richie ze best
JF-Expert Member
- Nov 4, 2013
- 600
- 1,023
Naunga mkonoNdio kazi za wapiga zumari wa chama twawala,tangu chama twawala kilipofanikiwa kutwaa madaraka wao ni kusifu na kuabudu hata kinyesi kinachotoa harufu wao kinanukia.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naunga mkonoNdio kazi za wapiga zumari wa chama twawala,tangu chama twawala kilipofanikiwa kutwaa madaraka wao ni kusifu na kuabudu hata kinyesi kinachotoa harufu wao kinanukia.
Maendeleo yanaonekana na kazi ya mh Rais wetu imeonekana machoni pa watanzania ndio maana wote tunaendelea kumuunga mkono mh Rais wetu mpendwaNdio kazi za wapiga zumari wa chama twawala,tangu chama twawala kilipofanikiwa kutwaa madaraka wao ni kusifu na kuabudu hata kinyesi kinachotoa harufu wao kinanukia.
Kwa sababu Nassari ameyatamka Hayo na wewe umecopy na kupaste!Ule Ni ukaguzi wa utekelezaji wa ilani ya uchaguzi, Hata marekani uchaguzi ukipita kinachofuata Ni kazi tu kwa waliopewa dhamana
Ukiona mgonjwa mahututi ICU, ameamka, akaomba chakula, mkapiga stori vizuri, jua ya kuwa ANAAGA!!!!CCM Ni imara katika mazingira yote ,Hiki Ni chama kiongozi
Mimi ndio nilikuwa wa kwanza kuyaelezea humu jukwaani Mara nyingi tu, Hata hivyo mh Nassari na Mimi Mtanzania sote tunajenga nyumba moja, yeye mkuu wa wilaya na Mimi Ni mkulima, maana chakula ndio usalama wa nchi, hivyo namuunga mkono mh Nassari na Wala sipo hapa kushindana NayeKwa sababu Nassari ameyatamka Hayo na wewe umecopy na kupaste!
Jaribu kuwa na mawazo yako binafsi na utafute gazeti la nipashe la Leo uone hali ilivyo ngumu kwa wananchi juu ya kupanda kwa Bei za bidhaa za chakula huku kukiwa na ongezeko kubwa la tozo (double or triple taxation)
Nikukumbushe tu Mama Alishakataa uchawa
Baadhi ya watanzania wana tatizo la akili kama wewe umesikia wapi hili suala?umelifuatilia?REA ni mradi ambao kwa sehemu kubwa unafadhiliwa na wahisani kusaidia kaya masikini ili waweze kupata nishati ya umeme, sasa mnapowapandishia gharama ya kuunganisha umeme mpaka 800'000 ndo mnaakisi uongozi uliotukuka? Upuuzi kweli
Uko kazini.Maendeleo yanaonekana na kazi ya mh Rais wetu imeonekana machoni pa watanzania ndio maana wote tunaendelea kumuunga mkono mh Rais wetu mpendwa
Kama wewe ni ndo miongoni mwa hao watanzania wenye matatizo ya akili unataka nikujibu nn kama siyo kupoteza muda.Baadhi ya watanzania wana tatizo la akili kama wewe umesikia wapi hili suala?umelifuatilia?
Sent from my SM-A315F using JamiiForums mobile app
😆😆😆Uko kazini.
Ni ulaghai kaka, mtumishi anakatwa PAYE, lakini ili kumfanya asishtuke kaongezewa kodi wakaamua kuibadilisha PAYE na kuibatiza TOZO ili ziende sabamba (TOZO+PAYE). Binafsi TOZO ni PAYE 2. Kwa mwananchi wa kawaida na wafanyabiashara nayo ni hvyohvyo, ukihoji unaambiwa nenda BURUNDI, very insane.Kosa kubwa ni tozo kwenye mishahara amekosea sana.
I think you need some mental checkup,Ndugu zangu hivyo ndivyo hali halisi ilivyo, kwasasa upinzani umefika hatua hauelewi ushike lipi na uache lipi, uongee nini na usimame na lipi, ubebe lipi na uache lipi, utembee na lipi na usimame na lipi.
