Dejane
JF-Expert Member
- Jan 1, 2014
- 50,587
- 71,492
Analalamika nin?Mie nshajizoelea kwa kwel maisha yangu bila yeye wala baba, japo haachi kulalamika
Amezaa watoto wengjne kule alipo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Analalamika nin?Mie nshajizoelea kwa kwel maisha yangu bila yeye wala baba, japo haachi kulalamika
Ndio, simtaftiAnalalamika nin?
Amezaa watoto wengjne kule alipo
Wazazi wengi hatujui hilo ama tunajua ila tunalipuuzaMi naamini bond hutengezwa utotoni lkn ukubwani hakuna,
Jitahidi kumsamehe na kujisamehe rafiki yangu mzuri.Kwakweli nimejitahidi kurudisha mahusiano na baba yangu ila nimeshindwa..japo kosa ni lake mwenyewe. Ila mwenyewe hataki tena anapokea simu tu kwakua namba yangu hajaisevu.
Najitahidi kumsamehe nashindwa kabisa. Maana anayofanya sio kwangu tu hadi kwa ndugu wengine...kiufupi hataki uzao wake wote.
Dawa ya moto moto.
Ujinga na upumbavu wa kukumbatia nge vimewaua wengi sana.
Mzazi mshenzi kaa naye mbali.
Mimi father simpendi.
Kati ya watoto wake 3 ambao tulimaliza la saba siku moja Mimi pekee aliniombea nifeli na cha ajabu ni Mimi pekee nikatoboa tena shule ya vipaji maalumu.
Kijana kama umebahatika kuwapata wazazi wakakulea kwa upendo na wanakuheshimu na wanajua boundaries zao. Mshukuru Mungu. Kila mtu angependa kuwa na mawasiliano mazuri na mzazi.Ipo siku utatamani kuongea nae ila utakua ushachelewa.
Ubinafsi tu, mimi baba amelelewa na wazazi wawili na babu na bibi wanajali hasa , sasa kama umelelewa vizur roho ya kumtelekeza mtoto unatoa wapi kama si ubinafsi,Wazazi wengi hatujui hilo ama tunajua ila tunalipuuza
30 min mnaongea nini, yani mm nikiongea nae mda ukiwa mrefu ni sek 46 na mara nying ni sekunde 23, ujambo sijambo shikamoo, nawajulia hali shukran tumemaliza😂😂😂😂4yrs ago kurudi nyuma nilikuaga sina mawasiliano kivile na mzee ni kutokana na tabia yake ya ukaliukali. Mama tu ndio alikua rafiki yetu. Kumbe kilikua kinamuuma akawa anawaambia rafiki zake, wanatuambia sisi watoto.
Anyway tukaanza kua tunaongea sometimes hata 30mins tunaongea, kw sasa naona tukikaa sehemu moja tutapigana😅
mheshimiwa shikamoo, nakusalimia, pole kwa msiba sukuma gengi. ☺️Kijana kama umebahatika kuwapata wazazi wakakulea kwa upendo na wanakuheshimu na wanajua boundaries zao. Mshukuru Mungu. Kila mtu angependa kuwa na mawasiliano mazuri na mzazi.
Lakin wapo wazazi ambao siyo watu wa kawaida.
Wazazi ambao wanatamani kusikia mambo yako yameharibika, yaaani Hilo ndiyo jambo wanalonuwia.
Mshukuru Mungu kijana
Marhaba. Kwakweli leo ni siku ngumu sana kwetu wana gang😊😊😊😊😊.mheshimiwa shikamoo, nakusalimia, pole kwa msiba sukuma gengi. ☺️
Mimi mbona hujawahi niambia haya, haya uliyoyaandika hapa... 😒
Wewe mwalimu mbona ni fukara wa kila kitu? Yani pesa hauna hata na utashi tu wa kawaida nao hauna? Hapa ndio umeongea kitu gani sasa, waalimu wote mtolewe humu jukwaani mtatuambukiza ujinga.Watz wengi wanamatatizo ya Afya ya Akili
Yaani Mimi Akili yangu bado hipo vizuri siwezi kumchukia Mtu awe au ndugu maana njaa na umasikini na Matatizo ya Afya Akili vikiungana lazima muwachukie watu. Eti Mtu anamchukia Mzazi au Mzazi anamchukia mtoto what a kid?
