Kwa uonevu wa wazi dhidi ya goli la Yanga leo, suluhisho ni timu za Tanzania kujitoa mashindano ya Afrika. Na tujitoe kwa staili hii

Ila mbona simba na Orlando alinyimwa goli hakukua na kelele kama hizi,hatua ilikua ni kwenda nusu final.

Yanga amekua akipendelewa na kutia huruma sana akionewa.
Huku mtaani yeye anajifanya mnyonge sana.
 
Unataka kususa suuuuuuuusa kudadeki susa wanaume hao we susaa susaaa mother Fanta in manara voice😆😆😆
 
kajinga kweli wew watu wamewekeza pesa zao kwa ajili ya hii michuano afu kirahisi tu waje kujitoa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…