Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wawe au wasiwe na "sympathy" sisi tunayo "sympathy" kwa wanaoonewa kwa zaidi ya miaka 70 sasa.Wa Africa tuna matatizo mengi sana yanayohitaji attention ya nguvu kazi yetu "vijana" kama nyie mnaoshabikia vita na kujitoa ufahamu kabisa kama wendawazimu.
Sio mzungu,mwarabu au mhindi hakuna mwenye true symphathy na mtu mweusi, we are alone,we should love and embrace us!
Vita sio vizuri sababu watu wanakufa, sasa tusishabikie kwa upuuzi wetu wa kipumbavu kama vile hata hao tunaowashabikia wanatupenda, kwani waafrica wenzetu; Congo drc, Africa ya kati si wanauana,mbona hatujali? Au sio wamaana? Tuache ushamba na unafki, hatupendwi kama tunavojipendekeza!
Dada zetu wananyanyasika kishenzi Arabuni,wanalishwa hadi mavi,mapenzi na mbwa, uko ulaya wazungu wanatuita nyani, America vile vile, wahindi nao na wachina wanatuchkulia kama class ya chini kabisa, sasa mtu mzima unaamka asubuhi unaanza kutuletea story za watu wenye akili zao timamu walioamua kuuana ilihali huku kwetu kuna issues nyiingi zinachkua maisha ya ndugu zetu kila uchwao naona tuna tatizo la kifikra.
Tubadilikeni!
Nmuamini Yesu kama Mtume na simuamini kama Mungu.Ni kweli ndio, kama humuamini Yesu iweje utake baraka na uponyaji kutoka kwake? Huyu mama ni kama wewe unampinga Bwana Yesu alafu ukipata shida unamkimbilia kutaka msaada
Wahamie na ndiyo wapo tayari?Ahaa, kumbe basi iwe rahisi tu. Wapalestina wahamie mji wa Gaza uliopo mapangoni na wenye maji, umeme, fuel na njia za kutokea Egypt, halafu Waisrael wakae kwenye mji wa Gaza uliopo ardhini juu ya mapango. Hapo kutakuwapo na amani ya kudumu
Historia inaonesha wayahudi wa Israel kila waliposhambuliwa na wanamgambo wa Hamas walilipiza kisasi papo kwa papo bila kusubiri.
Nini kilichwafanya safari hii "wajipange" kwa muda mrefu na huku wanadai kuwawatu wao wengi wametekwa?
Jibu ni jepesi sana; Hamas ndiyo walioshambulia na katika kushambulia kwao walikuwa wsanajuwa na wanafahamu moto wakaoshushiwa na wayahudi, hilo halina shaka wala ubishi.
Kama walijuwa hilo inamaanisha kitu kimoja tu, walijipanga, ikumbukwe kuwa Israel wameshambulia kutokea mbali na angani ndani ya gaza na wanasema wameua viongozi wawili wa Hamas, cha kujiuliza, viongozi wawili wa Hamas ndiyo wana mgambo wote wa Hamas> Ni nini kinawashinda kuingia Hamas? Na nguvu zote za kivita walizonazo na mashambulio ya ndege za kivita kuuwa viongozi wawili tu na raia kibao ni kushindwa kwa mbinu kwa wayahudi.
Gaza, ina mji mwengine wa mtandao wa mapango waliyoyachimba miaka yaote ya kushambuliwa na Wayahudi, ni mapngo yalio "very comple" mengine yanatokea ndani ya Israel na mengine yanatokea upande wa pili wa mpaka wa Egypt.
Kilichokuwepo, ni Wisrael wanangojwa waingie kwaa miguu wamalize kazi ya kuwamaliza Hamas, ambao ikumbukwe kuwa Hamas ni waanamgambo waliokwisha jitolea kufa, siyo wanajeshi, ni raia wa kawaida walijotolea liwalo na liwe.
Mpaka sasa hivi, hili ni pigo kubwa sana kwa wayahudi na wameshashindwa vita walioitanganza kwa mbembwe za mandonga, kama vile vita imeanza waliposhambuliwa na mgambo wa Hams.