Imefika hatua hata kuaminiana wao kwa wao wameacha, maana kila mtu anahisi mwenzie anadalili za kusaliti chama na kwenda kumuunga mkono Mh. Rais wetu mpendwa, hapa unaweza kurejea habari za Mch. Peter Msigwa namna alivyo tukanwa na vitoto vidogo kiumri kisa tu kusimamia mtizamo wake katika kuiunga mkono serikali juu ya suala la Loliondo.
Ndugu zangu kwa sasa hata wenyewe hawaoni wakuweza kushindana na Mh. Rais Samia maana kila waliyemuona awali kuwa ndio kamanda wa kuongoza mapambano, wanakuta amerudi mstari wa nyuma akiunga juhudi za Mh. Rais na hata kama ni kukosoa anakosoa kwa kushauri baadhi ya maeneo kwa heshima na staha, jambo linalozidi kuwa changanya na kuwalaza na viatu vijana wa upinzani.
Hii yote ni kwa kuwa Mh. Rais kafanikiwa kugusa kila eneo kiutendaji, watanzania wana matumaini makubwa sana na Mh. Rais kwa kuwa wanaona juhudi zake katika kujenga nchi yetu, wanaona namna kila mtu, kila kundi na kila eneo linavyoguswa kiutendaji. Hakuna anayeachwa nyuma wala kutengwa au kubaguliwa, wote wanapata huduma sawa.
Kila mtu anapata huduma sawa,kila mtu anasikilizwa, kila mtu anathaminiwa,kila mtu anaona anayo nafasi ya kuchangia ujenzi wa Taifa hili na kila mtu anaona anaweza kutimiza Ndoto na malengo yake katika nchi hii kwa kuwa fursa zipo wazi kwa kila mtu mwenye kuzitaka.
Sasa hapa ndioo mtihani mkubwa walionao upinzani kwa sasa katika kuweza kusimamisha mgombea kiti cha Urais maana hawaelewi watamsimamisha nani? Kwa sera na ajenda zipi, hawaelewi watawashawishi kipi watanzania, maana Mh. Rais amefanya kazi zilizogusa maisha ya watanzania hasa wanyonge wasio na sauti.
Wameona namna Mh. Rais alivyo shapu kuchukua hatua katika kumsaidia mwananchi pale panapojitokeza tatizo la kidhalula kama alivyo fanya kutoa Ruzuku katika kilimo na nishati ya mafuta, kiukweli kasi hii ya Mh. Rais imewaweka pabaya sana kisiasa.
Ushauri wangu kwao ,kwa kuwa wameonyesha kukubali utendaji kazi wa mh Rais Basi hawana budi Kuendelea kumuunga mkono Mh. Rais wetu, waendelee kutoa ushauri watakapoona panafaa kwa lugha ya heshima na staha.
Maana mama ni msikivu na mnyenyekevu anayemjali na kumsikiliza kila mtu, kwa sasa mama amekaa katika mioyo ya watanzania. Watanzania walitaka maendeleo na mtumishi mnyenyekevu atakayewasikiliza, sasa amepatikana Mh. Rais Samia anatekeleza kwa vitendo ndoto za watanzania.
Kazi iendeleee.
Wameanza wa Wabunge wa Afrika Mashariki CDM kuweka mpira kwapani. Sasa ivi wanatumaini kwenye maridhiano 😂😂😂Ndugu zangu hivyo ndivyo hali halisi ilivyo, kwasasa upinzani umefika hatua hauelewi ushike lipi na uache lipi, uongee nini na usimame na lipi, ubebe lipi na uache lipi, utembee na lipi na usimame na lipi.
Imefika hatua hata kuaminiana wao kwa wao wameacha, maana kila mtu anahisi mwenzie anadalili za kusaliti chama na kwenda kumuunga mkono Mh. Rais wetu mpendwa, hapa unaweza kurejea habari za Mch. Peter Msigwa namna alivyo tukanwa na vitoto vidogo kiumri kisa tu kusimamia mtizamo wake katika kuiunga mkono serikali juu ya suala la Loliondo.
