LIKUD
JF-Expert Member
- Dec 26, 2012
- 18,037
- 33,681
Goli limeingia, saa ya refa imelia kuashiria goli limeingia. Read anapokea maelekezo kutoka kwa watu wa v.a.r ( probably watu wa motsepe) Yani hata kwenda kuangalia tu var kimchongo amejistukia amekataa hata kwenda . Dah ushoga mtupu.
Suluhisho ni kwa timu za Tanzania kujitoa kwenye mashindano ya Africa.
Tunajitoa vipi? Hatujitoi officially tusije fungiwa for A. Tunajitoa kwa staili ya ku boycott. Kila mwaka tukipangiwa mashindano ya Africa tuna cheza chini ya kiwango na kutolewa hatua ya awali. Ila tunaboresha ligi yetu ya ndani.. Tunakuwa kama walivyo kuwaga England miaka ya tisini na elfu2 mwanzoni. Wana ligi bora lakini kimafaifa timu zao haziendi popote...
Tufanye hivyo kwa maslahi mapana ya mashabiki wa mpira wetu wa Tanzania ambao ndio uti wa mgongo wa soka letu..
Tumechoka kuonewa na kunyimwa haki zetu...
Tanzania lazima tuitambue hadhi yetu. Tanzania ndio inayo yapa mashindano haya msisimko. Bila Tanzania mashindano haya waka hayana ladha yoyote. Sisi ni moja kati ya mataifa machache duniani ambayo raia wake ni viachaa wa soka...
Kataa Soka la Africa. Soka la Africa ni usengwile mtupu.