The mission 2017
JF-Expert Member
- Aug 14, 2017
- 6,498
- 14,946
Hapo ni ku "GUSA ACHIA TOKA NDUKI"
Kaka mm sio mbugilambugila, kuhusu mademu wapo wengi sana,!Natafuta Ajira itabidi uanze kutoa somo ukiwa umeshika bakora.
Ona huyu simp, demu kapigwa mimba anakuja kumletea yeye alee.
SHIMBWE jifunze sanaa ya utongozaji upate kitu piru ufungue mwenyewe.
Kama ametulia mchukue,ila kama ndiyo wale wanaowasiliana na maex ... sijui....
Mimi mwenyewe mpenzi wangu anawasiliana na ex naelekea kumtema soon🤒
Hakika💔Nakufa nae, maana moyo wangu ulishakufa...kwa busara asubiri mtoto aje amtafute,asipotafutwa imeisha...
Baba anayestahili kudamtoto ni yule amelea mwanae...matunzo yalionekana
Kaka mm sio mbugilambugila, kuhusu mademu wapo wengi sana,!
Labda tu niseme wanawake wanatofautia,! Ila Nishapita na wengi sana mzee.
🤣🤣🤣 Hakika,njoo unichukueUkuje kwangu my dear.
Mimi ntasajili laini yenye no. moja tu nayo ni yako tu 🤪
🤣🤣🤣 Hakika,njoo unichukue
hakuna ubaya kuoa singo maza kama umempenda.muhimu ni lazima muongee vizuri kuhusu huyo mtoto,malezi yake,uhusiano na baba yake na mkikubaliana basi mambo yataenda sawa tuHabari wanaJf,
Kuna binti nipo nae kwenye mahusiano yakususua karibu mwaka wa pili huu. Huyu binti kipindi anasoma chuo kwa bahati akapata ujauzito na kufanikiwa kupata mtoto. Mwanzo alikuwa anaogopa kuniambia kama ana mtoto ila akaja akaniambia ukweli.
Sasa kamaliza chuo anataka kuja kwangu na mimi Mungu kabariki nimefanikiwa kujenga nyumba yakuishi, mm sina shida sana na mtoto wake japo inavyoonekna mm ndio ninatakiwa kubeba majukumu kama shule n.k japo bado mdogo sana.
Kuhusu baba yake yupo mkoa mwingine na anavyodai huwa hahusiki sana na matumizi ya mtoto japo huwa anatoa kidogo.Shida inakuja majirani, ndugu na jamaa wanajua mm bado sina mtoto na wimbo wa kila siku kuwa naoa lini!
Wakuu nimekuwa nasoma nyuzi za single mothers kila mara humu ila hili lipo kwangu safari hii, naombe msaada wa namna gani naweza solve hilo suala🙏🏽🙏🏽
Hapana mkuu, yaani wazo tu la kutaka kuoa singo maza, mwenye mtoto mdogo ambae baba wa mtoto yupo hai na anahudumia mtoto si ajabu na mama mtu.Kaka mm sio mbugilambugila, kuhusu mademu wapo wengi sana,!
Labda tu niseme wanawake wanatofautia,! Ila Nishapita na wengi sana mzee.
Umesema yupo nani?Mbeya huko yupo mama mkwe
Mwanzo alikua vizuri sana mpaka nikaamua kumweka ndani. Lakini mtoto wake akifanya Kosa ukamwadhibu ni ugomvi, na kauli kama "unafanya kwa sababu siyo mtoto wako" mpaka imefika stage namchukia mtoto wake. Na mawasiliano na Baba mtoto wake yananitia shaka sana. Basi tu naishi na naangalia namna ya kuvunja haya mahusiano.Aisee😳
Huo ukipanga wake mbona hakuutumia kumwambia badboy aliemtia mimba avae kondomu?Kitu kimojawapo kinachonifanya niwe nae ni wale mademu walikuwa vipanga class,! Special school wale sema ndio hvyo.,akili mingi!
Unataka Dunia isiwe sehemu salama sasa kama wanaume wote mkiwa na roho mbaya kama yako"Roho mbaya" hii kauli wanawake mnapenda sana kuitumia kuwafanyie wanaume emotional blackmail hili wajione ni wenye hatia pale wanapokataa kutimizia matakwa yenu binafsi..!!
Ni kauli moja hivi ya kipuuzi sana, na kwa mwanaume mwenye akili nyepesi mkimwambia ana roho mbaya atajikuta anabadili msimamo wake na kuanza kukufurahisha wewe mwanamke hili usimuone ana roho mbaya...!!
Ila kwa aina ya wanaume kama mimi nikiskia mwanamke ananiambia nina roho mbaya ninafurahi mno, maana hicho ni kiashiria kwamba mimi sio miongoni mwa wanaume mazoba aliyozoea kuya manipulate hili yamtimizie matakwa yake!!
Nina tamani siku moja kila mwanaume awe na roho mbaya kama yangu hakika hivi vilio humu vya wanaume kulia lia kuhusu wanawake vitapungua.
Habari wanaJf,
Kuna binti nipo nae kwenye mahusiano yakususua karibu mwaka wa pili huu. Huyu binti kipindi anasoma chuo kwa bahati akapata ujauzito na kufanikiwa kupata mtoto. Mwanzo alikuwa anaogopa kuniambia kama ana mtoto ila akaja akaniambia ukweli.
Sasa kamaliza chuo anataka kuja kwangu na mimi Mungu kabariki nimefanikiwa kujenga nyumba yakuishi, mm sina shida sana na mtoto wake japo inavyoonekna mm ndio ninatakiwa kubeba majukumu kama shule n.k japo bado mdogo sana.
Kuhusu baba yake yupo mkoa mwingine na anavyodai huwa hahusiki sana na matumizi ya mtoto japo huwa anatoa kidogo.Shida inakuja majirani, ndugu na jamaa wanajua mm bado sina mtoto na wimbo wa kila siku kuwa naoa lini!
Wakuu nimekuwa nasoma nyuzi za single mothers kila mara humu ila hili lipo kwangu safari hii, naombe msaada wa namna gani naweza solve hilo suala🙏🏽🙏
Kumbe ndo mtu kuwa kipanga kigezo jaman .Kitu kimojawapo kinachonifanya niwe nae ni wale mademu walikuwa vipanga class,! Special school wale sema ndio hvyo.,akili mingi!
Asa mtoto si anae tayar au unataka damu Yako kwakeMoja wapo mwa vigezo, Mtoto anarithi akili kwa mama kwa asilimia kubwa,!
Hatimae nafasi imepatikana[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kama ametulia mchukue,ila kama ndiyo wale wanaowasiliana na maex ... sijui....
Mimi mwenyewe mpenzi wangu anawasiliana na ex naelekea kumtema soon[emoji855]