Kwa vichwa vilivyopo Wizara ya Fedha sasa, Tanzania itakuwa mbali sana kiuchumi kufikia 2030

Safi kabisa sio yule paka aliyekuwa anatujazia wasukumaa
 
Kwani wewe unaonaje Mzee? Mwigulu ndio Waziri Bora wa Uchumi kuwahi kutokea.

Usipende kunakili nakili kila maandishi na kuyaleta humu kama zuzu

Serikali kuongeza bajeti kwa 7% ama hata 50% sio ishu, mfano, bajeti ya mwaka jana uliona ulikuaje, makusanyo halisi yalikuaje? I mean utekelezaji wa bajeti ulifikia 100%? Kama hakuna kuna tija gani kuongeza 7% kama ya mwaka jana, mwaka juzi, mwaka mwingine ule utekelezaji wa bajeti haukufika hata 80%?

Mtu mwenye akili unapaswa kujiuliza hivyo sio unanakiri tu maandishi na kuyaleta humu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…