Kumchukia Mzazi au Mzazi kumchukia mtoto source ni Umasikini wa Akili .na uchumiWewe mwalimu mbona ni fukara wa kila kitu? Yani pesa hauna hata na utashi tu wa kawaida nao hauna? Hapa ndio umeongea kitu gani sasa, waalimu wote mtolewe humu jukwaani mtatuambukiza ujinga.
Na mapambano yamelipa! basi iendelee kuwa kheri! Nilichojifunza hadi sasa ni kwamba asiye hili ana lile! Waswahili na misemo yao.Marhaba. Kwakweli leo ni siku ngumu sana kwetu wana gang😊😊😊😊😊.
Hivi sijawahi kwambia hii kitu..Yaani we acha kabisa. Usinione hivi njia yangu ilikuwa ngumu saaaana hadi angalau kwa mbaali naskia halufu ya kasungura!
Hahahah nakumbuka kwa kwel mambo ya kupima joto la tvDk 30 ni baada ya kupatana nikaona niwe najitahidi kuzungumza nae. Ila mwanzo nilikua nikimpigia ni kumuuliza tu mama yuko wapi mbona hapokei simu. Basi yeye kinamuuma kweli eti sisi tunamtaka mama tu sio yeye.
Hili ndio limefanya mapka leo sasa asipatane nasisi na hataki watoto wote ati mama yetu katujaza maneno tumchukie. Wakati ni Yeye mwenywe ndio alisababiaha tumpende mama kuliko yeye ajili ya tabia yake ya ukali.
Tukisikia honi tulikua hatuna amani mara afike akague King'amuzi kama kina joto aanze kufoka😅
(Unajua yale maungo ya zamani yalivyokua yanachmka )
Natamani serikali ingekua inatoa leseni ya kuwa mzazi, maana wengi sio fit kabisaa na wanazaa kila siku...Aisee! nawaonea huruma sana, Poleni na tafuteni kupona.
Je inawezekana ukampenda mtu ukubwani mume/mke ikiwa haukupata upendo wa familia yako? Familia yako ilikuwa ina nafasi ya kukupenda ila haikufanya hivyo kwa makusudi au kwa kutokujua.
Binadamu wajifunze kutafakari na kujiassess kama kweli wanaweza kuwa wazazi. Kazi kuhamasishana kuzaa wakati uwezo wa kuwa wazazi bora hamna!
Pole sana mkuu kama huna maelewano mema na mama yako. My mom is my world ❤️Kijana kama umebahatika kuwapata wazazi wakakulea kwa upendo na wanakuheshimu na wanajua boundaries zao. Mshukuru Mungu. Kila mtu angependa kuwa na mawasiliano mazuri na mzazi.
Lakin wapo wazazi ambao siyo watu wa kawaida.
Wazazi ambao wanatamani kusikia mambo yako yameharibika, yaaani Hilo ndiyo jambo wanalonuwia.
Mshukuru Mungu kijana
Tanzania ina watu wengi ambao kila mtu anakua kwenye mfumo tofauti na mwingine, wewe kama umekua kwenye familia bora yenye upendo basi ni vyema sana ila sio huu utoto unao andika hapa ni aibu mno. Grow up manKumchukia Mzazi au Mzazi kumchukia mtoto source ni Umasikini wa Akili .na uchumi
Tanzania ina watu wengi ambao kila mtu anakua kwenye mfumo tofauti na mwingine, wewe kama umekua kwenye familia bora yenye upendo basi ni vyema sana ila sio huu utoto unao andika hapa ni aibu mno. Grow up man
Hahaha mkuu! Kama kuna kitu ni kigumu kukicontrol duniani basi ni ngono na aina zake zote.Natamani serikali ingekua inatoa leseni ya kuwa mzazi, maana wengi sio fit kabisaa na wanazaa kila siku...