Kwa unyenyekevu mkubwa, naombeni msaada wa mawazo kuhusu huyu binti

SHIMBWE

Member
Joined
Jan 23, 2024
Posts
81
Reaction score
152
Habari wanaJf,
Kuna binti nipo nae kwenye mahusiano yakususua karibu mwaka wa pili huu. Huyu binti kipindi anasoma chuo kwa bahati akapata ujauzito na kufanikiwa kupata mtoto. Mwanzo alikuwa anaogopa kuniambia kama ana mtoto ila akaja akaniambia ukweli.

Sasa kamaliza chuo anataka kuja kwangu na mimi Mungu kabariki nimefanikiwa kujenga nyumba yakuishi, mm sina shida sana na mtoto wake japo inavyoonekna mm ndio ninatakiwa kubeba majukumu kama shule n.k japo bado mdogo sana.
Kuhusu baba yake yupo mkoa mwingine na anavyodai huwa hahusiki sana na matumizi ya mtoto japo huwa anatoa kidogo.Shida inakuja majirani, ndugu na jamaa wanajua mm bado sina mtoto na wimbo wa kila siku kuwa naoa lini!

Wakuu nimekuwa nasoma nyuzi za single mothers kila mara humu ila hili lipo kwangu safari hii, naombe msaada wa namna gani naweza solve hilo suala🙏🏽🙏🏽
 
Mimi binafsi simshauri kijana ambaye amejitunza, akashindana na matamanio ya nafsi huku akijenga maisha yake na amefikia hatua ya kuoa kwa maana ya uwezo wa kuyabeba majukumu.....na ni ndo yake ya kwanza....kuoa mwanamke ambaye ana mtoto......

Ndoa hasa ya kwanza ni ya kufurahia na kula raha za ndoa na sio kuhangaika na malezi moja kwa moja......lakini wanawake wenye watoto wao wanakuwa na ndimi mbili juu ya mahusiano Yao na wazazi wenza....ambapo Kwa mwanzo lazima ampake matope......

Kwa kweli mimi naona kuoa mwanamke mwenye unahitajika uwe na moyo mgumu wenye uwezo wa kuyavumilia hata yale yasiyo ya kawaida
 
Habari wanaJf,
Kuna binti nipo nae kwenye mahusiano yakususua karibu mwaka wa pili huu. Huyu binti kipindi anasoma chuo kwa bahati/nzuri akapata ujauzito na kufanikiwa kupata mtoto. Mwanzo alikuwa anaogopa kuniambia kama ana mtoto ila akaja akaniambia ukweli.

Sasa kamaliza chuo anataka kuja kwangu na mimi Mungu kabariki nimefanikiwa kujenga nyumba yakuishi, mm sina shida sana na mtoto wake japo inavyoonekna mm ndio ninatakiwa kubeba majukumu kama shule n.k japo bado mdogo sana.
Kuhusu baba yake yupo mkoa mwingine na anavyodai huwa hahusiki sana na matumizi ya mtoto japo huwa anatoa kidogo.Shida inakuja majirani, ndugu na jamaa wanajua mm bado sina mtoto na mwimbo wa kila siku kuwa naoa lini!

Wakuu nimekuwa nasoma nyuzi za single mother kila mara humu ila hili lipo kwangu safari hii, naombe msaada kwa solve hilo suala🙏🏽🙏🏽
Kama unaona hana shida na mnaweza mkafika mbali kimaisha na wazazi wako wamekubali uishi naye basi ni wewe tu na uamuzi wako.

Binafsi siwezi kuoa mwanamke mwenye mtoto kwangu ni ngumu sana
 
Habari wanaJf,
Kuna binti nipo nae kwenye mahusiano yakususua karibu mwaka wa pili huu. Huyu binti kipindi anasoma chuo kwa bahati/nzuri akapata ujauzito na kufanikiwa kupata mtoto. Mwanzo alikuwa anaogopa kuniambia kama ana mtoto ila akaja akaniambia ukweli.

Sasa kamaliza chuo anataka kuja kwangu na mimi Mungu kabariki nimefanikiwa kujenga nyumba yakuishi, mm sina shida sana na mtoto wake japo inavyoonekna mm ndio ninatakiwa kubeba majukumu kama shule n.k japo bado mdogo sana.
Kuhusu baba yake yupo mkoa mwingine na anavyodai huwa hahusiki sana na matumizi ya mtoto japo huwa anatoa kidogo.Shida inakuja majirani, ndugu na jamaa wanajua mm bado sina mtoto na mwimbo wa kila siku kuwa naoa lini!

Wakuu nimekuwa nasoma nyuzi za single mother kila mara humu ila hili lipo kwangu safari hii, naombe msaada kwa solve hilo suala🙏🏽🙏🏽

Chief una machaguo mengi sana ya kuoa.

Fuata moyo wako
 
Back
Top Bottom