Kwa unyenyekevu mkubwa, naombeni msaada wa mawazo kuhusu huyu binti

πŸ™πŸ½πŸ™πŸ½
 
Achana naye wanawake wapo wengi.
 
Kiukwel mkuu fuata hitaji la moyo wako ukisikiliza sana watu hutofika kweny malengo ila kaza moyo fanya maamuz Yako
 
Pia tukiachana tu na hilo suala la wao kupasha viporo na wazazi wenza, kuna athari nyingine nyingi tu zinatokana na huyo mtoto aliyenae ambaye sio damu yako.



Ndio maana kwa mwanaume yeyote anaye angalia mambo kwa mapana hawezi kabisa kuoa single mother.
 
Unaanzaje kuoa single mother/dada wakati kuna bebez mingi kitaa kila mwaka zinamaliza la saba na form four zinafails mitihani zinazagaa tu bado mbichi hazina watoto... Kuliko kuoa single mother heri upoteze muda kusubiria form four failures uoe au jichomoe akili uwekeze kwa katoto ka sekondari kakimaliza tu skuli kama hakana malengo ya kuendelea weka ndani tu mradi kamepata elimu hiyo hiyo inatosha, ila kama kamefaulu kanaendelea kusoma achana nako usisomeshe mwanamke sio jukumu lako achia familia yake..
 
Mlee mtot usisikiliz watu watasemaje
 
Single mothers nawapa pole sana... .. !
Mchunguze vzr kwa mda wa kutosha ... na baadae maamuzi yatakuja ..usitumie hisia tumia akili.
single mothers ni binaadamu kama walivyo wengine..
Mikoa ya pwani wanaoa na kuishi nao vzr tu..nimeona wengi mtu anaoa mke ameolewa na kuachika zaidi ya mara mbili na watoto na wanaishi vyema .
Tabia ya mtu tu..
Muombe Mungu .. ..utapata mke mwema kama ni huyo au mwengine!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…