Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 76,039
- 230,142
Kwahiyo huyo ZUNGU buti lake ndo lipoje?š¤£
Nitakaribia...I wish.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwahiyo huyo ZUNGU buti lake ndo lipoje?š¤£
Kabisa mm huwa nazingatia deleva wangu katika chombo chamgu cha usafili yukoje, na pia muonekano wa gali langu inakuaaeBinafsi ili safari yangu iwe nzuri na niifurahie huwa nahitaji vitu vichavhe tu, kwanza kabisa gari linalozingatia muda na pia ile huduma yetu pendwa ya kuchaji simu lakini pia gafi ambalo ni nadhifu kwa maana ya usafi wa ndani na nje wa basi, nikipata vitu hivyo tu basi huwa nashawishika kupanda basi hilo.
Kwako wewe unazingatia nini?
View attachment 2718244
[emoji3][emoji3] tutamuuliza Said hili swali [emoji3]Kwahiyo huyo ZUNGU buti lake ndo lipoje?[emoji1787]
Nitakaribia...I wish.
Kuna kafeeling flan unakua nako hata ukishuka kwenye gari nzuri [emoji3]Kabisa mm huwa nazingatia deleva wangu katika chombo chamgu cha usafili yukoje, na pia muonekano wa gali langu inakuaae
Nimecheka sana[emoji3][emoji3] tutamuuliza Said hili swali [emoji3]
Sent from my SM-N981U1 using JamiiForums mobile app
Kabisa yan hata kama mtu amekuja kukupokea anajihis kitu flan na namna ya kushuka kwenye gali nadhifuKuna kafeeling flan unakua nako hata ukishuka kwenye gari nzuri [emoji3]
Sent from my SM-N981U1 using JamiiForums mobile app
[emoji3][emoji3][emoji3] kuotajeMi safari yangu.. Mpaka niote usiku.. Tofauti na hapo siwezi nikasafiri..
Nilikuaga namwambia mwanangu mmoja mtu wa Mbeya... njoo na gari flan au gari flan tofaut na hapo utajipokea mwenyewe mie tutakutana nje ya stand.. siez enda pokea mtu unashuka kwenye gari kama umetoka VitaniKabisa yan hata kama mtu amekuja kukupokea anajihis kitu flan na namna ya kushuka kwenye gali nadhifu
Nina bahat ya kuota.. Kama safari itakua mbaya au salama...
DuhNina bahat ya kuota.. Kama safari itakua mbaya au salama...
Kuna siku niliota tumepata ajali.. Ile ndoto nikaipuuzia nikaamua kusafiri hivyo hivyo ... Safari ilikua kutoka dar to singida.. Na kweli gari ilipo fika moro ikaanguka..[emoji22]
Ahahahah et kama katoka vitani dahNilikuaga namwambia mwanangu mmoja mtu wa Mbeya... njoo na gari flan au gari flan tofaut na hapo utajipokea mwenyewe mie tutakutana nje ya stand.. siez enda pokea mtu unashuka kwenye gari kama umetoka Vitani
Sent from my SM-N981U1 using JamiiForums mobile app
Hilo bus kwenye avatar yako ndiyo shabby?
Unashukaje kwenye gari unapiga chafyaAhahahah et kama katoka vitani dah
Hapana hio ni Ngasere High Class Ya Dodoma MwanzaHilo bus kwenye avatar yako ndiyo shabby?
Alifariki yeye na mke wake aseeNilipanda bus moja Marangu Express Dar to Arusha,Aisee ndani kama ndege,ingawa nilisikia mmiliki wake alfariki kipindi cha korona sijui kama bado yapo!
Vumbi[emoji23]Nilikuaga namwambia mwanangu mmoja mtu wa Mbeya... njoo na gari flan au gari flan tofaut na hapo utajipokea mwenyewe mie tutakutana nje ya stand.. siez enda pokea mtu unashuka kwenye gari kama umetoka Vitani
Sent from my SM-N981U1 using JamiiForums mobile app