Corticopontine
JF-Expert Member
- Sep 20, 2019
- 666
- 1,277
- Thread starter
- #61
Nyie watetetezi wa mafarisayo na masadukayo muda umefika mtubu dhambi zenuUnajidhalilisha kwa malipo ya tsh ngapi ?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nyie watetetezi wa mafarisayo na masadukayo muda umefika mtubu dhambi zenuUnajidhalilisha kwa malipo ya tsh ngapi ?
Hii ndoto itakufanya ukojoe kitandani,Kama Kuna mkubwa umelala nae akuamshe ukakojoe.wapima nyota wameshawaonya watesi wa Sabaya kuwa kijana huyu ana kariba ya kipekee katika uongozi yaani Sabaya kwa miaka 33 tu aliyonayo amemtikisa Mbowe Mzee Msitaaafu wa miaka 61 yaani Mbowe alitikiswa akatikisika akatulia na akakubali yaishe...
mnapata faida gani mnapotunga uongo na uzushiHii ndoto itakufanya ukojoe kitandani,Kama Kuna mkubwa umelala nae akuamshe ukakojoe.
MkuuNatamani sana kuendelea kuzungumzia ishu ya wizi wa mabilioni ya pesa katika wizara ya Fedha,lakin a friend in need is a friend indeed...Sabaya ni kijana mwenzetu,hatufahamiani kwa sura wala chochote,ila kazi zake za utumushi ni kama alikuwa daraja la urafiki baina yetu...
Sabaya yuko lupango anawezaje kuandika message kama hiyo?Unaonekana kama mleta huu uzi ndiwe Sabaya mwenyewe.
Tulia kimya mbususu weweNyie watetetezi wa mafarisayo na masadukayo muda umefika mtubu dhambi zenu
Asipofungwa Maisha au Kuhukumiwa Adhabu ya Kunyongwa ( Kifo ) sitoona tena uhalali wa uwepo wa Serikali ya Sita ya Rais Mheshimiwa Mama Samia Suluhu Hassan na Chama chake Tawala cha CCM.wapima nyota wameshawaonya watesi wa Sabaya kuwa kijana huyu ana kariba ya kipekee katika uongozi yaani Sabaya kwa miaka 33 tu aliyonayo amemtikisa Mbowe Mzee Msitaaafu wa miaka 61 yaani Mbowe alitikiswa akatikisika akatulia na akakubali yaishe...
nyiye mafarisayo na masadukayo mtahangaika sanaFor a truth, kweli hii taifa letu haina upungufu wa wasiojiweza kufikiria, kuwaza, na wajinga wa ajabu, saa baya kaumiza watu kule hai,kuna hata yule mfanya biashara aliyempa saa baya millioni 10, elieleza hii mbere ya boss wa tra...