Dr Rutagwerera Sr
JF-Expert Member
- Dec 21, 2011
- 5,809
- 11,462
Kashachoka. Enzi zake alikua ngumi mawe.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kali sanaaa.Jongwe a.k.a ya kibabe sana.
🎶 hayo hayakuwa mapenzi 🎶 hili songi la Mr 2 ni noma asee.
Amelegea sana.2 proud a.k.a sugu a.k.a mr 2 a.ka Jongwe... Taita la mataita.
Samahani kama nitamkwaza mheshimiwa lakini nimeona nimpe ushauri kidogo.
Kwenye hii video aliyopost haihitaji mtu awe bondia kujua kwamba kuna tatizo kwenye urushaji wa ngumi, ukunjaji wa ngumi na ukazaji wa mkono , ila huwezi jua labda kuna staili mpya maalum kwajili ya mataita ya kurusha ngumi kiboss zaidi bila stress wala nguvu nyingi.
kama vipi atafute hata trainer wa mazoezi.
View attachment 2125207
Umeelezwa ukweli unauliza jinsia. Mtu akifanya mazoezi ya jogging si kwamba ni lazima anataka kushiriki mashindano ya marathoni. Huyo anafanya mazoezi ya kurusha ngumi haimaanishi anajiandaa kupigana na mtu. Unashauriwa ufanye mazoezi ya aina yoyote yatakayokutoa jasho mwiliniwewe ni jinsia gani?
Mkuu hivyo ndivyo ngumi inavyorushwa.
Labda useme aongeze ufasta tu, ila movement iiko sahihi kabisa.
Technically sio!, upigaji wa pigo lolote huhusisha mwili wote labda iwe ktk kumdanganya adui ndo upige movement nyepesi nyepesi.Mkuu hivyo ndivyo ngumi inavyorushwa.
Labda useme aongeze ufasta tu, ila movement iiko sahihi kabisa.
Utakufa navyo uendenavyo Mambo aliyokataa nyerereHivi Prof J yeye hakufanya investment yoyote?
Haumjui sugu wewe huo ubunge umekuja baada ya hussle nyingiHivi tunaweza kujivunia huyu jamaa kwamba ni mjasiriamali?asingeupata ubunge,angefika hapo alipo?
Umeanza kumjua mwaka gani?Hivi tunaweza kujivunia huyu jamaa kwamba ni mjasiriamali?asingeupata ubunge,angefika hapo alipo?
Mbona kama kuna bahari kwa nyuma?Desderia hotel mbeya, ni hotel yake
No, sio bahari kuna bonde umesahau watu wa mazingira walimfata mwendazake akaingilia katiMbona kama kuna bahari kwa nyuma?
Mbeya kuna bahari na minazi. Unazisikia hizo sauti za kunguru?Hotelini kwake Mbeya
Halafu trainer wake ana msifia hapo "safi" 😂 Utimamu wa kurusha ngumi na foot work nzuri huanzia kwenye training then shadow boxing.....huyo mwalimu wake ni mchovu hajui anachokifanya.2 proud a.k.a sugu a.k.a mr 2 a.ka Jongwe... Taita la mataita.
Samahani kama nitamkwaza mheshimiwa lakini nimeona nimpe ushauri kidogo.
Kwenye hii video aliyopost haihitaji mtu awe bondia, hata mvulana anaejua mambo machache kuhusu ngumi ataona kwamba kuna tatizo kwenye urushaji wa ngumi, ukunjaji wa ngumi na ukazaji wa mkono , ila huwezi jua labda kuna staili mpya maalum kwajili ya mataita ya kurusha ngumi kiboss zaidi bila stress wala nguvu nyingi.
kama vipi atafute hata trainer wa mazoezi.
View attachment 2125207