Kwa ufupi, Wayahudi wameshindwa kabla hawajaanza

Mtoa mada unashangilia binadamu mwenzio kufa
 
Vita ya kupigania na magaidi ni tofauti na Vita ya kupigania nchi na nchi. Hamas wamejificha miongoni mwa raia ndio maana hata Misri wangekataa kupokea raia wa Palestine sababu wanajua watapokea raia na magaidi waliojichanganua.
Vita ya ardhi inahitaji uangalifu zaidi sababu Hamas wako tayari kufanya uhalifu chochote kuhalalisha uhalifu wao, misikiti na sehemu nyingine watakazojificha zikianza kuharibiwa msianze kulalamika.
 
Sizitaki mbichi hizi Sungura akagumia πŸ˜‚
 
Umeshaingiza mambo ya mungu tena, ulielewa mchango wangu lakini...au ndo kusema umeathirika kisaikolojia ndugu.
Endelea kuota tu.

Huamini kama mungu wako anaweza kuchezea kichapo kichapo?
 
Wapalestina niwatu wasio penda amani..wachokoz chokozi safari hii wameyakanyaga walijua iran itawasaidia mwanzo mwisho kumbe Iran yupo bize kule uruss..ngoja wapelekewe moto raia wa Palestine na hamas ni kitu kimoja kwahyo wakiuwawa raia ndohawo hawo
 
Islael wanajua vita na wanaelewa wanachokifanya, na ndiyo maana HAMAS wanawazuia raia kuondoka Gaza sababu wanajua kinga yao ya miaka yote itaondoka.
Waparestina wengi wameshaondoka Gaza north kama order ilivyotoka, hayo mahandaki yote unayoyasema Israel wanayajua na ndiyo maana ni LAZIMA waingie kwa mguu na wanajua fika kwamba awamu hii ni mapambano ya kifo maana atakayebakia Gaza north huyo ni HAMAS.

Kwa hao Hamas, Huwezi kuanzisha vita wakati huna control ya mambo yafuatayo: Ulinzi wa anga, maji, umeme, exportation and exportation, mawasiliano- vita lazima uione chungu.

Namna pekee ya kuwasafisha hao HAMAS ni kuvunja ngome yao yote na huwezi kufanya hivyo bila kuwandoka wananchi wa kawaida, na hili ndio linafanyika sasa. (atakayebaki Gaza north ni HAMAS na awe tayari kwa mapambano)
 
Gaza, ina mji mwengine wa mtandao wa mapango waliyoyachimba miaka yaote ya kushambuliwa na Wayahudi, ni mapngo yalio "very comple" mengine yanatokea ndani ya Israel na mengine yanatokea upande wa pili wa mpaka wa Egypt.
Ahaa, kumbe basi iwe rahisi tu. Wapalestina wahamie mji wa Gaza uliopo mapangoni na wenye maji, umeme, fuel na njia za kutokea Egypt, halafu Waisrael wakae kwenye mji wa Gaza uliopo ardhini juu ya mapango. Hapo kutakuwapo na amani ya kudumu
 
Asee
 
Hamas ndani ya miezi sita ijayo wanataka tena kupeleka moto Israel na kuchukua maokoto ya mateka na vifaru,hii sio haki ni kuwanyanyasa Israel na kuwaonea.
 
Huwa hawakomi, Gaza hadi ije kuwa kama ilivyokuwa itachukua tena kwa uchache miaka 50 mbele.
Mabovu yameivuruga balaa!.
Wakati wao (Hamas) uharibifu walioufanya kwenye vijiji vya mpakani Israel utachukua wiki 2 tu kukaa sawa.
Gaza Qatar tu watatoa hela pajengwe, sijasema saudia
 
Mwana wa house girl, hata rithi pamoja na mwana wa ahadi. Never forever. Wabarikiwe wana wa Yakobo, neema na amani ziwe juu yao.
Gaza zaidi ya miili 1,000 ipo kwenye kifusi na still Israel inaendeleza kichapo kwa magaidi ya kipalestina aisee hawa jamaa wanasikitisha sana
 
tatizo watakapojenga then wapalestina watajisahau wataleta tena chokochoko kama kawa Gaza itapondwapondwa tena na Israel
Siku za Israel kupigapiga Gaza zimekwisha,baada ya hili sakata huo mchezo hautokuwepo
 
Subiri kipigo kitakapokolea kwa Palestine usilie lie. Unachofanya wewe ni kuchochea ugomvi, waarabu wanaomba mapatano wewe upo huku kusema ameshindwa kabla ya kuanza. Sasa Ngoja waanze vizuri ili wakuoneshe hawajashindwa
 
Na wewe una kauli kwa mungu wako? Jisome hapa:

25 Naye akaja akamsujudia, akisema Bwana, unisaidie.
26 Akajibu, akasema, Si vema kukitwaa chakula cha watoto na kuwatupia mbwa.
Ni kweli ndio, kama humuamini Yesu iweje utake baraka na uponyaji kutoka kwake? Huyu mama ni kama wewe unampinga Bwana Yesu alafu ukipata shida unamkimbilia kutaka msaada
 

Wa Africa tuna matatizo mengi sana yanayohitaji attention ya nguvu kazi yetu "vijana" kama nyie mnaoshabikia vita na kujitoa ufahamu kabisa kama wendawazimu.
Sio mzungu,mwarabu au mhindi hakuna mwenye true symphathy na mtu mweusi, we are alone,we should love and embrace us!
Vita sio vizuri sababu watu wanakufa, sasa tusishabikie kwa upuuzi wetu wa kipumbavu kama vile hata hao tunaowashabikia wanatupenda, kwani waafrica wenzetu; Congo drc, Africa ya kati si wanauana,mbona hatujali? Au sio wamaana? Tuache ushamba na unafki, hatupendwi kama tunavojipendekeza!

Dada zetu wananyanyasika kishenzi Arabuni,wanalishwa hadi mavi,mapenzi na mbwa, uko ulaya wazungu wanatuita nyani, America vile vile, wahindi nao na wachina wanatuchkulia kama class ya chini kabisa, sasa mtu mzima unaamka asubuhi unaanza kutuletea story za watu wenye akili zao timamu walioamua kuuana ilihali huku kwetu kuna issues nyiingi zinachkua maisha ya ndugu zetu kila uchwao naona tuna tatizo la kifikra.

Tubadilikeni!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…