Smart911
Platinum Member
- Jan 3, 2014
- 179,428
- 197,153
Ila unampenda sana mpenzi wako...Yeah sure

Wakiiikuulliza unaowa lini? Subiri siku ya msibaaa uwaulize na wewe lini?Habari wanaJf,
Kuna binti nipo nae kwenye mahusiano yakususua karibu mwaka wa pili huu. Huyu binti kipindi anasoma chuo kwa bahati akapata ujauzito na kufanikiwa kupata mtoto. Mwanzo alikuwa anaogopa kuniambia kama ana mtoto ila akaja akaniambia ukweli.
Sasa kamaliza chuo anataka kuja kwangu na mimi Mungu kabariki nimefanikiwa kujenga nyumba yakuishi, mm sina shida sana na mtoto wake japo inavyoonekna mm ndio ninatakiwa kubeba majukumu kama shule n.k japo bado mdogo sana.
Kuhusu baba yake yupo mkoa mwingine na anavyodai huwa hahusiki sana na matumizi ya mtoto japo huwa anatoa kidogo.Shida inakuja majirani, ndugu na jamaa wanajua mm bado sina mtoto na wimbo wa kila siku kuwa naoa lini!
Wakuu nimekuwa nasoma nyuzi za single mothers kila mara humu ila hili lipo kwangu safari hii, naombe msaada wa namna gani naweza solve hilo suala🙏🏽🙏🏽
Bro ukiambiwa uchague kati ya kuoa single mama au kunywa sumu, wee kunywa sumu tuu.Habari wanaJf,
Kuna binti nipo nae kwenye mahusiano yakususua karibu mwaka wa pili huu. Huyu binti kipindi anasoma chuo kwa bahati akapata ujauzito na kufanikiwa kupata mtoto. Mwanzo alikuwa anaogopa kuniambia kama ana mtoto ila akaja akaniambia ukweli.
Sasa kamaliza chuo anataka kuja kwangu na mimi Mungu kabariki nimefanikiwa kujenga nyumba yakuishi, mm sina shida sana na mtoto wake japo inavyoonekna mm ndio ninatakiwa kubeba majukumu kama shule n.k japo bado mdogo sana.
Kuhusu baba yake yupo mkoa mwingine na anavyodai huwa hahusiki sana na matumizi ya mtoto japo huwa anatoa kidogo.Shida inakuja majirani, ndugu na jamaa wanajua mm bado sina mtoto na wimbo wa kila siku kuwa naoa lini!
Wakuu nimekuwa nasoma nyuzi za single mothers kila mara humu ila hili lipo kwangu safari hii, naombe msaada wa namna gani naweza solve hilo suala🙏🏽🙏🏽
Hajielewi huyu jamaaaaYajayo yanafurahisha kama si kuhuzunisha kwa mleta uzi.
Ebo una mpenzi tena na wakati ulisema umeokoka! Aisee nyie mbona mnatania wokovuKama ametulia mchukue,ila kama ndiyo wale wanaowasiliana na maex ... sijui....
Mimi mwenyewe mpenzi wangu anawasiliana na ex naelekea kumtema soon🤒
Wakati baba ananipeleka sekondari boarding school aliniambia kauli moja, alisema “usiwaze kuhusu marafiki zako nyumbani uliowaacha, huku utapata marafiki wengine na utawasahau wale wa nyumbani” mkuu kinachokusumbua wewe unawaza kama ukimwacha utapata wapi mwingine wa mfano wake, sikia wanawake wapo, achana na huyo mke wa mtu, anzisha familia yako, usijiunge na familia ya watu wengine. Shida za hao watu unaweza usizione leo, ila ukianza nae family ni forever and for always. MKUU TAFUTA MKE WAKO, HUYO NI MKE WA MWANAUME MWENZIO.Habari wanaJf,
Kuna binti nipo nae kwenye mahusiano yakususua karibu mwaka wa pili huu. Huyu binti kipindi anasoma chuo kwa bahati akapata ujauzito na kufanikiwa kupata mtoto. Mwanzo alikuwa anaogopa kuniambia kama ana mtoto ila akaja akaniambia ukweli.
Sasa kamaliza chuo anataka kuja kwangu na mimi Mungu kabariki nimefanikiwa kujenga nyumba yakuishi, mm sina shida sana na mtoto wake japo inavyoonekna mm ndio ninatakiwa kubeba majukumu kama shule n.k japo bado mdogo sana.
Kuhusu baba yake yupo mkoa mwingine na anavyodai huwa hahusiki sana na matumizi ya mtoto japo huwa anatoa kidogo.Shida inakuja majirani, ndugu na jamaa wanajua mm bado sina mtoto na wimbo wa kila siku kuwa naoa lini!
Wakuu nimekuwa nasoma nyuzi za single mothers kila mara humu ila hili lipo kwangu safari hii, naombe msaada wa namna gani naweza solve hilo suala🙏🏽🙏🏽
😂😂😂😂Unataka ushauri wa unyenyekevu, tukunyenyekee aya:
KATAA NDOA
😂😂😂Kama ametulia mchukue,ila kama ndiyo wale wanaowasiliana na maex ... sijui....
Mimi mwenyewe mpenzi wangu anawasiliana na ex naelekea kumtema soon🤒
Sawa mkuu ,ila twende mbele turudi nyuma; ukiangalia hapo kuna ufala kafanya mwanaum mwingine kwa kumzalisha huyo mwanamke then kumtema ..Kusema ila ukweli sisi wanaume tunazingua sana japo hakuna sababu ya kubeba mzigo wa mwingine.Mimi binafsi simshauri kijana ambaye amejitunza, akashindana na matamanio ya nafsi huku akijenga maisha yake na amefikia hatua ya kuoa kwa maana ya uwezo wa kuyabeba majukumu.....na ni ndo yake ya kwanza....kuoa mwanamke ambaye ana mtoto......
Ndoa hasa ya kwanza ni ya kufurahia na kula raha za ndoa na sio kuhangaika na malezi moja kwa moja......lakini wanawake wenye watoto wao wanakuwa na ndimi mbili juu ya mahusiano Yao na wazazi wenza....ambapo Kwa mwanzo lazima ampake matope......
Kwa kweli mimi naona kuoa mwanamke mwenye unahitajika uwe na moyo mgumu wenye uwezo wa kuyavumilia hata yale yasiyo ya kawaida
Kabisa kuna vitu vingine hamna haja ya kuuliza nikufanya tu maamuziHajielewi huyu jamaaaa
Kumbe haupo mbeya mkuu
Unatoaje mahari kwa mwanamke ambaye tayari amezalishwa, hizi mila huwa sizielewi hata kidogo. Dowry kwa mwanamke aliyezalishwa tayari kwangu ni batili.Unabidi kumuoa na kumtunza huyo mtoto na kumsomesha .
Na uende utoe mahari kwao na Kufunga ndoa takatifu .