Kwa Utaita wote ule hivi ndivyo Sugu anavyorusha ngumi? Ni umri au kukosa muda wa mazoezi?

Amelegea sana.
 
wewe ni jinsia gani?
Umeelezwa ukweli unauliza jinsia. Mtu akifanya mazoezi ya jogging si kwamba ni lazima anataka kushiriki mashindano ya marathoni. Huyo anafanya mazoezi ya kurusha ngumi haimaanishi anajiandaa kupigana na mtu. Unashauriwa ufanye mazoezi ya aina yoyote yatakayokutoa jasho mwilini
 
Mkuu hivyo ndivyo ngumi inavyorushwa.

Labda useme aongeze ufasta tu, ila movement iiko sahihi kabisa.
Mkuu hivyo ndivyo ngumi inavyorushwa.

Labda useme aongeze ufasta tu, ila movement iiko sahihi kabisa.
Technically sio!, upigaji wa pigo lolote huhusisha mwili wote labda iwe ktk kumdanganya adui ndo upige movement nyepesi nyepesi.
 
Unataka arushe ngumi kama unavyorusha maembe? Mbona anapiga vizuri tu
 
Halafu trainer wake ana msifia hapo "safi" 😂 Utimamu wa kurusha ngumi na foot work nzuri huanzia kwenye training then shadow boxing.....huyo mwalimu wake ni mchovu hajui anachokifanya.
 
Uuuwiiii hamna kitu hapo, hata nzi haui kwa ngumi hiyo..!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…