Hamas wameshafanya yao, bado wanamateka kubao, wayahudi wanangoja nini, mara sababu ooh hali yahewa, mara sababu oooh sijuwi nini? Kw aufupi hawana ukweli kabisa. imewanyeshea na inaendelea kuwanyeeshea, sasa kulikwepa wanalianzisha huko kaskaini na Hizbollah, huko ndiyo kabisa wameshaambiwa wasijaribu. Hizbollah jana imewatangazia ina missiles laki moja na nusu wanazongoja waijaribu kuipiga tel Aviv. Waje tu.
Israel itaebdelea kushambulia kwa mbali na kwa ndge, lakini vita ya uso kwa suso ndani ya gaz itakuwa ngumu sana kwao, wanaogopa sana kufa. Kinyume na Hams wanaokitamani kifo ckufa "shahhed" (martyr).
Mpaka sasa nahisabu ushindi ni wa Palestina. Njia pekee ya ushindi kwa wayahudi ni kuagizia makombora ykutokea mbali na hapo kuuwa wayahudi wenzao walishikiliwa mateka. N ahilo wapo tayari kulifanya ikibidi, kwa kwuwa walioshikwa wengi wanahesabika ni daraja lachini, siyo wayahudi ashkenazi. Au kingine wanachokingoja ni majeshi ya kukodisha ndiyo wayasukumie gaza.
Haya waale amabao mungu wenu ni myahudi, ulaji huo.
View: https://youtu.be/tF928JnCQNI?si=1c_BqltNvVkZbwc4
Ndio wanshindwa hadi sasahivi ni story tu mara hali ya hewa visingizio vingiJapo kila nikitizama video za mnavyoteseka na watoto wenu najikuta nikiumia sana kwa huruma, tatizo mlivyo mazombi ya ajabu licha ya mateso yote hayo, mkiachiwa lazima mtaendelea na uchizi wenu. Itabidi Israel iendelee tu bila kuwaonea huruma, hamna namna, itabidi hilo eneo lifanyiwe usafi wa kuondoa yale mazombi yenu, wabaki watu wanaopenda amani.
SANDF ua 10 tuu hao wanaondoka, hii ilitokea pale Central Africa..Sasa hao waliotangaza wana nguvu gani za Kijeshi za kumtishia Israel? Eti south Africa watangaze kimbembe na Israel astuke like serious😀😀
Watatumia nini sasa?Wapalestina wajichunge sana na maji watakayoachiwa, hawa wayahudi wanaweza kabisa kuwati;ia sumu ya kuwamaliza taratibu taratibu, ni washenzi sana nyoka hao.
miaka yote wamekuwa wakiwapiga hakuna cha ajabu , leo kuna mateka wanashikiliwa na hamas nini kinachofanya wanasita kwenda kuwaokoa ?Subiri kipigo kitakapokolea kwa Palestine usilie lie. Unachofanya wewe ni kuchochea ugomvi, waarabu wanaomba mapatano wewe upo huku kusema ameshindwa kabla ya kuanza. Sasa Ngoja waanze vizuri ili wakuoneshe hawajashindwa
Nani wa kusitisha, wanaoonewa na kuuliwa kwa miaka 70?Faiza, tunatakiwa kuomba Mungu hii vita isitishwe, kwasababu wanaoumia sio hamas, wao hamas wamejitoa kufa, wapo tayari kufa. wanaoumia ni watoto na wanawake ambao hata hawajashika bunduki wala bomu. to be honest, hiki ndicho kitu cha muhimu kukifikiria.
ukija swala kwanini wamejipanga sana, Gaza imeshazingirwa pande zote mbili, na pameachwa tu kule chini Rafa mlango wa kwenda Misri. raia kwenye mji wa Gaza wameshaambiwa waondoke ili mashambulizi yasiwadhuru. na Israel amejipanga sana ili kuhakikisha raia wanaondoka, amewapa muda baada ya masaa 24 kwisha na ulimwengu ukalalamika sana kwamba muda ulikuwa mchache. they are buying time, wakilianzisha wasionekane wamekiuka sheria za kivita kuua raia, utetezi wao watasema tuliwapa raia muda wa kuondoka na tulisubiri hadi reasonable time walipoondoka.
