Kwa vichwa vilivyopo Wizara ya Fedha sasa, Tanzania itakuwa mbali sana kiuchumi kufikia 2030

Nimeunga mkono the team is good, but it's very unfortunately mimi sio mchumi!.
P
 

Hao uliowataja Wana nafasi gani hapo wizarani??
Unaweza weka title zao??
 
Mtu unasifia tuu watu bila kusema grounds zipi ulizotumia!! Kama unawapenda binafsi hilo ni lako sema kazi walizofanya tukuelewe lasivyo ni blah blah tuu...kukusanya kodi nijambo moja na kuinua uchumi ni lingine kabisa...
 
Serikali kupiga Vizinga kama demu wa chuo. Au ndiyo uchumi wa kisasa.
 
Mtu unasifia tuu watu bila kusema grounds zipi ulizotumia!! Kama unawapenda binafsi hilo ni lako sema kazi walizofanya tukuelewe lasivyo ni blah blah tuu...kukusanya kodi nijambo moja na kuinua uchumi ni lingine kabisa...
Nimekwambia vigezo nilivyotumia. Wewe tafuta habari yeyote mbaya iliyoandikwa kuhusu uchumi wa Tanzania ilete hapa kupinga hoja yangu
 
Naunga mkono hoja..
1.Mwanzoni wakati Samia anaanza nafikiri mambo yalikuwa hayajakaa sawa tukajikuta tunarudi kwenye low income status ila kwa sasa tumerudi kwenye lower middle income status kwa kishindo kabisa Tanzania kwa sasa ipo kumi bora ya nchi za Africa ambazo ni strong kiuchumi

2.GDP ya Tanzania imekua na inapita mataifa mengi sana ya ulaya kama Croatia na America kusini kama Uruguay na mengineyo data zinaongea

3.Tumemanage rate ya inflation kama nchi Tanzania ni moja ya nchi zenye inflation ndogo sana hapa Africa na duniani kwa ujumla
4.Masoko ya kimataifaa yanapanuka sina haja ya kulidiscuss hili linajulikana

Nadhani tuvumiliane tu tutafika tunapopataka raisi anaonekana ana nia njema ila kufika huku ni lazima akubali kuwaweka pending baadhi ya washauri hasa wale waliomshauri mwanzo kabisa wakati anaingia
 
Tatizo ni kwamba hatuoni B.O.T wakijitahidi hata kuraise interest rates kuishusha inflation kwa kutumia monetary policy. Watu wanateseka mno wao wanakula viyoyozi wanaona hakuna shida yoyote.
Watanzania sio wajinga.
Niambie bei ya mafuta ya kula ipoje saivi?

Maana ninavyojua tuna manage vizuri sana inflation. Saivi nanunua mafuta ya kula kwa bei ya kawaida sana
 

UCHUMI WA KWENYE MAKARATASI
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…