Kwa unyenyekevu mkubwa, naombeni msaada wa mawazo kuhusu huyu binti

Habari wanaJf,
Kuna binti nipo nae kwenye mahusiano yakususua karibu mwaka wa pili huu. Huyu binti kipindi anasoma chuo kwa bahati akapata ujauzito na kufanikiwa kupata mtoto. Mwanzo alikuwa anaogopa kuniambia kama ana mtoto ila akaja akaniambia ukweli.

Sasa kamaliza chuo anataka kuja kwangu na mimi Mungu kabariki nimefanikiwa kujenga nyumba yakuishi, mm sina shida sana na mtoto wake japo inavyoonekna mm ndio ninatakiwa kubeba majukumu kama shule n.k japo bado mdogo sana.
Kuhusu baba yake yupo mkoa mwingine na anavyodai huwa hahusiki sana na matumizi ya mtoto japo huwa anatoa kidogo.Shida inakuja majirani, ndugu na jamaa wanajua mm bado sina mtoto na wimbo wa kila siku kuwa naoa lini!

Wakuu nimekuwa nasoma nyuzi za single mothers kila mara humu ila hili lipo kwangu safari hii, naombe msaada wa namna gani naweza solve hilo suala🙏🏽🙏🏽
Mzinga wenye nyuki haukumbatiwi.
 
Itoshe tu kusema, Wew ni msenge, madem wote hawa kitaa unamfanda dem aliyezaa na mtu mwingine. Hapa tu nimetoka Star park madem kibao hawana ata wa kusepa nae, acha uzuzu, afu utakaaje na dem kwenye mahusiano miaka miwili.
Duh
 
Matusi ya nani sasa ww kiande?? Usisahu ndomu tu huko ulipo,!
 
Sawa mkuu ,ila twende mbele turudi nyuma; ukiangalia hapo kuna ufala kafanya mwanaum mwingine kwa kumzalisha huyo mwanamke then kumtema ..Kusema ila ukweli sisi wanaume tunazingua sana japo hakuna sababu ya kubeba mzigo wa mwingine.

Lakini katika maisha ni suala la kuangalia mbele kwa sana ,kuchunga mipaka ya mahusiano ..Kwa mwanaume ambaye hujao hauwezi kumchunga ila ukioa lazima uweke sheria ni miliki yako.
Mimi kwa upande wangu mwanamke ambaye anakubali kubeba mimba ya mwanamume ambaye hajamuoa namuona kama ana mapungufu ya akili......
 
Tatizo sana , mwingine anakuja kushtuka ni kubwa na kutoa anaona kama ni makosa ...Muda mwingine unakuta single mother ana watoto wawili na zaidi kwa makosa yale yale.
 
Kashampa mwanae wa kwanza ushachelewa ilibidi uzindue [emoji174]
Huyo jamaa nishaona tunapoteza muda tu hapa kumshauri, ni kama tayari kashafanya maamuzi ni swala la muda tu kutekeleza chenye anakifikiria kufanya, yaani tayari kuna weakness hapa kaitaja taja sana ambayo ina-manipulate emotionals zake za kutamani kua na huyo binti msaliti.

Atumie akili huyo bwege mtozeni..
 
Habari wanaJf,
Kuna binti nipo nae kwenye mahusiano yakususua karibu mwaka wa pili huu. Huyu binti kipindi anasoma chuo kwa bahati akapata ujauzito na kufanikiwa kupata mtoto. Mwanzo alikuwa anaogopa kuniambia kama ana mtoto ila akaja akaniambia ukweli.

Sasa kamaliza chuo anataka kuja kwangu na mimi Mungu kabariki nimefanikiwa kujenga nyumba yakuishi, mm sina shida sana na mtoto wake japo inavyoonekna mm ndio ninatakiwa kubeba majukumu kama shule n.k japo bado mdogo sana.
Kuhusu baba yake yupo mkoa mwingine na anavyodai huwa hahusiki sana na matumizi ya mtoto japo huwa anatoa kidogo.Shida inakuja majirani, ndugu na jamaa wanajua mm bado sina mtoto na wimbo wa kila siku kuwa naoa lini!

Wakuu nimekuwa nasoma nyuzi za single mothers kila mara humu ila hili lipo kwangu safari hii, naombe msaada wa namna gani naweza solve hilo suala🙏🏽🙏🏽
Majibu unayo ila unajizima data.

Fanya moyo wako unavyokuongoza.

Tumbaf kabisa😎
 
Nimekutukana kimoyo moyo mbwa we

Huyo binti ushasema bado anadema dema kwako, hana mapenzi ya dhati na wewe, nadhani umemfukuzia tangu akiwa kigori mwenye options kibao, sasa hivi hana options baada ya kuzalishwa ndio kakukubalia na wewe unajifanya kukaza shingo kutaka kumuoa. Mpumbavu wewe muweke ndani uone rangi utakayoacha kuiona.
 
Huyo jamaa nishaona tunapoteza muda tu hapa kumshauri, ni kama tayari kashafanya maamuzi ni swala la muda tu kutekeleza chenye anakifikiria kufanya, yaani tayari kuna weakness hapa kaitaja taja sana ambayo ina-manipulate emotionals zake za kutamani kua na huyo binti msaliti.

Atumie akili huyo bwege mtozeni..
hakika 💯💯
 
Back
Top Bottom