Kwa ufupi, Wayahudi wameshindwa kabla hawajaanza

Ulipoingiza Mungu hapo ndo umeharibu kila kitu. Mungu ni nini?
 
Wawe au wasiwe na "sympathy" sisi tunayo "sympathy" kwa wanaoonewa kwa zaidi ya miaka 70 sasa.
 
Ni kweli ndio, kama humuamini Yesu iweje utake baraka na uponyaji kutoka kwake? Huyu mama ni kama wewe unampinga Bwana Yesu alafu ukipata shida unamkimbilia kutaka msaada
Nmuamini Yesu kama Mtume na simuamini kama Mungu.

Wayahudi walikujaza ujinga kukwambia kijana wao Yesu kuwa ni mungu, ili kutawale daima. Na wewe umo tu.

Pole sana mungu wako kachezea kichapo cha watoto wadogo, sasa anataka kuuwa Raia zaidi ya million mbili kwa mpigo, kaona kidogo kipdgo hawaishi.

Unafahamu kuwa wayahudi hawamuamini wala kumkubali mungu wako ingawa ni myahudi mwenzao?
 
Wapalestina wajichunge sana na maji watakayoachiwa, hawa wayahudi wanaweza kabisa kuwati;ia sumu ya kuwamaliza taratibu taratibu, ni washenzi sana nyoka hao.
 
Ahaa, kumbe basi iwe rahisi tu. Wapalestina wahamie mji wa Gaza uliopo mapangoni na wenye maji, umeme, fuel na njia za kutokea Egypt, halafu Waisrael wakae kwenye mji wa Gaza uliopo ardhini juu ya mapango. Hapo kutakuwapo na amani ya kudumu
Wahamie na ndiyo wapo tayari?

Mungu wako wa kiyahudi, wayahaudi wenyewe hawamtambui na hata kutaja jina lake kwao ni marufuku, kimbembe.
 
Umeshaingiza mambo ya mungu tena, ulielewa mchango wangu lakini...au ndo kusema umeathirika kisaikolojia ndugu.
mchango wako si unatowa kwa ajili mungu wako ni myahudi? Hao wayahudi wenyewe hawamtambui kabisa.
 
Faiza, tunatakiwa kuomba Mungu hii vita isitishwe, kwasababu wanaoumia sio hamas, wao hamas wamejitoa kufa, wapo tayari kufa. wanaoumia ni watoto na wanawake ambao hata hawajashika bunduki wala bomu. to be honest, hiki ndicho kitu cha muhimu kukifikiria.

ukija swala kwanini wamejipanga sana, Gaza imeshazingirwa pande zote mbili, na pameachwa tu kule chini Rafa mlango wa kwenda Misri. raia kwenye mji wa Gaza wameshaambiwa waondoke ili mashambulizi yasiwadhuru. na Israel amejipanga sana ili kuhakikisha raia wanaondoka, amewapa muda baada ya masaa 24 kwisha na ulimwengu ukalalamika sana kwamba muda ulikuwa mchache. they are buying time, wakilianzisha wasionekane wamekiuka sheria za kivita kuua raia, utetezi wao watasema tuliwapa raia muda wa kuondoka na tulisubiri hadi reasonable time walipoondoka.

kujipanga kote huko wamesema wanataka kuteketeza kabisa Hamas Gaza, kupafanay Gaza kisiwa ambacho hakuna anayeishi (a deserted island), na kwasababu watakuwa wamewafukuzia wapalestina kula kusini, basi watakuwa mbali na miji ya Israel kama Ashkelon, na wengi watafanikiwa kuingia kwenye ardhi ya Misri ambako watajenga huko na kuwa wamisri. Sheria za kimataifa zinazuia waisrael wakishawafukuza wapalestina gaza wasijenge majengo yao, ila over time, watakuja kujenga tu na Gaza yote itakuwa mkoa wa wayahudi. na upande wa pili wa Westbank, wamejipanga kuwasukumia Jordan na maeneo mengine, watajenga makazi mapya na wataweka restrictions nyingi. kwa sasa westbank kuna makazi ya wayahudi mengi na walikuwa wanaongezeka siku hadi siku.

kitu ambacho HAMAS wamebugi ni kwamba, hawakujua kuwa Israel ilikuwa inasubiri sana hii nafasi kwa ajili ya kuteka maeneo mengi zaidi ya wapalestina, na kwa ukatili walioufanya, hata dunia haiwatetei sana wapalestina wanaona israel inajilinda na ni advantage kubwa sana kwa waisrael.
 
Ndio wanshindwa hadi sasahivi ni story tu mara hali ya hewa visingizio vingi
 
Sasa hao waliotangaza wana nguvu gani za Kijeshi za kumtishia Israel? Eti south Africa watangaze kimbembe na Israel astuke like serious😀😀
SANDF ua 10 tuu hao wanaondoka, hii ilitokea pale Central Africa..
 
Wapalestina wajichunge sana na maji watakayoachiwa, hawa wayahudi wanaweza kabisa kuwati;ia sumu ya kuwamaliza taratibu taratibu, ni washenzi sana nyoka hao.
Watatumia nini sasa?
 
Subiri kipigo kitakapokolea kwa Palestine usilie lie. Unachofanya wewe ni kuchochea ugomvi, waarabu wanaomba mapatano wewe upo huku kusema ameshindwa kabla ya kuanza. Sasa Ngoja waanze vizuri ili wakuoneshe hawajashindwa
miaka yote wamekuwa wakiwapiga hakuna cha ajabu , leo kuna mateka wanashikiliwa na hamas nini kinachofanya wanasita kwenda kuwaokoa ?
 
Nani wa kusitisha, wanaoonewa na kuuliwa kwa miaka 70?

Warudishe tu maeneo ya wapalestina, vita kwisha.
 
Nani wa kusitisha, wanaoonewa na kuuliwa kwa maiaka 70?

Warudishe tu maeneo ya wapalestina, vita kwisha.
nadhani wapalestina wanatakiwa kukubaliana kuishi na tatizo hili kwasababu haitakuja kutokea hata siku moja Taifa la Israel likafutika, au wayahudi mamilioni yale wakateketezwa au wakarudisha ardhi kwa mtu yeyote yule anayedai ni yake. solution ni kuishi na tatizo hilo kwasababu upande wa Israel wameshajiandaa kuishi na tatizo hilo maisha yao yote wakati upande wa wapalestina hawajajiandaa na asiyejiandaa kukubaliana na ukweli huu ndiye atakayekuwa analialia na kuumia maisha yake yote.
 
Mungu wako wa kiyahudi, wayahaudi wenyewe hawamtambui na hata kutaja jina lake kwao ni marufuku, kimbembe.
Ila wanamtambua wa Wapalestina! Wala sihitaji wamtambue, mi nazungumzia wanaochapana vita!
 

View: https://youtube.com/shorts/VhKqlJCjVeU?si=5yLi3A0gXidIC1P3
 
Wayahudi kwa habari ya Yesu, wamepotea kwasababu hawamkubali, na Biblia imeeleza hivyo, na kuna miaka ijayo imetabiriwa watakuwa kumwamini. kwahiyo hilo lisikiutie shida
wayahudi wamewaaingiza nyinyi mkenge kuwa huyo ndiyo mungu wenu, na nyinyi mpo tu mnamuabudu myahudi feki.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…