goroko77
JF-Expert Member
- Jul 9, 2019
- 8,845
- 13,072
Kwa namna Moja ama nyingine nimenufaika na uwepo wa sabaya hasa alipo kuja dar kufanya interview na cloud nimenufaika snaa na kwa kipindi fln nikiwa singida nimenuafikaa pia ..ila jus kati kabla ajatiwa nguvuni jmn nimepata chochotena kipindi chote watu wanatoa hbr zake niliwashangaa Sana kwn alikuepo tu apa dar akila gambe lake kimy kimya ...
Namshukuru Sana kwa kweli kwani nimeweza kulipa Kodi ya nyumba nilikuwaa nadaiwaa..ila bas ngoja tuone anafikishwaa wapi
Namshukuru Sana kwa kweli kwani nimeweza kulipa Kodi ya nyumba nilikuwaa nadaiwaa..ila bas ngoja tuone anafikishwaa wapi