Beesmom
JF-Expert Member
- Oct 4, 2022
- 37,420
- 92,254
Imeisha hiyo 🤒...yaan imeisha 😡Mteme chapu ,mimi sinaga kujiuliza kwa msaliti iwe ni msg au kumtazama mtu kwa matamanio , nakuacha chap ziulizi wala kusikilizia mara mbili.
Imeisha hiyo 🤒...yaan imeisha 😡Mteme chapu ,mimi sinaga kujiuliza kwa msaliti iwe ni msg au kumtazama mtu kwa matamanio , nakuacha chap ziulizi wala kusikilizia mara mbili.
Achana nae mara moja hii dunia tunaishi mara moja tu , unatakiwa uishi kwa starehe mno na sio stress.Imeisha hiyo 🤒...yaan imeisha 😡
We unazingua...upo mbeya hapahapa unazurura tuAfadhari umteme wengine tufikiliewe
I appreciate you Kamanda....the realoneAchana nae mara moja hii dunia tunaishi mara moja tu , unatakiwa uishi kwa starehe mno na sio stress.
Muoe tu kaka, wanawake wote tunachangamoto tu...waliochomana na mkaa unadhani alikuwa singlemom...tabia tuMoyo unamtaka yeye, tatizo lipo hapa 👉🏽 baba wa mtoto na malezi, ndugu, jamaa na majirani!
Kanuni ya kwanza najipenda mimi kwanza ,halafu wanafuata wanangu ,tatu wazazi nne pacha yangu , sita pombe, saba asili,tofauti na hapo siogopi kitu na hauniambii kitu.I appreciate you Kamanda....the realone
Onhoo, imeisha hiyo...yaan huwezekanikiKanuni ya kwanza najipenda mimi kwanza ,halafu wanafuata wanangu ,tatu wazazi nne pacha yangu , sita pombe, saba asili,tofauti na hapo siogopi kitu na hauniambii kitu.
Katika vitu nimewekeza nikujikubali aseeOnhoo, imeisha hiyo...yaan huwezekaniki
Sahihi kabisa ❤️Za kuambiwa changanya na zako, ila sio kila single mother ana shida au hawezi tengeneza familia, wapo watulivu kabisa na hawana mahusiano na wazazi wenzie.
Mi nikija mbeya lazima nikutafute.Tukae Kikao kwanzaWe unazingua...upo mbeya hapahapa unazurura tu
Pamoja KamandaKatika vitu nimewekeza nikujikubali asee
Kumbe haupo mbeya mkuuMi nikija mbeya lazima nikutafute.Tukae Kikao kwanza