kujipanga kote huko wamesema wanataka kuteketeza kabisa Hamas Gaza, kupafanay Gaza kisiwa ambacho hakuna anayeishi (a deserted island), na kwasababu watakuwa wamewafukuzia wapalestina kula kusini, basi watakuwa mbali na miji ya Israel kama Ashkelon, na wengi watafanikiwa kuingia kwenye ardhi ya Misri ambako watajenga huko na kuwa wamisri. Sheria za kimataifa zinazuia waisrael wakishawafukuza wapalestina gaza wasijenge majengo yao, ila over time, watakuja kujenga tu na Gaza yote itakuwa mkoa wa wayahudi. na upande wa pili wa Westbank, wamejipanga kuwasukumia Jordan na maeneo mengine, watajenga makazi mapya na wataweka restrictions nyingi. kwa sasa westbank kuna makazi ya wayahudi mengi na walikuwa wanaongezeka siku hadi siku.
kitu ambacho HAMAS wamebugi ni kwamba, hawakujua kuwa Israel ilikuwa inasubiri sana hii nafasi kwa ajili ya kuteka maeneo mengi zaidi ya wapalestina, na kwa ukatili walioufanya, hata dunia haiwatetei sana wapalestina wanaona israel inajilinda na ni advantage kubwa sana kwa waisrael.
nadhani wapalestina wanatakiwa kukubaliana kuishi na tatizo hili kwasababu haitakuja kutokea hata siku moja Taifa la Israel likafutika, au wayahudi mamilioni yale wakateketezwa au wakarudisha ardhi kwa mtu yeyote yule anayedai ni yake. solution ni kuishi na tatizo hilo kwasababu upande wa Israel wameshajiandaa kuishi na tatizo hilo maisha yao yote wakati upande wa wapalestina hawajajiandaa na asiyejiandaa kukubaliana na ukweli huu ndiye atakayekuwa analialia na kuumia maisha yake yote.Nani wa kusitisha, wanaoonewa na kuuliwa kwa maiaka 70?
Warudishe tu maeneo ya wapalestina, vita kwisha.
Ila wanamtambua wa Wapalestina! Wala sihitaji wamtambue, mi nazungumzia wanaochapana vita!Mungu wako wa kiyahudi, wayahaudi wenyewe hawamtambui na hata kutaja jina lake kwao ni marufuku, kimbembe.
nadhani wapalestina wanatakiwa kukubaliana kuishi na tatizo hili kwasababu haitakuja kutokea hata siku moja Taifa la Israel likafutika, au wayahudi mamilioni yale wakateketezwa au wakarudisha ardhi kwa mtu yeyote yule anayedai ni yake. solution ni kuishi na tatizo hilo kwasababu upande wa Israel wameshajiandaa kuishi na tatizo hilo maisha yao yote wakati upande wa wapalestina hawajajiandaa na asiyejiandaa kukubaliana na ukweli huu ndiye atakayekuwa analialia na kuumia maisha yake yote.
wayahudi hawamtabui, wapalestina jamaa yao huyo:Ila wanamtambua wa Wapalestina! Wala sihitaji wamtambue, mi nazungumzia wanaochapana vita!
wayahudi hawamtabui, wapalestina jamaa yao huyo:
View: https://youtube.com/shorts/VhKqlJCjVeU?si=5yLi3A0gXidIC1P3
wayahudi wamewaaingiza nyinyi mkenge kuwa huyo ndiyo mungu wenu, na nyinyi mpo tu mnamuabudu myahudi feki.Wayahudi kwa habari ya Yesu, wamepotea kwasababu hawamkubali, na Biblia imeeleza hivyo, na kuna miaka ijayo imetabiriwa watakuwa kumwamini. kwahiyo hilo lisikiutie shida