Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimeunga mkono the team is good, but it's very unfortunately mimi sio mchumi!.Hapo Kakaangu Paschal Mayala nitakupinga. Bila nchi kujitosheleza kwa chakula kwanza, hakuna maendeleo. Leo hii wananchi wako site huku wanalia hawana uwezo wa kununua chakula maana chote kinaenda nje, maendeleo yanatoka wapi? Pili, bila nchi kutengeneza home purchasing power (ambayo siioni ikitengenezwa) hakuna kwenda popote ila tunaweza kujidanganya kuwa tunaenda.
Nimefanya utafiti kidogo juu ya habari mbalimbali zinazoandikwa juu ya Tanzania kiuchumi kwa kipindi cha miezi 3 sasa. Kusema kweli hakuna habari mbaya utakayoikuta juu ya Tanzania kiuchumi. Wachambuzi wote wa nje na ndani ya Afrika wanaisema vizuri sana Tanzania. Sio kwenye uwekezaji sio kwenye ukuaji wa uchumi.
Nikaja eneo la pili kujiuliza kwa nini haya yanatokea sasa? Nimekuja kugundua pale Wizara ya Fedha, Rais kaweka watu makini sana ambao kwa maoni yangu bila shaka hawa ndo wanasababisha haya yote yatokee
Rished Bade, Lawrence Mafuru na sasa Nehemia Mchechu watakuja vikwa nishani kama sio 2029 basi 2030.
Wanafanya Mwigulu Nchemba aonekane Waziri wa Fedha mahiri sana kwa Afrika Mashariki na kati kwa sasa.
Walioshauri hawa financial gurus wawekwe kwenye mfumo wa serikali wa uchumi wanastahili pongezi sana.
Kwa hali hii, kuna kila sababu ya kusema Samia anaweza kuja kuwa Rais bora kabisa kuwahi kutokea Tanzania. Hali ya kiuchumi ya nchi inaenda vizuri sana kwa kweli!
Serikali kupiga Vizinga kama demu wa chuo. Au ndiyo uchumi wa kisasa.Nimefanya utafiti kidogo juu ya habari mbalimbali zinazoandikwa juu ya Tanzania kiuchumi kwa kipindi cha miezi 3 sasa. Kusema kweli hakuna habari mbaya utakayoikuta juu ya Tanzania kiuchumi. Wachambuzi wote wa nje na ndani ya Afrika wanaisema vizuri sana Tanzania. Sio kwenye uwekezaji sio kwenye ukuaji wa uchumi.
Nikaja eneo la pili kujiuliza kwa nini haya yanatokea sasa? Nimekuja kugundua pale Wizara ya Fedha, Rais kaweka watu makini sana ambao kwa maoni yangu bila shaka hawa ndo wanasababisha haya yote yatokee
Rished Bade, Lawrence Mafuru na sasa Nehemia Mchechu watakuja vikwa nishani kama sio 2029 basi 2030.
Wanafanya Mwigulu Nchemba aonekane Waziri wa Fedha mahiri sana kwa Afrika Mashariki na kati kwa sasa.
Walioshauri hawa financial gurus wawekwe kwenye mfumo wa serikali wa uchumi wanastahili pongezi sana.
Kwa hali hii, kuna kila sababu ya kusema Samia anaweza kuja kuwa Rais bora kabisa kuwahi kutokea Tanzania. Hali ya kiuchumi ya nchi inaenda vizuri sana kwa kweli!
Hao uliowataja Wana nafasi gani hapo wizarani??
Unaweza weka title zao??
Nimekwambia vigezo nilivyotumia. Wewe tafuta habari yeyote mbaya iliyoandikwa kuhusu uchumi wa Tanzania ilete hapa kupinga hoja yanguMtu unasifia tuu watu bila kusema grounds zipi ulizotumia!! Kama unawapenda binafsi hilo ni lako sema kazi walizofanya tukuelewe lasivyo ni blah blah tuu...kukusanya kodi nijambo moja na kuinua uchumi ni lingine kabisa...
Naunga mkono hoja..Nimefanya utafiti kidogo juu ya habari mbalimbali zinazoandikwa juu ya Tanzania kiuchumi kwa kipindi cha miezi 3 sasa. Kusema kweli hakuna habari mbaya utakayoikuta juu ya Tanzania kiuchumi. Wachambuzi wote wa nje na ndani ya Afrika wanaisema vizuri sana Tanzania. Sio kwenye uwekezaji sio kwenye ukuaji wa uchumi.
