Kwa unyenyekevu mkubwa, naombeni msaada wa mawazo kuhusu huyu binti

Habari wanaJf,
Kuna binti nipo nae kwenye mahusiano yakususua karibu mwaka wa pili huu. Huyu binti kipindi anasoma chuo kwa bahati akapata ujauzito na kufanikiwa kupata mtoto. Mwanzo alikuwa anaogopa kuniambia kama ana mtoto ila akaja akaniambia ukweli.

Sasa kamaliza chuo anataka kuja kwangu na mimi Mungu kabariki nimefanikiwa kujenga nyumba yakuishi, mm sina shida sana na mtoto wake japo inavyoonekna mm ndio ninatakiwa kubeba majukumu kama shule n.k japo bado mdogo sana.
Kuhusu baba yake yupo mkoa mwingine na anavyodai huwa hahusiki sana na matumizi ya mtoto japo huwa anatoa kidogo.Shida inakuja majirani, ndugu na jamaa wanajua mm bado sina mtoto na wimbo wa kila siku kuwa naoa lini!

Wakuu nimekuwa nasoma nyuzi za single mothers kila mara humu ila hili lipo kwangu safari hii, naombe msaada wa namna gani naweza solve hilo suala🙏🏽🙏🏽
👉👉👉 Mkuu niwe mkwelii TU utakuja kupigwa na kitu kizito haswaaaa......huyo mwanamke Kuna Siku atakusaliti na kwenda kumkuta aliyemweka UJAUZITO hatakumbka maumivu ya KUTELEKEZWA mwanzo........pili ni kwann uoe Mwanamke aliyezalizwa na KIDUME MWANZAKO au wewe ni UPINDE jogoo alipandi mtungi.....bro ACHAna na MKE wa mtu.....
 
Hapo kipengele kak swala la kuoa sio shida shida ni yeye huyo mwenzie ataweza kujizuia kw mzaz mwenzie kutokuwasiliana maana mim mwenyew nipo kweny ndoa mwak wa5 sas na tuna watot wawli nae ana mmoja wa wa nje ya ndoa mwanzo walikua hawaailian ila sas wanawasiliana. Ila kwngu sijal maan nishakua na roho kubw cjui kwako wew kiongoz utawez kumudu
 
Roho mbaya tu😁😁😁
"Roho mbaya" hii kauli wanawake mnapenda sana kuitumia kuwafanyie wanaume emotional blackmail hili wajione ni wenye hatia pale wanapokataa kutimizia matakwa yenu binafsi..!!

Ni kauli moja hivi ya kipuuzi sana, na kwa mwanaume mwenye akili nyepesi mkimwambia ana roho mbaya atajikuta anabadili msimamo wake na kuanza kukufurahisha wewe mwanamke hili usimuone ana roho mbaya...!!

Ila kwa aina ya wanaume kama mimi nikiskia mwanamke ananiambia nina roho mbaya ninafurahi mno, maana hicho ni kiashiria kwamba mimi sio miongoni mwa wanaume mazoba aliyozoea kuya manipulate hili yamtimizie matakwa yake!!

Nina tamani siku moja kila mwanaume awe na roho mbaya kama yangu hakika hivi vilio humu vya wanaume kulia lia kuhusu wanawake vitapungua.
 
👉👉👉 Mkuu niwe mkwelii TU utakuja kupigwa na kitu kizito haswaaaa......huyo mwanamke Kuna Siku atakusaliti na kwenda kumkuta aliyemweka UJAUZITO hatakumbka maumivu ya KUTELEKEZWA mwanzo........pili ni kwann uoe Mwanamke aliyezalizwa na KIDUME MWANZAKO au wewe ni UPINDE jogoo alipandi mtungi.....bro ACHAna na MKE wa mtu.....
Halafu sasa mbaya zaidi siku akiwafumania huyo mwanamke atamjibu kwa jeuri sana, kwamba "sikukulazimisha unioe au unisaidie kumlea mwanangu.."

Single mothers ni wa kutomba na kutupa kwenye dustbin huko, hukooo maana huyo tayari ni mke wa mtu.
 
👉👉👉 Nilkua mshenga wa msela wangu....same situation kama hiii.....yule Binti alizaaa na mwana then akamkataaa soon later msela wangu akaamua kumchumbia BINTI baada ya kuachwa..... kilichotokea tukiwa kweny hatua ya kupeleka posa BINTI akaamua kumzawadia EX wake penzi ili amuage.....bahat mbaya sana MIMBA ikanasa ya pili tena......Kwa busara tuliamua kungoa NANGA na kumwacha Binti ...yule EX Naye hakuwa na muda Naye tena maana alikuw na familia tayari........ jifunze TU kuwa mwanamke ni vigumu kumuacha mtu wake wa kwanzaaaaaa....
 
Yani demu wako aligongwa na mtu mwingie (kacheat) halafu akajazwa mimba, then majukumu ya malezi uletewe wewe? na unataka ushauri.

Au mimi sijaelewa mada.
MKuu kuna vitu vina stahajabisha sana

Yaani jamaa alipigwa chini na huyo demu wake hapo awali, kisha huyo demu akaenda kupigwa mashine na mwanaume mwingine hadi akashika mimba halafu huyo jamaa akamtupa kwenye dustbin na mimba yake baada ya kumaliza kumtumia...