Ndugu zangu kwa sasa hata wenyewe hawaoni wakuweza kushindana na Mh. Rais Samia maana kila waliyemuona awali kuwa ndio kamanda wa kuongoza mapambano, wanakuta amerudi mstari wa nyuma akiunga juhudi za Mh. Rais na hata kama ni kukosoa anakosoa kwa kushauri baadhi ya maeneo kwa heshima na staha, jambo linalozidi kuwa changanya na kuwalaza na viatu vijana wa upinzani.
Hii yote ni kwa kuwa Mh. Rais kafanikiwa kugusa kila eneo kiutendaji, watanzania wana matumaini makubwa sana na Mh. Rais kwa kuwa wanaona juhudi zake katika kujenga nchi yetu, wanaona namna kila mtu, kila kundi na kila eneo linavyoguswa kiutendaji. Hakuna anayeachwa nyuma wala kutengwa au kubaguliwa, wote wanapata huduma sawa.
Kila mtu anapata huduma sawa,kila mtu anasikilizwa, kila mtu anathaminiwa,kila mtu anaona anayo nafasi ya kuchangia ujenzi wa Taifa hili na kila mtu anaona anaweza kutimiza Ndoto na malengo yake katika nchi hii kwa kuwa fursa zipo wazi kwa kila mtu mwenye kuzitaka.
Sasa hapa ndioo mtihani mkubwa walionao upinzani kwa sasa katika kuweza kusimamisha mgombea kiti cha Urais maana hawaelewi watamsimamisha nani? Kwa sera na ajenda zipi, hawaelewi watawashawishi kipi watanzania, maana Mh. Rais amefanya kazi zilizogusa maisha ya watanzania hasa wanyonge wasio na sauti.
Wameona namna Mh. Rais alivyo shapu kuchukua hatua katika kumsaidia mwananchi pale panapojitokeza tatizo la kidhalula kama alivyo fanya kutoa Ruzuku katika kilimo na nishati ya mafuta, kiukweli kasi hii ya Mh. Rais imewaweka pabaya sana kisiasa.
Ushauri wangu kwao ,kwa kuwa wameonyesha kukubali utendaji kazi wa mh Rais Basi hawana budi Kuendelea kumuunga mkono Mh. Rais wetu, waendelee kutoa ushauri watakapoona panafaa kwa lugha ya heshima na staha.
Maana mama ni msikivu na mnyenyekevu anayemjali na kumsikiliza kila mtu, kwa sasa mama amekaa katika mioyo ya watanzania. Watanzania walitaka maendeleo na mtumishi mnyenyekevu atakayewasikiliza, sasa amepatikana Mh. Rais Samia anatekeleza kwa vitendo ndoto za watanzania.
Kazi iendeleee.
kwa mambo anayoyafanya Rais Samia Suluhu 2025 hana mpinzaniNdugu zangu hivyo ndivyo hali halisi ilivyo, kwasasa upinzani umefika hatua hauelewi ushike lipi na uache lipi, uongee nini na usimame na lipi, ubebe lipi na uache lipi, utembee na lipi na usimame na lipi.
Imefika hatua hata kuaminiana wao kwa wao wameacha, maana kila mtu anahisi mwenzie anadalili za kusaliti chama na kwenda kumuunga mkono Mh. Rais wetu mpendwa, hapa unaweza kurejea habari za Mch. Peter Msigwa namna alivyo tukanwa na vitoto vidogo kiumri kisa tu kusimamia mtizamo wake katika kuiunga mkono serikali juu ya suala la Loliondo.
Ndugu zangu kwa sasa hata wenyewe hawaoni wakuweza kushindana na Mh. Rais Samia maana kila waliyemuona awali kuwa ndio kamanda wa kuongoza mapambano, wanakuta amerudi mstari wa nyuma akiunga juhudi za Mh. Rais na hata kama ni kukosoa anakosoa kwa kushauri baadhi ya maeneo kwa heshima na staha, jambo linalozidi kuwa changanya na kuwalaza na viatu vijana wa upinzani.
Hii yote ni kwa kuwa Mh. Rais kafanikiwa kugusa kila eneo kiutendaji, watanzania wana matumaini makubwa sana na Mh. Rais kwa kuwa wanaona juhudi zake katika kujenga nchi yetu, wanaona namna kila mtu, kila kundi na kila eneo linavyoguswa kiutendaji. Hakuna anayeachwa nyuma wala kutengwa au kubaguliwa, wote wanapata huduma sawa.
