Kwa ulimwengu huu wa sasa Fani ya Procurement bado inafundishwa vyuoni kwa sababu gani?

Tatizo hoja zako hazina mashiko
😅😅tuendelee kumpa nondo mwana aelewe, yakuwa ugavi na manunuzi ni taaluma nyeti mnoo, waziri mkuu majaliwa aliwahi sema taaluma ya procurement ni muhimu ivo wwandaliwe watu wenye weledi ili kuepuka risks mbalimbali serkarini, dah nataman ni mshusbie fact mda hautoshi😁,

kaka mtoa mada naomba unielege mtu wa marketing na accounting anajiajiri vp kama ni flesh
 
Kuanzisha bodi ya wagavi hakuondoi ukweli wa kwamba nje ya ajira serikalini, wagavi hasa huku sector binafsi hawatumiki ipasavyo,. Kwa maana majukum ya wagavi hufanywa watu wenye sifa za chini mnoo, na pengine hawana taalum yoyote ile.
 
Kulingana na uelewa wangu mdogo, kujiajiri ni mtu kumiliki shughuli yake binafsi ya kumuingizia kipato.
Sawa natamani kukutajia watu ambao nawafahamu ila sitoweza Kwa sababu za faragha zao labda nijaribu kuwaomba wakikubali then nitakuja na mkeka wao.
 
Mleta mada ametaka ifutwe kwa kuwa haina umuhimu, sisi tulikuwa tu tunamfundisha umuhimu wa hicho kitu anachotaka kifutwe, then atapima yeye kwamba bado anaendelea na msimamo wake au Kuna kitu amejifunza
 
Mbona wanauhitaji sana mkuu. Mtu wa store anayecheza na stock ya store ni muhimu sana eneo lolote ambapo kuna store kama hotelini, mgahawa, gereji, hospital, popote pale ambapo kuna store.
Hivi maudhui ya mwandishi uliyaelewa?

Yote uliyoeleza ni sahihi lakini je, elimu hiyo inaweza kumfanya mhitimu asimame kwa miguu yake bila ya kutegemea hayo magongo ya kuajiriwa?
 
kaka mtoa mada naomba unielege mtu wa marketing na accounting anajiajiri vp kama ni flesh
Ndugu yangu umeuliza swali la msingi saaana. Procurement, Accountancy, Human Resources Management, Petroleum Engineering and the like fall in the same basket of useless undergraduate programs.
 
Kuanzisha bodi ya wagavi hakuondoi ukweli wa kwamba nje ya ajira serikalini, wagavi hasa huku sector binafsi hawatumiki ipasavyo,. Kwa maana majukum ya wagavi hufanywa watu wenye sifa za chini mnoo, na pengine hawana taalum yoyote ile.
Ni kweli, Kuna watengeneza simu ambao hawajawahi kugusa hata darasa, Kuna watu wanafanya wiring vizuri Sana, na mambo mengine yanayohisisha fani ya electrical engineering licha ya kwamba hawajawahi kanyaga darasa, Kuna watu wanatengeneza ramani za nyumba na hawajawahi kugusa darasa la architecture, Kuna watu ni watumiaji na mafundi wazuri tu wa computer na hawana hata degree ya it, au computer science kwa hiyo nikusahihishe tu kwamba chochote kinaweza fanywa na yoyote tu
 
Kwa hiyo vijana wote waliowekeza kwenye kilimo walisomea agriculture?

Na hawa mafundi wetu wa PC na simu wamesomea PC and mobile device maintenance?
Ungekuja na hoja nyingine zaidi ya hizo ulizotole mfano ningekuelewa kidogo.
Lazima tukubaliane kwamba lengo la kwanza na kuu la taaluma ni kumuwezesha muhusika kupata ajira katika eneo lake la taaluma, na kuingiza kipato stahiki.
Tusitumie hali ya mazingira yetu na siasa zisizo na tija ku-justify kwa hoja kama zako, mtu mwenye taaluma kuishia katika shughuli zinazofanywa na mtu asiye na taaluma.
 
Mkuu, if this is the case, why wasting so much time around those campus buildings?
 
Mh Kishimba ukienda Dodoma City kule
Karibia na St. John anamiliki Kijiji amepangisha
 
Sio wote wanaofanya kazi hizo wamesomea lakini waliosomea wana nafasi kubwa ya kuwa na ufanisi mzuri kuliko waliodandia fani.
Na ndio maana wadau walikuwa wanakwambia inapohusu kujiajiri wengi hawajiajiri katika fani walizosomea watu wanacheza na fursa tu.

Ukisubiri taaluma yako ikusaidie ujiajiri utachelewa
 
Na ndio maana wadau walikuwa wanakwambia inapohusu kujiajiri wengi hawajiajiri katika fani walizosomea watu wanacheza na fursa tu.

Ukisubiri taaluma yako ikusaidie ujiajiri utachelewa
Kama mtu anaweza akajiajiri katika fani ambayo hajasomea, kwanini tunapoteza muda huko vyuoni?
 
Mkuu, if this is the case, why wasting so much time around those campus buildings?
Ujue Mimi Kuna kitu huwa nakiamini PRACTICE, huwa naamini yoyote anaweza kufanya chochote akipewa practice

Elimu ya nadharia kwa fani yoyote ile haina cha maana, ndio maana asilimia kubwa ya watu ujuzi wa kitu walichokisomea wanautoa kazini!
 
Mkuu, huyo jamaa inaonekana ni mnufaika wa hizi corrupt systems za Afrika. We seriously need to change.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…