duniani ni aibu kupinga maamuzi ya Bunge na Mahakama eti kwasababu hawajatekeleza matakwa yenu hili ni hatari kubwa kwa mstakabali wa nchi yetu inayojitafuta.

Inaweza kutokea mkamshawishi Shetani awe nanyi katika jambo hili na mkafanikiwa kwa muda lakini dhambi hiyo itawatafuna taratibu na uhasama chuki nk vitawarudia kwa kiwango kilekile mnachokitengeneza.
Ninaona aibu hata kujiita Mkatoliki.
 
Shaloom wana wema!
Nianze kwa nukuu hii ya Jakaya Kikwete, "Samia najua wewe ni zao la upinzani kwa hiyo haishangazi unavyowatendea wapinzani". Jakaya anakumbushia historia ya Samia kuwa anayo damu ya upinzani. Kwa kuwa ni Mzanzibari basi kama anayo hisia za upinzani basi tujue ni muumini wa Serikali tatu.

Pili tukumbuke Urais wa Samia haukuwahi kuwa programmed si na chama wala "ofisi nyeti" bali limetokana na Mungu kuamua ugomvi kati ya Watanzania na Bwana yuleee ikabidi Katiba ielekeze Samia kushika hatamu za uongozi. Hatua hii imewafurahisha mno Wazanzibari kuliko Watanganyika wakiamini kuwa Mungu amesikia kilio chao cha miaka mingi kwamba huu ndio wakati wa kuipata Zanzibar huru kutoka makucha ya Tanganyika. Itawezekana?

Tuanze na utabiri wa Shekh Yaya Hussein mwaka 2005 mwezi April. Yahya alisema, "Rais atakayeshinda Uchaguzi Mkuu atatokea Pwani na anayo sura ya kike. Atakayemfuata atakuwa ni mwanamume kutoka Bara lakini baada yake huyo atakuja Rais mwanamke. Huyo mwanamke atakabidhi kwa upinzani". Kweli, alishinda Jakaya Kikwete kutoka Pwani akiitwa handsome boy. Akafuatia Magufuli kutoka Bara. Kisha akaja Samia Suluhu Hassan (mwanamke). Je, utabiri huu utafika mwisho kwa Samia Suluhu Hassan kukabidhi nchi kwa upinzani? Time Will tell.

Mwaka juzi 2021 Askofu na Nabii Ndlovu wa Zimbabwe alitabiri kuwa ameoneshwa katika njozi kuwa mwaka 2022 kuna ndege itaanguka katika moja ya nchi za Afrika Mashariki. Na itaanguka ndani ya maji. Akasema ndege hiyo ikiua watu, basi chama kinachotawala kitaondoka madarakani lakini kwa kumwaga damu. Isipoua kitaondoka kwa Amani. Hapo maana yake ni kwamba ndege lazima ianguke. Alitumia maneno, "rulling system must quit". Alipuuzwa na spinning doctors". Mwaka Jana ndege ya Precision Air ikaanguka Ziwa Victoria na kuua watu 19. Je, unabii huu wa Ndlovu utafika mwisho na hatimaye Rais Samia Suluhu Hassan kukabidhi nchi kwa upinzani?

Sasa tujenge hoja kwa uhuru wa kutoa maoni chini ya Ibara ya 18 ya Katiba.

Kinachoonekana ni Rais Samia Suluhu Hassan kurejesha demokrasia iliyokuwa imebinywa na mtangulizi wake JPM. Lakini ukweli ni kwamba ameenda mbali zaidi si tu kurejesha uhuru wa demokrasia lakini ameingia hata ndani ya vyama hivyo (Chadema) na kuwaimarisha kisiasa (rejea kauli ya JK hapo juu). Samia anakijenga Chadema hasa. Mwaka 2025 chama hiki kitavuna wabunge wengi sana sawa na hata nusu.

MUHIMU SANA: Katiba Mpya haitopatikana kabla ya 2025 kwa maana kwamba mtu yeyote asitegemee Uchaguzi 2025 utafanyika kwa Katiba Mpya, sahau maana inaweza kukiletea CCM shida kikaamua kumuondoa. Hivyo, msala huo atahakikisha 2026&7 Katiba Mpya inapatikana tayari upinzani ukiwa na nguvu kubwa. Hapo ndipo mpera-mpera wa Upinzani kuelekea 2030 utashika kasi naye hatowafanya kitu maana hatokuwa na cha kupoteza tena. Ifikapo 2030 upinzani utaweza kushinda lakini CCM itakubali kuachia Ikulu? Hapo ndipo ilipo unabii wa Nabii Ndlovu. Upinzani wakifanikisha hilo basi Serikali 3 haitokwepeka. CCM ikikataa kuondoka' Ikulu basi baada ya damu tutasuluhishwa na Jamii za Kimataifa ikiwezeka hata kugawana mkate. Mbowe analijua hili vizuri sana katika maongezi ya maridhiano. Lissu anaposema, "nasikia Kuna kugawana mkate" mueleweni.

Na ikumbukwe waliovujisha mkataba wa DP World ndio hao hao walio nyuma ya dili hili. Ndio walioshauri William Lukuvi na Abdalah Bulembo (maadui) wa Samia kisiasa kusogezwa Ikulu kufanikisha ajenda hii.

My Take: CCM kuweni makini mno na mahaba ya Samia kwa Upinzani kama bado mnataka kuitawala nchi hii. Mbowe si mjinga hata kidogo. Wajerumani, Wamarekani na EU are very smart in the deal. Kuweni macho kabla utabiri wa Nyerere nao kutimia, "Upinzani wa kweli utatoka ndani ya CCM". Hayo ndiyo yangu kwa Leo. Mkiona Kuna hoja chukueni mkiona ni upuuzi mnipuuze na kunitemea mate. Kwaherini!
Too late mkuu.
Gari inaporomokea shimoni kwa kasi.

Tuombe Mungu ikutane na anguko lisilo na kishindo.

CCM inakufa mbele ya macho yetu
 
Watanzania hawajaridhika na mkataba wa Bandari yake Salama. Serikali isione aibu kuachana na Waarabu.

Tunaposema Bandari Imegawiwa, maana yake Imegawiwa, tena bure. Wadau wanaodai kuwa kuna rushwa zinanuka kwa kugawiwa Bandari zetu kwa wajomba, maana yake Rushwa inanuka.

Hivi vijisababu na hoja mbovu mbovu walizozitoa na wanazoendelea kuzitoa baada ya kushurutishwa kuhusu mkataba huu, havina maana yeyote ile. Ni uwongo kutaka kuhalilisha Udhalimu na Ufisadi unaotumika kumleta Mwarabu kuja kututawala.

Pinga udhalimu, maangamizo, Ukoloni mamboleo na ufisadi unaofanywa dhidi ya Watanzania,Watanganyika na Wamasai wa Taifa hili kwa nguvu zako zote. Wakemee Vibaraka wote wa Waarabu.
 
Back
Top Bottom