Corticopontine
JF-Expert Member
- Sep 20, 2019
- 666
- 1,277
Yaani hata darasani mwalimu hata ungefundishaji kuna wabafunzi vilaza ambao ukisema tisa wanasema sita yaani hawa huwa ni wanafunzi mbumbumbu wasiojielewa.
Kuna kikundi kimeibuka kutunga uongo ambao ni vichaa tu wanaweza kuwaamini dhidi ya Sabaya.
Yaani hawa watu wanashindwa kuelewa kabisa kuwa Sabaya hajafukuzwa kazi ila amesimamishwa kazi lakini cha ajabu watu wanaanza kuharibu uchunguzi kwa kuleta hoja nyepesi na za kipumbavu kabisa.
Kwenye hili suala la Sabaya, huyu kijana anaenda kuwaaibisha wengi sana.