Kwa unyenyekevu mkubwa, naombeni msaada wa mawazo kuhusu huyu binti

Kwa unyenyekevu mkubwa, naombeni msaada wa mawazo kuhusu huyu binti

Kaa chini shirikisha akili yako roho na mifupa vyema acha kuomba ushauri kwa vitu vya kijinga kama hivyo..
Maana kama umesoma nyuzi nyingi za single maza najua umeng'amua mengi kuhusu hiyo angle sio lazima tukushikie kidebe maana baadhi ya watu hujifunza kwa kuona sio kwa kusikia.
Unamleta kwako akiwa na mtoto wake je ukifa wiki tatu baada ya kuanza kuishi nae nani atarithi hizo mali zako si ni hiyo familia yake?
Anakuambia kuwa baba mtoto anachangia kidogo?
Hii ni akili ndogo ambazo single mamaz ambao hawapo tayari kufanya kazi kujitafutia kipato chao huzitumia ili kuwin maisha kwa wanaume wengine..

Iko hivi wadada hupenda sana kuchuma sana wasipopanda hata mbegu moja.
Akikuambia kuwa anahudumiwa effectively maana yake kwako hatopata kikubwa. Wanawake ni mafara sana lakini sio katika kiwango hicho ubachokiwaza wewe hapo.
Yaani hapo umetuonyesha wazi kuwa huyo mwanamke ameshakupita uwezo wa kufikiri na kutazama mambo kwa upana.
Ndio maana ametoka chuo na mtoto wa mtu mwingine na sio wewe lakini bado wewe ukaendelea kumpa kipaumbele katika maisha yako sijui kwanini unawaza kwenda Magharibi wakati dunia inaenda Mashariki.
Hapo wewe umeangalia mafanikio kiduchu uliyoyapata kama kigezo cha kumhold huyo malaya.
Yaani kama uneamua kumtumia kujifunza mitindo mbali mbali ya sex ni sawa lakini kama unadhani unafanya nae maisha ni unajidanganya wazi.
Kwanini in the first place hakubeba mimba yako wewe akabeba ya huyo?
Au wewe huwezi kutungisha mimba?
Sikiliza kijana bado unahitaji kuwa huru kwa muda mrefu kwanza ufurahie maisha na juhudi zako sio kuanza kung'ang'ana na majukumu ya watu ambao wote wawili wapo hai ila uvivu wa mama tu kuwa accountable juu ya makosa yake.
Mi niko pale nakucheki mwanawane,, I 've been through that shit a long time ago.
🙏🏽🙏🏽
 
Habari wanaJf,
Kuna binti nipo nae kwenye mahusiano yakususua karibu mwaka wa pili huu. Huyu binti kipindi anasoma chuo kwa bahati akapata ujauzito na kufanikiwa kupata mtoto. Mwanzo alikuwa anaogopa kuniambia kama ana mtoto ila akaja akaniambia ukweli.

Sasa kamaliza chuo anataka kuja kwangu na mimi Mungu kabariki nimefanikiwa kujenga nyumba yakuishi, mm sina shida sana na mtoto wake japo inavyoonekna mm ndio ninatakiwa kubeba majukumu kama shule n.k japo bado mdogo sana.
Kuhusu baba yake yupo mkoa mwingine na anavyodai huwa hahusiki sana na matumizi ya mtoto japo huwa anatoa kidogo.Shida inakuja majirani, ndugu na jamaa wanajua mm bado sina mtoto na wimbo wa kila siku kuwa naoa lini!

Wakuu nimekuwa nasoma nyuzi za single mothers kila mara humu ila hili lipo kwangu safari hii, naombe msaada wa namna gani naweza solve hilo suala🙏🏽🙏🏽
Achana naye wanawake wapo wengi.
 
Kiukwel mkuu fuata hitaji la moyo wako ukisikiliza sana watu hutofika kweny malengo ila kaza moyo fanya maamuz Yako
 
👉👉👉 Umenena vyema kiongoz wang..........Nina ushuhuda wa wazi kabsa.......niliwaza TU huyu tulietaka kumuoa akaamua kufanya UZINZI Kwa mtu aliyemdhalilisha mwanzo na kumtelekeza.......niseme ukweli SINGLE MOTHERS SIO WATU WA KUWAONEA HURUMA KWA KUWAOA.............Bora awe kipoozeo TU hata Kwa kumhonga GARI lkn sio kuwa wife material.....
Pia tukiachana tu na hilo suala la wao kupasha viporo na wazazi wenza, kuna athari nyingine nyingi tu zinatokana na huyo mtoto aliyenae ambaye sio damu yako.