...Haya siku zimeenda huyu jamaa ndio kaenda kumuokota huko kwenye dustbin na sasa anajiandaa kumlea huyo binti na mtoto wake kwa vile tu moyo wake umemchagua huyo binti kama ndio love of his life...!!

Aisee kuna wanaume hawakustahili kabisa kuwa wanaume kutokana na akili zao mbovu kama huyu jamaa.

Lakin pamoja na hivyo acha huyu fala awe ni specie ya kujifunzia kwa wanaume wengine... acha akapigwe kwanza matukio na huyo single maza hili na vijana wenzake wanaofanya maamuzi kwa mihemko wajifunze kutoka kwake
 
Unatoaje mahari kwa mwanamke

Mahari ni tafsiri tu utoe usitoe bado haiongezi kitu wala kupunguza.

Kuna utofauti gani Kati ya mwanamke ambaye amezaa na amabaye hana bikra?
ambaye tayari amezalishwa, hizi mila huwa sizielewi hata kidogo. Dowry kwa mwanamke aliyezalishwa tayari kwangu ni batili.
 
👉👉👉 Nilkua mshenga wa msela wangu....same situation kama hiii.....yule Binti alizaaa na mwana then akamkataaa soon later msela wangu akaamua kumchumbia BINTI baada ya kuachwa..... kilichotokea tukiwa kweny hatua ya kupeleka posa BINTI akaamua kumzawadia EX wake penzi ili amuage.....bahat mbaya sana MIMBA ikanasa ya pili tena......Kwa busara tuliamua kungoa NANGA na kumwacha Binti ...yule EX Naye hakuwa na muda Naye tena maana alikuw na familia tayari........ jifunze TU kuwa mwanamke ni vigumu kumuacha mtu wake wa kwanzaaaaaa....
Ni mwanaume mpumbavu pekee tu na limbukeni wa wanawake ambaye atakuwa na imani na single mother kwamba hawezi kurudiana na mzazi mwenzake... siku hizi kuna kasumba ya kuamini eti wanawake hawafanani sijui ni akili ya mtu tu sio wote wako hivyo... mimi huwa nawaambia ndio ni kweli wanawake hawafanani, ila kwa single mothers wana fanana haiba kwa zaidi ya 99%.

Single mother ni mwanamke ambaye tayari ameingia kwenye maagano ya kudumu na mzazi mwenza, so suala la kumvulia chupi ni la muda tu haijalishi wameshapelekana polisi mara ngapi...!!
 
MKuu kuna vitu vina stahajabisha sana

Yaani jamaa alipigwa chini na huyo demu wake hapo awali, kisha huyo demu akaenda kupigwa mashine na mwanaume mwingine hadi akashika mimba halafu huyo jamaa akamtupa kwenye dustbin na mimba yake baada ya kumaliza kumtumia...

...Haya siku zimeenda huyu jamaa ndio kaenda kumuokota huko kwenye dustbin na sasa anajiandaa kumlea huyo binti na mtoto wake kwa vile tu moyo wake umemchagua huyo binti kama ndio love of his life...!!

Aisee kuna wanaume hawakustahili kabisa kuwa wanaume kutokana na akili zao mbovu kama huyu jamaa.

Lakin pamoja na hivyo acha huyu fala awe ni specie ya kujifunzia kwa wanaume wengine... acha akapigwe kwanza matukio na huyo single maza hili na vijana wenzake wanaofanya maamuzi kwa mihemko wajifunze kutoka kwake
Mm leo nakubali ushauri wowote na ruksa pia kuwaza unavyowaza,!🙏🏽
 
Ni mwanaume mpumbavu pekee tu na limbukeni wa wanawake ambaye atakuwa na imani na single mother kwamba hawezi kurudiana na mzazi mwenzake... siku hizi kuna kasumba ya kuamini eti wanawake hawafanani sijui ni akili ya mtu tu sio wote wako hivyo... mimi huwa nawaambia ndio ni kweli wanawake hawafanani, ila kwa single mothers wana fanana haiba kwa zaidi ya 99%.

Single mother ni mwanamke ambaye tayari ameingia kwenye maagano ya kudumu na mzazi mwenza, so suala la kumvulia chupi ni la muda tu haijalishi wameshapelekana polisi mara ngapi...!!
Fanton Mahal ya kweli haya 🙌🏾
 
Anaanzaje wakati alikuwa hatunzi? 🤣🤣🤣 Nyie mnacheza na maisha nyie
Tena omba usizae mtoto baba mtu unamchukia my dear hii sikia Kwa mwengine dogo anateseka unampa visiran vyote na et after ten yrs uko namuhitaj mwanangu lol ivi sijui wanatuonaje walai🙌🏾
 
Nakufa nae, maana moyo wangu ulishakufa...kwa busara asubiri mtoto aje amtafute,asipotafutwa imeisha...
Baba anayestahili kudamtoto ni yule amelea mwanae...matunzo yalionekana
 
Back
Top Bottom