Kwa tunaosafiri na mabasi, ni vitu gani huvizingatia kabla ya kufanya maamuzi ya kusafiri na basi husika

Kabisa mm huwa nazingatia deleva wangu katika chombo chamgu cha usafili yukoje, na pia muonekano wa gali langu inakuaae
 
Kabisa yan hata kama mtu amekuja kukupokea anajihis kitu flan na namna ya kushuka kwenye gali nadhifu
Nilikuaga namwambia mwanangu mmoja mtu wa Mbeya... njoo na gari flan au gari flan tofaut na hapo utajipokea mwenyewe mie tutakutana nje ya stand.. siez enda pokea mtu unashuka kwenye gari kama umetoka Vitani

Sent from my SM-N981U1 using JamiiForums mobile app
 
[emoji3][emoji3][emoji3] kuotaje

Sent from my SM-N981U1 using JamiiForums mobile app
Nina bahat ya kuota.. Kama safari itakua mbaya au salama...

Kuna siku niliota tumepata ajali.. Ile ndoto nikaipuuzia nikaamua kusafiri hivyo hivyo ... Safari ilikua kutoka dar to singida.. Na kweli gari ilipo fika moro ikaanguka..😢
 
Nina bahat ya kuota.. Kama safari itakua mbaya au salama...

Kuna siku niliota tumepata ajali.. Ile ndoto nikaipuuzia nikaamua kusafiri hivyo hivyo ... Safari ilikua kutoka dar to singida.. Na kweli gari ilipo fika moro ikaanguka..[emoji22]
Duh

Pole sana asee

Sent from my SM-N981U1 using JamiiForums mobile app
 
Vumbi[emoji23]
Anakuja na Rungwe,sijui Greenline[emoji1787]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…