Kwa tunaoona nje ya box, Ole Sabaya ni fagio la Wanaharakati uchwara mitandaoni na anguko la Mbowe

Tusubiri tuone itakavyokuwa. But usitegemee yote yanayoongelewa kuhusu yeye ni ya uongo.
 
unaweza kuwa mfanyakazi mzuri sana kazini. ukapata tuzo mbali mbali.
lakin sasa kama huna tabia njema ni bure.

hakuna bosi anamtetea mfanyakazi mwenye tabia mbovu kisa anafanya kazi nzuri
 
mlinzi wake naona umekuja kutetea kwa speed ya 4G.
 
Sabaya yuko Mikononi mwa Dola..wewe kama ni mfuasi wake tulia sindano iingie..Unyama mliofanyia watu ni mkubwa na sio yeye tu mmeumiza sana watu nyie .
 
Mngetumia vyema hivyo vijisenti alivyowapa, huwenda asiweze kuendelea kuwapa hivyo visent tena.
 
Kuanzia leo nitakuwa nikiuhusisha uhuni, uhujumu , uhalifu dhidi ya ubinadamu na jinai zote za Sabaya na watetezi wa Sabaya. Wanasheria kaeni standby kwa hili
 
Nadhani wewe ndiyo mjinga zaidi kuliko hata wao. Unayajua maovu ya huyo jangili? Kabla ya kuwa DC hakuwai kufikishwa mahakamani kwa utapeli?
Ww ndio kilaza mkubwa kabisa!!?
ww hujiulizi toka amedakwa mpaka leo hajafikishwa court...
 
Na wewe kama unampenda sana Ole Sabaya nenda kaolewe naye. Siyo kutupigia kelele humu kila wakati. Mchukue ukaishi naye.
 
Jumapili nilikua PCCB Upanga kwenye selo yao nimemuona huyo Jambazi Sabaya yuko kwenye nondo anaongea na ndugu yake amemletea chakula kwenye mfuko amekua mdogo kama kuku.

Inshort huyu nguruwe hachomoi.
 

Bwana Corticopontine na binamu zako, kwa hakika mlikuwa sahihi kabisa:

"Kwenye hili suala la Sabaya, huyu kijana anaenda kuwaaibisha wengi sana."

😁😁

Hiiiiii bagosha!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…