Kwa uonevu wa wazi dhidi ya goli la Yanga leo, suluhisho ni timu za Tanzania kujitoa mashindano ya Afrika. Na tujitoe kwa staili hii

Mpaka sasa sielewi kwanin goli lile limekataliwa

Mwenye ufahamu zaidi wa mpira naomba kufahamishwa
Nilicho gundua Leo VAR haioni ila macho ya WATU yanaona.
Kwa tukio lile hakukuhitaji saa ya refa wa var macho tu yameona mpira umebuka mstari.
 
Kocha wa Mamelody pia kasema hilo ni goli halali. Fifa waingilie kati please Yanga wapewe haki yao.
 
Attachments

  • Screenshot_20240406-005758.png
    Screenshot_20240406-005758.png
    517 KB · Views: 3
Goli limeingia, saa ya refa imelia kuashiria goli limeingia. Read anapokea maelekezo kutoka kwa watu wa v.a.r ( probably watu wa motsepe) Yani hata kwenda kuangalia tu var kimchongo amejistukia amekataa hata kwenda . Dah ushoga mtupu.

Suluhisho ni kwa timu za Tanzania kujitoa kwenye mashindano ya Africa.

Tunajitoa vipi? Hatujitoi officially tusije fungiwa for A. Tunajitoa kwa staili ya ku boycott. Kila mwaka tukipangiwa mashindano ya Africa tuna cheza chini ya kiwango na kutolewa hatua ya awali. Ila tunaboresha ligi yetu ya ndani.. Tunakuwa kama walivyo kuwaga England miaka ya tisini na elfu2 mwanzoni. Wana ligi bora lakini kimafaifa timu zao haziendi popote...

Tufanye hivyo kwa maslahi mapana ya mashabiki wa mpira wetu wa Tanzania ambao ndio uti wa mgongo wa soka letu..

Tumechoka kuonewa na kunyimwa haki zetu...

Tanzania lazima tuitambue hadhi yetu. Tanzania ndio inayo yapa mashindano haya msisimko. Bila Tanzania mashindano haya waka hayana ladha yoyote. Sisi ni moja kati ya mataifa machache duniani ambayo raia wake ni viachaa wa soka...

Kataa Soka la Africa. Soka la Africa ni usengwile mtupu.
Haitosaidia kitu, sisi tufanye figisu kwa Mkapa age mtu goli nyingi ugenini droo tu au 1-0 tumefuzu
 
Kocha wa Mamelody pia kasema hilo ni goli halali. Fifa waingilie kati please Yanga wapewe haki yao.
Ishatoka hio moto mchubuyu , hapo tu labda refa atazinguliwa huku kibindoni ana kibunda chake anaenda kula vacation ibiza
 
Goli limeingia, saa ya refa imelia kuashiria goli limeingia. Read anapokea maelekezo kutoka kwa watu wa v.a.r ( probably watu wa motsepe) Yani hata kwenda kuangalia tu var kimchongo amejistukia amekataa hata kwenda . Dah ushoga mtupu.

Suluhisho ni kwa timu za Tanzania kujitoa kwenye mashindano ya Africa.

Tunajitoa vipi? Hatujitoi officially tusije fungiwa for A. Tunajitoa kwa staili ya ku boycott. Kila mwaka tukipangiwa mashindano ya Africa tuna cheza chini ya kiwango na kutolewa hatua ya awali. Ila tunaboresha ligi yetu ya ndani.. Tunakuwa kama walivyo kuwaga England miaka ya tisini na elfu2 mwanzoni. Wana ligi bora lakini kimafaifa timu zao haziendi popote...

Tufanye hivyo kwa maslahi mapana ya mashabiki wa mpira wetu wa Tanzania ambao ndio uti wa mgongo wa soka letu..

Tumechoka kuonewa na kunyimwa haki zetu...

Tanzania lazima tuitambue hadhi yetu. Tanzania ndio inayo yapa mashindano haya msisimko. Bila Tanzania mashindano haya waka hayana ladha yoyote. Sisi ni moja kati ya mataifa machache duniani ambayo raia wake ni viachaa wa soka...

Kataa Soka la Africa. Soka la Africa ni usengwile mtupu.
Hakuna saa ya refa CAF CL Hakuna goal line technology
 
Hivi mumeliona vipi goli la Aziz kii. Mpiraumepigwa kutoka uwanjani na ukagonga nguzo ya juu amabayo iko nyuzi 90 na mstari na ikawa ndani ya gori. Hivyo ilikuwa imeshavuka nyuzi 90 na kwa shelia za mhamo (low of movement) ilitakiwa iwe na msukumo kuelekea ndani

Swali ni je

Kipi kiliurudisha mpira ndani ya uwanja?
 
Kwa nini mchezo wa Simba na Al-Ahly haujadiliwi? Haukuwa na umuhimu wowote? Ulikuwa wa kukamilisha ratiba tu?

Ninajua kuwa nimekosea kuandika Al-Ahly nikaonegeza i kuwa Al-Ahlyi na siwezi kuifuta
 
Hawa wamepakatwa nje ndani mwarabu kapita matundu yote mbele na nyuma.
 
Back
Top Bottom