Sio kweli.Amjafa kiume . asie fanya kazi na asile uwezi kalisha pua golini kwako afu uje udai goli kizembe
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sio kweli.Amjafa kiume . asie fanya kazi na asile uwezi kalisha pua golini kwako afu uje udai goli kizembe
Tunajitoa vipi? Hatujitoi officially tusije fungiwa for A. Tunajitoa kwa staili ya ku boycott. Kila mwaka tukipangiwa mashindano ya Africa tuna cheza chini ya kiwango na kutolewa hatua ya awali.
Yaani kushika Bomba ndo kuhangaika? Mwakarobo Junior mmeshindwa hata kupiga pass 100 katika mchezo na possession yenu ya below 30%,eti bado mnalilia goli Feki ambalo linegusa nyasi badala ya Nyavu na mnaitaka nusu Fainali seriously kweli?Mbona penati ziliwashinda ama nazo mmeonewa? Sasa nakubaliana na slogan yenu kuwa mwiko upo nyuma na akili zimewarukaHapa ni kujitoa officially tu, kuna haja gani sasa ya kuhangaika kooote halafu unakuja kuhujumiwa mwishoni
Paka huwa anatumwa tyuuh, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kweli mchawi ndugu [emoji22]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ila wee unachekesha sana, kubali umeshatolewa, jipange upya mwakani.Hapa ni kujitoa officially tu, kuna haja gani sasa ya kuhangaika kooote halafu unakuja kuhujumiwa mwishoni
Tukijitoa officially inaweza kuathiri timu yetu ya taifa. We have to just loose interest na mashindano yao. Tuwe kama Nigeria Cameroon Senegal etc. Wao waliona ni upuuzi mtupu wakaachana na mashindano haya ya hovyo. Wame focus ulayaHapa ni kujitoa officially tu, kuna haja gani sasa ya kuhangaika kooote halafu unakuja kuhujumiwa mwishoni
Tangu lini mtu kafungwa moja bila halafu wakaenda penalty?Yaani kushika Bomba ndo kuhangaika? Mwakarobo Junior mmeshindwa hata kupiga pass 100 katika mchezo na possession yenu ya below 30%,eti bado mnalilia goli Feki ambalo linegusa nyasi badala ya Nyavu na mnaitaka nusu Fainali seriously kweli?Mbona penati ziliwashinda ama nazo mmeonewa? Sasa nakubaliana na slogan yenu kuwa mwiko upo nyuma na akili zimewaruka
Mbumbumbu yanga tulivowapiga 5Yaani kushika Bomba ndo kuhangaika? Mwakarobo Junior mmeshindwa hata kupiga pass 100 katika mchezo na possession yenu ya below 30%,eti bado mnalilia goli Feki ambalo linegusa nyasi badala ya Nyavu na mnaitaka nusu Fainali seriously kweli?Mbona penati ziliwashinda ama nazo mmeonewa? Sasa nakubaliana na slogan yenu kuwa mwiko upo nyuma na akili zimewaruka
Vip jana 5imba hakucheza?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ila wee unachekesha sana, kubali umeshatolewa, jipange upya mwakani.
Tumewaachia mablich fc mtambe Africa maana ilikua ndoto yenu...tusubiri na hilo goli mtarudishiwa ...Kwa nini mchezo wa Simba na Al-Ahly haujadiliwi? Haukuwa na umuhimu wowote? Ulikuwa wa kukamilisha ratiba tu?
Ninajua kuwa nimekosea kuandika Al-Ahly nikaonegeza i kuwa Al-Ahlyi na siwezi kuifuta
Umechizi kijana unaongea upuuzi mtupuGoli limeingia, saa ya refa imelia kuashiria goli limeingia. Read anapokea maelekezo kutoka kwa watu wa v.a.r ( probably watu wa motsepe) Yani hata kwenda kuangalia tu var kimchongo amejistukia amekataa hata kwenda . Dah ushoga mtupu.
Suluhisho ni kwa timu za Tanzania kujitoa kwenye mashindano ya Africa.
Tunajitoa vipi? Hatujitoi officially tusije fungiwa for A. Tunajitoa kwa staili ya ku boycott. Kila mwaka tukipangiwa mashindano ya Africa tuna cheza chini ya kiwango na kutolewa hatua ya awali. Ila tunaboresha ligi yetu ya ndani.. Tunakuwa kama walivyo kuwaga England miaka ya tisini na elfu2 mwanzoni. Wana ligi bora lakini kimafaifa timu zao haziendi popote...
Tufanye hivyo kwa maslahi mapana ya mashabiki wa mpira wetu wa Tanzania ambao ndio uti wa mgongo wa soka letu..
Tumechoka kuonewa na kunyimwa haki zetu...
Tanzania lazima tuitambue hadhi yetu. Tanzania ndio inayo yapa mashindano haya msisimko. Bila Tanzania mashindano haya waka hayana ladha yoyote. Sisi ni moja kati ya mataifa machache duniani ambayo raia wake ni viachaa wa soka...
Kataa Soka la Africa. Soka la Africa ni usengwile mtupu.
Taja faida tano mlizonazo mpaka mkijitoa caf lazima iwaumeGoli limeingia, saa ya refa imelia kuashiria goli limeingia. Read anapokea maelekezo kutoka kwa watu wa v.a.r ( probably watu wa motsepe) Yani hata kwenda kuangalia tu var kimchongo amejistukia amekataa hata kwenda . Dah ushoga mtupu.
Suluhisho ni kwa timu za Tanzania kujitoa kwenye mashindano ya Africa.
Tunajitoa vipi? Hatujitoi officially tusije fungiwa for A. Tunajitoa kwa staili ya ku boycott. Kila mwaka tukipangiwa mashindano ya Africa tuna cheza chini ya kiwango na kutolewa hatua ya awali. Ila tunaboresha ligi yetu ya ndani.. Tunakuwa kama walivyo kuwaga England miaka ya tisini na elfu2 mwanzoni. Wana ligi bora lakini kimafaifa timu zao haziendi popote...
Tufanye hivyo kwa maslahi mapana ya mashabiki wa mpira wetu wa Tanzania ambao ndio uti wa mgongo wa soka letu..
Tumechoka kuonewa na kunyimwa haki zetu...
Tanzania lazima tuitambue hadhi yetu. Tanzania ndio inayo yapa mashindano haya msisimko. Bila Tanzania mashindano haya waka hayana ladha yoyote. Sisi ni moja kati ya mataifa machache duniani ambayo raia wake ni viachaa wa soka...
Kataa Soka la Africa. Soka la Africa ni usengwile mtupu.
Na wewe andaa mwili[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] maskiniii wee umevurugwa had huelewi kabisaa.
Tunakutana na Petro, vipi nyie? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Vip jana 5imba hakucheza?
Hivi semi final mnakutana na nani?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nnao hapa wa kushatooo,Na wewe andaa mwili