😂😂😂New step father in town😎
Hivi kwa kesi ya huyo baba mtoto aliyejichimbia mkoani, hakunaga namna ya kumwajibisha?Kama ametulia mchukue,ila kama ndiyo wale wanaowasiliana na maex ... sijui....
Mimi mwenyewe mpenzi wangu anawasiliana na ex naelekea kumtema soon🤒
Zipo ila why uforce mtu alee kiumbe chake....siku akijitokeza kwamba huyo ni mwanangu hapo ndiyo unachagua uue au umshtakiHivi kwa kesi ya huyo baba mtoto aliyejichimbia mkoani, hakunaga namna ya kumwajibisha?
Asiache kuhifadhi sehemu ya kama atamgeuka ili asijiue.Kama unampenda komaa nae mkuu, mtunze tu na mtoto.
Kama unaona hana shida na mnaweza mkafika mbali kimaisha na wazazi wako wamekubali uishi naye basi ni wewe tu na uamuzi wako.Habari wanaJf,
Kuna binti nipo nae kwenye mahusiano yakususua karibu mwaka wa pili huu. Huyu binti kipindi anasoma chuo kwa bahati/nzuri akapata ujauzito na kufanikiwa kupata mtoto. Mwanzo alikuwa anaogopa kuniambia kama ana mtoto ila akaja akaniambia ukweli.
Sasa kamaliza chuo anataka kuja kwangu na mimi Mungu kabariki nimefanikiwa kujenga nyumba yakuishi, mm sina shida sana na mtoto wake japo inavyoonekna mm ndio ninatakiwa kubeba majukumu kama shule n.k japo bado mdogo sana.
Kuhusu baba yake yupo mkoa mwingine na anavyodai huwa hahusiki sana na matumizi ya mtoto japo huwa anatoa kidogo.Shida inakuja majirani, ndugu na jamaa wanajua mm bado sina mtoto na mwimbo wa kila siku kuwa naoa lini!
Wakuu nimekuwa nasoma nyuzi za single mother kila mara humu ila hili lipo kwangu safari hii, naombe msaada kwa solve hilo suala🙏🏽🙏🏽
Afadhari umteme wengine tufikilieweKama ametulia mchukue,ila kama ndiyo wale wanaowasiliana na maex ... sijui....
Mimi mwenyewe mpenzi wangu anawasiliana na ex naelekea kumtema soon🤒
Habari wanaJf,
Kuna binti nipo nae kwenye mahusiano yakususua karibu mwaka wa pili huu. Huyu binti kipindi anasoma chuo kwa bahati/nzuri akapata ujauzito na kufanikiwa kupata mtoto. Mwanzo alikuwa anaogopa kuniambia kama ana mtoto ila akaja akaniambia ukweli.
Sasa kamaliza chuo anataka kuja kwangu na mimi Mungu kabariki nimefanikiwa kujenga nyumba yakuishi, mm sina shida sana na mtoto wake japo inavyoonekna mm ndio ninatakiwa kubeba majukumu kama shule n.k japo bado mdogo sana.
Kuhusu baba yake yupo mkoa mwingine na anavyodai huwa hahusiki sana na matumizi ya mtoto japo huwa anatoa kidogo.Shida inakuja majirani, ndugu na jamaa wanajua mm bado sina mtoto na mwimbo wa kila siku kuwa naoa lini!
Wakuu nimekuwa nasoma nyuzi za single mother kila mara humu ila hili lipo kwangu safari hii, naombe msaada kwa solve hilo suala🙏🏽🙏🏽
Mteme chapu ,mimi sinaga kujiuliza kwa msaliti iwe ni msg au kumtazama mtu kwa matamanio , nakuacha chap ziulizi wala kusikilizia mara mbili.Kama ametulia mchukue,ila kama ndiyo wale wanaowasiliana na maex ... sijui....
Mimi mwenyewe mpenzi wangu anawasiliana na ex naelekea kumtema soon🤒
Kama mshua wako yupo jaribu kumshilikisha mkuu. I hope atakupa ushauri mzuri tu.Wazazi bado sijawaambia, sijui kama watanielewa!