Beesmom
JF-Expert Member
- Oct 4, 2022
- 37,420
- 92,254
🤣🤣🤣Mshenzi huyuMpenz wako anae mpenzi wake mwenye mpenzi wake 😂
🤣🤣🤣Mshenzi huyuMpenz wako anae mpenzi wake mwenye mpenzi wake 😂
Mkuu hapo Unabet wakiwa na maelewano mazuri yeye n Baba mtoto kukuacha dakika tu ish naye kimastaHabari wanaJf,
Kuna binti nipo nae kwenye mahusiano yakususua karibu mwaka wa pili huu. Huyu binti kipindi anasoma chuo kwa bahati akapata ujauzito na kufanikiwa kupata mtoto. Mwanzo alikuwa anaogopa kuniambia kama ana mtoto ila akaja akaniambia ukweli.
Sasa kamaliza chuo anataka kuja kwangu na mimi Mungu kabariki nimefanikiwa kujenga nyumba yakuishi, mm sina shida sana na mtoto wake japo inavyoonekna mm ndio ninatakiwa kubeba majukumu kama shule n.k japo bado mdogo sana.
Kuhusu baba yake yupo mkoa mwingine na anavyodai huwa hahusiki sana na matumizi ya mtoto japo huwa anatoa kidogo.Shida inakuja majirani, ndugu na jamaa wanajua mm bado sina mtoto na wimbo wa kila siku kuwa naoa lini!
Wakuu nimekuwa nasoma nyuzi za single mothers kila mara humu ila hili lipo kwangu safari hii, naombe msaada wa namna gani naweza solve hilo suala🙏🏽🙏🏽
Mr Devil umemaliza. Thread ifungwe.Utalia narudia utalia na utakimbia icho kinyumba ulicho jenga😅😅
Sina helaMuoe wewe
Punguza kumsamehe samahe mpenzi wako kila siku na sisi wengine tunahitaji nafasi kwakoZipo ila why uforce mtu alee kiumbe chake....siku akijitokeza kwamba huyo ni mwanangu hapo ndiyo unachagua uue au umshtaki
🤣🤣🤣Mtu akijichomeka kwako,ahesabu maumivu 🙌Punguza kumsamehe samahe mpenzi wako kila siku na sisi wengine tunahitaji nafasi kwako
Mbona unanitisha ndo maana sipati demu jf?🤣🤣🤣Mtu akijichomeka kwako,ahesabu maumivu 🙌
🤣🤣🤣 Tupo makini sana na comments zenu ..kuwin tumia new I'dMbona unanitisha ndo maana sipati demu jf?
Uza kiwanja chako 😁Sina hela
Kuna I'd mpya nimeshaanzisha kule mimi ni mstaarabu sana nasubiri badge ya new member iondoke ili nianze kuwatega🤣🤣🤣 Tupo makini sana na comments zenu ..kuwin tumia new I'd
Wateja wanataka kunilalia....mwrngine juzi kasema nimpe kiwanja anipembususuUza kiwanja chako 😁
Mpe tu huyo wa mbususu, maisha ndo haya hayaWateja wanataka kunilalia....mwrngine juzi kasema nimpe kiwanja anipembususu
Hamna mbususu ya 6mil bwanaMpe tu huyo wa mbususu, maisha ndo haya haya
Hapo utatukamata,pendelea sana kuzungumzia biashara kubwakubwa...siyo ya kuuza maembe sijuiKuna I'd mpya nimeshaanzisha kule mimi ni mstaarabu sana nasubiri badge ya new member iondoke ili nianze kuwatega
ZipoHamna mbususu ya 6mil bwana
Na picha niweke ya suti au yoyote?Hapo utatukamata,pendelea sana kuzungumzia biashara kubwakubwa...siyo ya kuuza maembe sijui