>Kwanza kabisa wewe utakuwa baba kwenye majukumu tu, lakin hautakuwa baba kwenye kumpa discipline huyo mtoto... yaani linapokuja suala la kumlipia ada na mahitaji mengine ya msingi wewe baba wa kambo ndio utawajibika, ila huyo mtoto akikosea chochote hautakuwa na mamlaka ya kumuadhibu, maana ukithubutu tu kumchapa au kumpa adhabu yoyote kwa lengo la kumshikisha adabu utazua ugomvi na mama yake kwamba una mnyanyasa mwanae... yaani kifupi wewe utakuwa ni nusu-baba nusu stranger, sasa si ni ufala huo??? Wewe uko tayari kuishi maisha yako yote na huyo mtoto kwa style hii? Yaani uishi kwa kumuogopa na kuvumilia maudhi yake yote sababu tu hutaki kumkwaza mama yake?

>Na pia vile vile mahusiano yenu na huyo mtoto wako wa kambo yatakuwa yameshikiliwa na mahusiano yako na mama yake, unaweza ukaishi na huyo mke wako hata kwa miaka 20 ila siku ikitokea mmetalakiana tu, anajiondokea yeye na mtoto wake, unakuwa ndio mwisho wako wa kushirikiana chochote na huyo mtoto wako wa kambo sasa abaki kutafuta nini na wakati wewe umeshaachana na mama yake? Na zaidi ya hapo wewe sio baba yake, hivyo anajiondokea anaenda na kumtafuta baba yake halisi... tena wakati huo unakuta tayari mtoto huyo ana elimu yake nzuri ambayo wewe ndio ulimsomesha.

Ndio maana kwa mwanaume yeyote anaye angalia mambo kwa mapana hawezi kabisa kuoa single mother.
 
Pia tukiachana tu na hilo suala la wao kupasha viporo na wazazi wenza, kuna athari nyingine nyingi tu zinatokana na huyo mtoto aliyenae ambaye sio damu yako.

Ndio maana kwa mwanaume yeyote anaye angalia mambo kwa mapana hawezi kabisa kuoa single mother.
Unaanzaje kuoa single mother/dada wakati kuna bebez mingi kitaa kila mwaka zinamaliza la saba na form four zinafails mitihani zinazagaa tu bado mbichi hazina watoto... Kuliko kuoa single mother heri upoteze muda kusubiria form four failures uoe au jichomoe akili uwekeze kwa katoto ka sekondari kakimaliza tu skuli kama hakana malengo ya kuendelea weka ndani tu mradi kamepata elimu hiyo hiyo inatosha, ila kama kamefaulu kanaendelea kusoma achana nako usisomeshe mwanamke sio jukumu lako achia familia yake..
 
Habari wanaJf,
Kuna binti nipo nae kwenye mahusiano yakususua karibu mwaka wa pili huu. Huyu binti kipindi anasoma chuo kwa bahati akapata ujauzito na kufanikiwa kupata mtoto. Mwanzo alikuwa anaogopa kuniambia kama ana mtoto ila akaja akaniambia ukweli.

Sasa kamaliza chuo anataka kuja kwangu na mimi Mungu kabariki nimefanikiwa kujenga nyumba yakuishi, mm sina shida sana na mtoto wake japo inavyoonekna mm ndio ninatakiwa kubeba majukumu kama shule n.k japo bado mdogo sana.
Kuhusu baba yake yupo mkoa mwingine na anavyodai huwa hahusiki sana na matumizi ya mtoto japo huwa anatoa kidogo.Shida inakuja majirani, ndugu na jamaa wanajua mm bado sina mtoto na wimbo wa kila siku kuwa naoa lini!

Wakuu nimekuwa nasoma nyuzi za single mothers kila mara humu ila hili lipo kwangu safari hii, naombe msaada wa namna gani naweza solve hilo suala🙏🏽🙏🏽
Mlee mtot usisikiliz watu watasemaje
 
Single mothers nawapa pole sana... .. !
Mchunguze vzr kwa mda wa kutosha ... na baadae maamuzi yatakuja ..usitumie hisia tumia akili.
single mothers ni binaadamu kama walivyo wengine..
Mikoa ya pwani wanaoa na kuishi nao vzr tu..nimeona wengi mtu anaoa mke ameolewa na kuachika zaidi ya mara mbili na watoto na wanaishi vyema .
Tabia ya mtu tu..
Muombe Mungu .. ..utapata mke mwema kama ni huyo au mwengine!
 
Back
Top Bottom