mendez-digala
Member
- Sep 13, 2022
- 23
- 48
okay unaeza fungua prjvate warehouse near port, railway station mwamaana ya kuhifadhi bidhaa kwaajili ya usafirishaji na ukapiga pesa fleshMkuu, watu wanahoji ugavi katika kujiajiri. How can a procurement officer employ himself?
Tunahitaji taaluma itakayomuwezesha kijana kujiajiri mkuu na fursa ndogo ya kuajiriwa.mwana haelewi uyu, moja ya fani nyeti sana ani ata sbule unayoona inajenvwa ni proceessing na procurement, mgavi akisema sikupi tenda ndo imeisha iyo. uyu PMU katika taasis hingne anaeza kuwa mtu wa marketing, avvountant kwamaana acounting analysis wanazisoma, awa ni.watu wa bandari pia😁, awa jamaa warespect aisee
Mkuu, someone fresh from chuo anaweza fanya haya na bado HESLB wanamdai?okay unaeza fungua prjvate warehouse near port, railway station mwamaana ya kuhifadhi bidhaa kwaajili ya usafirishaji na ukapiga pesa flesh
Safi sana mkuu. Hakika hili ndio jibu sahihi. Moderators ninaomba huu mjadala ufungwe sasa.Nadhani ziachwe tu! Kwa sababu zipo ili kupanua wigo kwa watoto wetu angala wapate degree za kuwaletea heshima kwa jamii kwamba wamesoma! Watapata kazi wapi hiyo watajua wenyewe na wazazi wao.
Mtoa mada ametoa hoja kwamba procurement haina umuhimu mowote, watu ndo wanamshushia nondo wanamwambia hamna mradi wowote ule kwenye hii nchi utafanyika bila mtu wa procurementTunahitaji taaluma itakayomuwezesha kijana kujiajiri mkuu na fursa ndogo ya kuajiriwa.
Mkuu, katika hiyo dunia Tanzania haipo. Huwa mnakosea sana masuala ya Ulaya kuyaleta Tanzania. Hao jamaa wana nuclear ila sisi bado tuna njaa.Umeongea fact zamani hizo mambo ulizogusia hapo za procurement zilikuwa chini ya ofisi ya mhasibu
Ila baada ya kuona upana na umuhimu wake ndio maana taaluma ya procurement and logistics management zikaongezwa kwenye vyuo vingi duniani
kaka ipo ivi kama mtu anasoma enterprnuership, marketing (prochrement anavisomq ivi) apa kuna marketing research and investigation anapoamua kufungua biashara ya kufanya taaluma yake ataitumia kwa mfano hii handling au dispatching inamuwezesha kufanya delivery ya bidhaa zako at 5Rs, jambo qmbalo linaweza imarisha customer relation na biasbara kukua katika boom stageMkuu, someone fresh from chuo anaweza fanya haya na bado HESLB wanamdai?
Self employment kwa fresh graduate wa procurement ndio inafanya hii taaluma kuonekana kuwa ni useless kwa hapa Tanzania.Kwa kifupi ni kwamba wewe haujui umuhimu wa procurement ndio maana umeandika hoja zisizo na mashiko
Wewe jamaa uwezo wako wa kufikiri bado ni mdogo sanaMkuu, katika hiyo dunia Tanzania haipo. Huwa mnakosea sana masuala ya Ulaya kuyaleta Tanzania. Hao jamaa wana nuclear ila sisi bado tuna njaa.
Asante sana boss. Hakika wewe ni Genius.Wewe jamaa uwezo wako wa kufikiri bado ni mdogo sana
Uko vizuri Kaka, nawashangaa watanzania kutaka kupima umuhimu wa fani flani kwa kigezo cha kujiajiri,kaka ipo ivi kama mtu anasoma enterprnuership, marketing (prochrement anavisomq ivi) apa kuna marketing research and investigation anapoamua kufungua biashara ya kufanya taaluma yake ataitumia kwa mfano hii handling au dispatching inamuwezesha kufanya delivery ya bidhaa zako at 5Rs, jambo qmbalo linaweza imarisha customer relation na biasbara kukua katika boom stage
lakini pia kama alivosema mchangiaji apo.juu unaeza fanya kujiajiri nje ya fani yako
Twende na facts ni vijana gani hapa Tanzania wamejiajiri kutoka kwenye kitu walichosomea ?Self employment kwa fresh graduate wa procurement ndio inafanya hii taaluma kuonekana kuwa ni useless kwa hapa Tanzania.
Tutajie basi taaluma ambazo self employment kwa fresh graduate ni rahisi hapa TanzaniaSelf employment kwa fresh graduate wa procurement ndio inafanya hii taaluma kuonekana kuwa ni useless kwa hapa Tanzania.
Tatizo hoja zako hazina mashikoAsante sana. Hakika wewe ni Genius.
Infact kwenye uhalisia hakunaTutajie basi taaluma ambazo self employment kwa fresh graduate ni rahisi hapa Tanzania
Halafu kujiajiri sio lazima iwe ni kwa taaluma uliyosomea tu mkuu. Mbona unachelewa sana
Asante sana bossTatizo hoja zako hazina mashiko
Huyu jamaa afute tu huu uzi naona anaaibika tu 🤣🤣🤣Mtoa mada ametoa hoja kwamba procurement haina umuhimu mowote, watu ndo wanamshushia nondo wanamwambia hamna mradi wowote ule kwenye hii nchi utafanyika bila mtu wa procurement
Hata hospital za serikali hamna kitu kinanunulika bila mtu wa procurement, kwa hiyo procurement ni zaidi ya anavyoichukulia
Utashangaa nikikwambia hata kwenye halmashauri ukimtoa mkurugezi, boss wao ni mtu wa procurement [emoji16] Sababu yeye ndo anaamua hela itumike vipi
Kaulize wazabuni(supplies) mtu wa procurement ana umuhimu gani kwao
Hoja ya mleta maada juu imeegemea zaidi juu ya soko la hawa graduate wa procurement baada ya kuhitimu, amesema wazi, soko lao kuu la ajira liko hasa serikalini, kwa maana wizarani, katika idara na taasisi za serikari na hata katika halmashauri.Wewe jamaa uwezo wako wa kufikiri bado ni mdogo sana
Agriculture, PC and Mobile device maintenanceTutajie basi taaluma ambazo self employment kwa fresh graduate ni rahisi hapa Tanzania