Lord denning
JF-Expert Member
- Jun 3, 2015
- 15,819
- 33,255
- Thread starter
- #61
Kivipi?Mambo kwa ground inaonyesha ni tofauti na huu uchawa ulioweka hapa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kivipi?Mambo kwa ground inaonyesha ni tofauti na huu uchawa ulioweka hapa
KabisaMambo kwa ground inaonyesha ni tofauti na huu uchawa ulioweka hapa
Facts ziko mtaani na wale NBS wanadelay sana kutoa CPI reports wanaficha nn?Facts don't lie
Kivipi kundi dogo? Viwanda vinanufaisha kundi dogo? Mradi wa kilimo wa BBT unanufaisha kundi dogo?
Safi kabisa sio yule paka aliyekuwa anatujazia wasukumaaNimefanya utafiti kidogo juu ya habari mbalimbali zinazoandikwa juu ya Tanzania kiuchumi kwa kipindi cha miezi 3 sasa. Kusema kweli hakuna habari mbaya utakayoikuta juu ya Tanzania kiuchumi. Wachambuzi wote wa nje na ndani ya Afrika wanaisema vizuri sana Tanzania. Sio kwenye uwekezaji sio kwenye ukuaji wa uchumi.
Nikaja eneo la pili kujiuliza kwa nini haya yanatokea sasa? Nimekuja kugundua pale Wizara ya Fedha, Rais kaweka watu makini sana ambao kwa maoni yangu bila shaka hawa ndo wanasababisha haya yote yatokee
Rished Bade, Lawrence Mafuru na sasa Nehemia Mchechu watakuja vikwa nishani kama sio 2029 basi 2030.
Wanafanya Mwigulu Nchemba aonekane Waziri wa Fedha mahiri sana kwa Afrika Mashariki na kati kwa sasa.
Walioshauri hawa financial gurus wawekwe kwenye mfumo wa serikali wa uchumi wanastahili pongezi sana.
Kwa hali hii, kuna kila sababu ya kusema Samia anaweza kuja kuwa Rais bora kabisa kuwahi kutokea Tanzania. Hali ya kiuchumi ya nchi inaenda vizuri sana kwa kweli!
Sijawahi msikia! Yupo taasisi gani?Kuna kichwa kinaitwa Hamis Kibola ..
Sijui why hakipewi nafasi kubwa
Kwa hiyo unakubali kwamba hawa wataalamu (ambao wengine wahujumu uchumi muda kidogo ulopita) walikosekana pale fedhani??Naunga mkono hoja
P
Sijawahi msikia! Yupo taasisi gani?
Kama huna connection huna chako.KI vipi? Kwa hiyo wanaopata fursa saivi wote ni uvccm?
Lini Rushwa iliwahi kuisha?Kama huna connection huna chako.
Kwani RUSHWA imeisha utawala huu?
Ngoja nimchekiDah ajabu sana
Ndio founding CEO wa Daresalaam Stock exchange na founding CEO wa UTT...kichwa cha hatari lakini kama hakithaminiki
Wamehujumu nini? Una ushahidi?Kwa hiyo unakubali kwamba hawa wataalamu (ambao wengine wahujumu uchumi muda kidogo ulopita) walikosekana pale fedhani??
Ungekuwa na akili kama ungekuja na facts kuthibitisha sio vichwaUkisikia ‘akutakanae, akuchagulii tu si’, ndio huku sasa.
Yaani hayo mapoyoyo yaliopo wizara ya fedha ni definition yako ya vichwa.
Hawakuwahi kuhujumu ila jiwe aliwahi wapeleka wengine mahakamani kama wahujumu.kwani mbowe alikuwa gaidi???Wamehujumu nini? Una ushahidi?
Walipelekwa mahakama gani?Hawakuwahi kuhujumu ila jiwe aliwahi wapeleka wengine mahakamani kama wahujumu
Kwani wewe unaonaje Mzee? Mwigulu ndio Waziri Bora wa Uchumi kuwahi kutokea.
Kama unakubali RUSHWA haijawahi Kwisha under CCM,Lini Rushwa iliwahi kuisha?