Kwa tamko la leo la Rais Samia, 'legacy' ya yule jamaa imezikwa rasmi

Naona mnajitekenya na kucheka wenyewe, vipi kuhusu vifaranga waliotelekezwa Airport. Legacy ya bibi tozo inasemaje kwa upande huo.
Acha kupotosha! Hakuna vifaranga vilivyochimwa airport.

Vifaranga vilizuiliwa lkn havikupewa matunzo matokeo yake vikafa vyote

Tofauti kabisa na wakati wa jiwe. Vifaranga vilikamatwa vikivuka mpka wa Namanga toka Kenya kuja Tanzania , jiwe akavitia moto vikiwa hai. That man was heartless!!!
 
halafu ulivyo wa hovyo hawajagundua kua Katiba mpya haiji leo wala kesho maana wameambiwa hadi hapo hali ya nchi kiuchumi na hali halisi itakapokua sawa...
Haya unayasema wewe. Mama hajasema hivyo.

Jiwe alikuwa na roho mbaya Sana. Sukuma gang mnaumia hatari kwa namna mama alivyoipiga teke legacy ya mungu wenu ndani ya mwaka mmoja tu na kidogo
 
mtu akishawekwa moyoni ni ngumu sana kufutika pamoja na juhudi zenu zote za kutaka asahaulike ndio kwanza watanzania wanamkumbuka kila uchwao.

refer makofi na shangwe za uzinduzi juzi baada ya jina lake kutajwa

ushauri wangu kwa mtoa post na wabaya wake wote fanyeni yenu msishindane na mtu ambae hayupo wewe legacy ikizikwa itakusaidia nini?pambana na maisha mwenzio ashamaliza yake kapumzika wewe huku duniani unahangaika kumchafua
 
Legacy is something that stays permanently! Magufuli Legacy HAIWEZI KUFA NA HAITAKUFA! Kama unabisha ebu angalia crip ya Ujazaji Maji Mwalimu Nyerere Hydroelectric Power Station!
Magufuli ndiyo alikuwa anajaza maji?? Sukuma gang mtakuwa na illusion siyo bure.
 
Ni CCM walioamua hapo awal8 na sasa wakaamua tena
 
Magu ni habari ingine Ile.

Angalia mbele usigeuke nyuma usijejikwaa Bure😃😃
 
Watanzania ni shida sana. Yaani mama karuhusu mikutano ya hadhara, ambayo ilizuiliwa kinyume na Katiba ya Nchi, lakini watu wanaona kama Hisani fulani hivi.

Kwa maoni yangu, hapa hakuna chochote kilichoongezwa.
Naona mpo wengi ambao hamjui ukubwa wa madaraka ya rais hapa nchini kwetu
 
Hayo ni mapambio tu hakuna kitu!

Kazi ya serikali yoyote ni kufanya hayo uliyoyataja. Hata wakoloni walifanya!

Legacy ni matendo ya kutukuka ya kiongozi. Ya mwendazake ni ukatili,utekaji,mauaji,dhuluma,kutawala nchi kidikteta,kufunga wapinzani,kizuia mikutano ya siasa,kufungia vyombo vya habari,nk,nk.
 
Her Exellence Samia Vs The Late His Exellence Magufuli in oppressing opposition parties and killing democracy. Marehemu alishinda magoli 9-0, Samia atleast hata goli lake limeruhusu.
Yote kwa yote CCM ni satanic, vampires, all negatives🙏🏿
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…