Nikaja eneo la pili kujiuliza kwa nini haya yanatokea sasa? Nimekuja kugundua pale Wizara ya Fedha, Rais kaweka watu makini sana ambao kwa maoni yangu bila shaka hawa ndo wanasababisha haya yote yatokee
Rished Bade, Lawrence Mafuru na sasa Nehemia Mchechu watakuja vikwa nishani kama sio 2029 basi 2030.
Wanafanya Mwigulu Nchemba aonekane Waziri wa Fedha mahiri sana kwa Afrika Mashariki na kati kwa sasa.
Walioshauri hawa financial gurus wawekwe kwenye mfumo wa serikali wa uchumi wanastahili pongezi sana.
Kwa hali hii, kuna kila sababu ya kusema Samia anaweza kuja kuwa Rais bora kabisa kuwahi kutokea Tanzania. Hali ya kiuchumi ya nchi inaenda vizuri sana kwa kweli!
Kivipi kundi dogo? Viwanda vinanufaisha kundi dogo? Mradi wa kilimo wa BBT unanufaisha kundi dogo?Ni Kweli kabisa,
Uchumi wa kundi dogo unaimaika sana.
Nitakuwa wa mwisho kuamini viwanda kuanzishwa Tanzania bila wao kupunguza Kodi.Kivipi kundi dogo? Viwanda vinanufaisha kundi dogo? Mradi wa kilimo wa BBT unanufaisha kundi dogo?
Niambie bei ya mafuta ya kula ipoje saivi?Tatizo ni kwamba hatuoni B.O.T wakijitahidi hata kuraise interest rates kuishusha inflation kwa kutumia monetary policy. Watu wanateseka mno wao wanakula viyoyozi wanaona hakuna shida yoyote.
Watanzania sio wajinga.
Ndio,Kivipi kundi dogo? Viwanda vinanufaisha kundi dogo? Mradi wa kilimo wa BBT unanufaisha kundi dogo?
Bado Iko juu huku kwetu DSM.Niambie bei ya mafuta ya kula ipoje saivi?
Maana ninavyojua tuna manage vizuri sana inflation. Saivi nanunua mafuta ya kula kwa bei ya kawaida sana
Ndio,
Unanifaisha kundi dogo,
Vijana wa UVCCM!!!
Nimefanya utafiti kidogo juu ya habari mbalimbali zinazoandikwa juu ya Tanzania kiuchumi kwa kipindi cha miezi 3 sasa. Kusema kweli hakuna habari mbaya utakayoikuta juu ya Tanzania kiuchumi. Wachambuzi wote wa nje na ndani ya Afrika wanaisema vizuri sana Tanzania. Sio kwenye uwekezaji sio kwenye ukuaji wa uchumi.
Nikaja eneo la pili kujiuliza kwa nini haya yanatokea sasa? Nimekuja kugundua pale Wizara ya Fedha, Rais kaweka watu makini sana ambao kwa maoni yangu bila shaka hawa ndo wanasababisha haya yote yatokee
Rished Bade, Lawrence Mafuru na sasa Nehemia Mchechu watakuja vikwa nishani kama sio 2029 basi 2030.
Wanafanya Mwigulu Nchemba aonekane Waziri wa Fedha mahiri sana kwa Afrika Mashariki na kati kwa sasa.
Walioshauri hawa financial gurus wawekwe kwenye mfumo wa serikali wa uchumi wanastahili pongezi sana.
Kwa hali hii, kuna kila sababu ya kusema Samia anaweza kuja kuwa Rais bora kabisa kuwahi kutokea Tanzania. Hali ya kiuchumi ya nchi inaenda vizuri sana kwa kweli!
Na vyakula vinapanda bei Kila siku.Niambie bei ya mafuta ya kula ipoje saivi?
Maana ninavyojua tuna manage vizuri sana inflation. Saivi nanunua mafuta ya kula kwa bei ya kawaida sana
Kabisa.Mambo kwa ground inaonyesha ni tofauti na huu uchawa ulioweka hapa
UCHUMI WA KWENYE MAKARATASI