Natamani sana kuendelea kuzungumzia ishu ya wizi wa mabilioni ya pesa katika wizara ya Fedha,lakin a friend in need is a friend indeed...Sabaya ni kijana mwenzetu,hatufahamiani kwa sura wala chochote,ila kazi zake za utumushi ni kama alikuwa daraja la urafiki baina yetu,leo hii yupo katika mikono ya siasa chafu,no one cares lakin ukweli kabisa Sabaya ali invest muda wake kuwatumikia watu hasa wanyonge...Baada ya Magufuli kufa,akaja CAG na taarifa za kumchafua kuwa Magufuli alikuwa fisadi,walipoona watanzania wamekuwa wakali sasa wanaangamiza Mbegu aliyopanda Magufuli kwa vijana na taifa,wanatutisha kuwa ukiwa mzalendo utaishia kuitwa mlawiti,dikteta,fisadi nk...
Najikuta naumia,kama hayo mapesa acha wapige lakin plz em semeni jambo juu ya Sabaya,tusipokuwa makini he will end up jela,hata babu seya ilikuwa utani utani,ghafla tukaona kweli kafungwa maisha kwa kesi ya kutengeneza tu kisa Jakaya aligombania demu pisi kali na Babu seya,akamtengenezea mazingira ya hatari kweli babu seya akafungwa,kama sio Sauti zenu watanzania katika uchaguzi mkuu 2015,pengine angesahaulika,asante kwa Magufuli..
Leo,mazingira ya Kesi ni yaleyale ya ubakaji sijui ulawiti,hii yote ni defamation tu,kumshusha katika medani za siasa na kumchafua,kama Sabaya anatuhumiwa kwa ukatili huo,Jakaya mnamuogopa nn kumshtaki kwa kumuuwa Mwangosi tena kwa kupigwa bomu hadharani? Kama Sabaya mnasema amelawiti wanawake? Aje kwa Jakaya ambaye aliteua mpaka ma hawara na michepiko yake kuwa ma DC?? Hamkuona? Unafiki ni dhambi mbaya! Kama Sabaya alitumia ofisi vibaya,vipi Jakaya ambaye miaka 10 ya urais zaidi ya nusu ya utawala wake ametumia akizurula nje?
Kama Sabaya mbaya,Jakaya vipi aliyetoa madini kwa Bush yeye akachukua Chandarua? Kwann iwe hivi kwa Sabaya?? Kisa tu ya kumshusha kisiasa? Level ya Sabaya ya utumushi huwezi linganisha na Ridhiwani,Makamba au Nape? Pamoja na haya yote itisheni uchaguzi aibu itawashika,hakuna ubaya aliofanya Sabaya ifike mahala mtoto mdogo mnamuhukumu kikatili ivo...
Lastly,najua Sabaya na vijana wengine wanaweza wakawa na kesho na ndoto kubwa zaidi,wabaya wanataka kuharibu kesho yake sasa wawe easy....