Kwa utendaji kazi uliotukuka wa Rais Samia naanza kuziona dalili za upinzani kutafuta visingizio vya kumkimbia na kumkwepa katika Uchaguzi Mkuu ujao

Ndio kazi za wapiga zumari wa chama twawala,tangu chama twawala kilipofanikiwa kutwaa madaraka wao ni kusifu na kuabudu hata kinyesi kinachotoa harufu wao kinanukia.
Maendeleo yanaonekana na kazi ya mh Rais wetu imeonekana machoni pa watanzania ndio maana wote tunaendelea kumuunga mkono mh Rais wetu mpendwa
 
Ule Ni ukaguzi wa utekelezaji wa ilani ya uchaguzi, Hata marekani uchaguzi ukipita kinachofuata Ni kazi tu kwa waliopewa dhamana
Kwa sababu Nassari ameyatamka Hayo na wewe umecopy na kupaste!
Jaribu kuwa na mawazo yako binafsi na utafute gazeti la nipashe la Leo uone hali ilivyo ngumu kwa wananchi juu ya kupanda kwa Bei za bidhaa za chakula huku kukiwa na ongezeko kubwa la tozo (double or triple taxation)
Nikukumbushe tu Mama Alishakataa uchawa
 
CCM Ni imara katika mazingira yote ,Hiki Ni chama kiongozi
Ukiona mgonjwa mahututi ICU, ameamka, akaomba chakula, mkapiga stori vizuri, jua ya kuwa ANAAGA!!!!

CCM Ipo ktk hatua za mwisho za uhai wake.

KANU ktk hatua za mwisho za uhai wake walitamka kuwa Wana miaka 100 mbele ya kutawala, mwaka uliofuata kikafa.

Tusubiri.
 
Mimi ndio nilikuwa wa kwanza kuyaelezea humu jukwaani Mara nyingi tu, Hata hivyo mh Nassari na Mimi Mtanzania sote tunajenga nyumba moja, yeye mkuu wa wilaya na Mimi Ni mkulima, maana chakula ndio usalama wa nchi, hivyo namuunga mkono mh Nassari na Wala sipo hapa kushindana Naye
 
REA ni mradi ambao kwa sehemu kubwa unafadhiliwa na wahisani kusaidia kaya masikini ili waweze kupata nishati ya umeme, sasa mnapowapandishia gharama ya kuunganisha umeme mpaka 800'000 ndo mnaakisi uongozi uliotukuka? Upuuzi kweli
Baadhi ya watanzania wana tatizo la akili kama wewe umesikia wapi hili suala?umelifuatilia?

Sent from my SM-A315F using JamiiForums mobile app
 
Kosa kubwa ni tozo kwenye mishahara amekosea sana.
Ni ulaghai kaka, mtumishi anakatwa PAYE, lakini ili kumfanya asishtuke kaongezewa kodi wakaamua kuibadilisha PAYE na kuibatiza TOZO ili ziende sabamba (TOZO+PAYE). Binafsi TOZO ni PAYE 2. Kwa mwananchi wa kawaida na wafanyabiashara nayo ni hvyohvyo, ukihoji unaambiwa nenda BURUNDI, very insane.
 
I think you need some mental checkup,

Honest sikuji lkn I think your has some mental illness
 
Wameanza wa Wabunge wa Afrika Mashariki CDM kuweka mpira kwapani. Sasa ivi wanatumaini kwenye maridhiano πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
kwa mambo anayoyafanya Rais Samia Suluhu 2025 hana mpinzani
 
Upinzani Hasa CDM Kwa sasa una nguvu kubwa kuliko wakati wowote tangu UHURU.

Sababu kuu ni udhaifu wa Chama tawala na Serikali ktk kuwahudumia wananchi Walio wengi wa kipato Cha chini.
Wananachi wa kipato cha chini wamezingatiwa sana kwa kupewa elimu bure, huduma za afya kwa gharama nafuu mambo mengi dsana Rais Samia Suluhu amefanya tumpe sifa zake
 
2025 mama hana mpinzani
 
Tozo ni kwa maendeleo ya jamii kwaiyo lazima utoe tu
 
Wananachi wa kipato cha chini wamezingatiwa sana kwa kupewa elimu bure, huduma za afya kwa gharama nafuu mambo mengi dsana Rais Samia Suluhu amefanya tumpe sifa zake
Usidanganyike kuwa Duniani Kuna ELIMU ya BURE.

Ujinga ndo BURE Si ELIMU.

ELIMU inayonunuliwa Bure FEZA international school ni sawa na Elimu unayoita ya Bure itolewayo Saint KAYUMBA???

Mtoto wa Samia au mjukuu anasoma shule za kata??

Mtoto wa Mwigulu amesoma FEZA international.

ELIMU hiyo mbona Ina matabaka???

Nchi moja lakini viwango vya ELIMU tofauti!!!!

Enzi za Nyerere Gvt schools zilitoa ELIMU Bora kuliko private schools.

Kenya wametupita, shule za Serikali zinatoa ELIMU Bora kuliko Gvt schools!!!!

CCM ikifa NCHI itapona.

Ameeeeen.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…