Kila mtu anapata huduma sawa,kila mtu anasikilizwa, kila mtu anathaminiwa,kila mtu anaona anayo nafasi ya kuchangia ujenzi wa Taifa hili na kila mtu anaona anaweza kutimiza Ndoto na malengo yake katika nchi hii kwa kuwa fursa zipo wazi kwa kila mtu mwenye kuzitaka.
Sasa hapa ndioo mtihani mkubwa walionao upinzani kwa sasa katika kuweza kusimamisha mgombea kiti cha Urais maana hawaelewi watamsimamisha nani? Kwa sera na ajenda zipi, hawaelewi watawashawishi kipi watanzania, maana Mh. Rais amefanya kazi zilizogusa maisha ya watanzania hasa wanyonge wasio na sauti.
Wameona namna Mh. Rais alivyo shapu kuchukua hatua katika kumsaidia mwananchi pale panapojitokeza tatizo la kidhalula kama alivyo fanya kutoa Ruzuku katika kilimo na nishati ya mafuta, kiukweli kasi hii ya Mh. Rais imewaweka pabaya sana kisiasa.
Ushauri wangu kwao ,kwa kuwa wameonyesha kukubali utendaji kazi wa mh Rais Basi hawana budi Kuendelea kumuunga mkono Mh. Rais wetu, waendelee kutoa ushauri watakapoona panafaa kwa lugha ya heshima na staha.
Maana mama ni msikivu na mnyenyekevu anayemjali na kumsikiliza kila mtu, kwa sasa mama amekaa katika mioyo ya watanzania. Watanzania walitaka maendeleo na mtumishi mnyenyekevu atakayewasikiliza, sasa amepatikana Mh. Rais Samia anatekeleza kwa vitendo ndoto za watanzania.
Kazi iendeleee.
Uchaguzi utakuepo na Rais Samia Suluhu atapita bila kupigwa maana ameleta maendeleo makubwa sana Tanzani kwa kipindi kifupiNa mtoa mada ajulishwe vizuri ,hakuna katiba mpya hakuna uchaguzi, na uchaguzi ukiwepo CCM out
Wananachi wa kipato cha chini wamezingatiwa sana kwa kupewa elimu bure, huduma za afya kwa gharama nafuu mambo mengi dsana Rais Samia Suluhu amefanya tumpe sifa zakeUpinzani Hasa CDM Kwa sasa una nguvu kubwa kuliko wakati wowote tangu UHURU.
Sababu kuu ni udhaifu wa Chama tawala na Serikali ktk kuwahudumia wananchi Walio wengi wa kipato Cha chini.
2025 mama hana mpinzaniMagufuli japokuwa alifanya mambo makubwa ikiwemo kuwadhibiti wapinzani lakini kwenye uchaguzi aliomba ardhi ipasuke immeze mzima mzima kwa aibu aliyokuwa anaona Lisu alivyokuwa akisepa na kijiji,pona pona yake aliiba kura na kuharibu uchaguzi!.
Sembuse huyu mzururaji?,labda watumie mitutu ya bunduki lakini kwenye boksi la kura hatoboi!.
Pamoja na kiherehere,kisebengo na kiroho papo chako cha kusifu na kuabudu ukweli unaujua!
Tozo ni kwa maendeleo ya jamii kwaiyo lazima utoe tuNi ulaghai kaka, mtumishi anakatwa PAYE, lakini ili kumfanya asishtuke kaongezewa kodi wakaamua kuibadilisha PAYE na kuibatiza TOZO ili ziende sabamba (TOZO+PAYE). Binafsi TOZO ni PAYE 2. Kwa mwananchi wa kawaida na wafanyabiashara nayo ni hvyohvyo, ukihoji unaambiwa nenda BURUNDI, very insane.
Unashukuru upumbavu wakoNashukuru
Usidanganyike kuwa Duniani Kuna ELIMU ya BURE.Wananachi wa kipato cha chini wamezingatiwa sana kwa kupewa elimu bure, huduma za afya kwa gharama nafuu mambo mengi dsana Rais Samia Suluhu amefanya tumpe sifa zake