Kwa wale ambao hamna maelewano mazuri na wazazi wenu

Jitahidi kumsamehe na kujisamehe rafiki yangu mzuri.

Nimeingiwa na fadhaiko sana sababu kwangu mimi familia ndio concern yangu namba moja.
 

Aisee, nipo familiar na experience yako. Kuna wazazi hawakupswa kuwa na watoto, wali force tu kutokana na family pressure.
 
Ipo siku utatamani kuongea nae ila utakua ushachelewa.
Kijana kama umebahatika kuwapata wazazi wakakulea kwa upendo na wanakuheshimu na wanajua boundaries zao. Mshukuru Mungu. Kila mtu angependa kuwa na mawasiliano mazuri na mzazi.
Lakin wapo wazazi ambao siyo watu wa kawaida.
Wazazi ambao wanatamani kusikia mambo yako yameharibika, yaaani Hilo ndiyo jambo wanalonuwia.
Mshukuru Mungu kijana
 
30 min mnaongea nini, yani mm nikiongea nae mda ukiwa mrefu ni sek 46 na mara nying ni sekunde 23, ujambo sijambo shikamoo, nawajulia hali shukran tumemaliza😂😂😂😂
 
Watz wengi wanamatatizo ya Afya ya Akili

Yaani Mimi Akili yangu bado hipo vizuri siwezi kumchukia Mtu awe au ndugu maana njaa na umasikini na Matatizo ya Afya Akili vikiungana lazima muwachukie watu. Eti Mtu anamchukia Mzazi au Mzazi anamchukia mtoto what a kid?
 
mheshimiwa shikamoo, nakusalimia, pole kwa msiba sukuma gengi. ☺️

Mimi mbona hujawahi niambia haya, haya uliyoyaandika hapa... 😒
 
mheshimiwa shikamoo, nakusalimia, pole kwa msiba sukuma gengi. ☺️

Mimi mbona hujawahi niambia haya, haya uliyoyaandika hapa... 😒
Marhaba. Kwakweli leo ni siku ngumu sana kwetu wana gang😊😊😊😊😊.
Hivi sijawahi kwambia hii kitu..Yaani we acha kabisa. Usinione hivi njia yangu ilikuwa ngumu saaaana hadi angalau kwa mbaali naskia halufu ya kasungura!
 
Wewe mwalimu mbona ni fukara wa kila kitu? Yani pesa hauna hata na utashi tu wa kawaida nao hauna? Hapa ndio umeongea kitu gani sasa, waalimu wote mtolewe humu jukwaani mtatuambukiza ujinga.
 
Wewe mwalimu mbona ni fukara wa kila kitu? Yani pesa hauna hata na utashi tu wa kawaida nao hauna? Hapa ndio umeongea kitu gani sasa, waalimu wote mtolewe humu jukwaani mtatuambukiza ujinga.
Kumchukia Mzazi au Mzazi kumchukia mtoto source ni Umasikini wa Akili .na uchumi
 
Marhaba. Kwakweli leo ni siku ngumu sana kwetu wana gang😊😊😊😊😊.
Hivi sijawahi kwambia hii kitu..Yaani we acha kabisa. Usinione hivi njia yangu ilikuwa ngumu saaaana hadi angalau kwa mbaali naskia halufu ya kasungura!
Na mapambano yamelipa! basi iendelee kuwa kheri! Nilichojifunza hadi sasa ni kwamba asiye hili ana lile! Waswahili na misemo yao.

Basi endelea kuomboleza, ukitoka niambie nikununulie kawine! ☺️
 
Hahahah nakumbuka kwa kwel mambo ya kupima joto la tv
 
Natamani serikali ingekua inatoa leseni ya kuwa mzazi, maana wengi sio fit kabisaa na wanazaa kila siku...
 
Pole sana mkuu kama huna maelewano mema na mama yako. My mom is my world ❤️
I thank God for her
 
Tanzania ina watu wengi ambao kila mtu anakua kwenye mfumo tofauti na mwingine, wewe kama umekua kwenye familia bora yenye upendo basi ni vyema sana ila sio huu utoto unao andika hapa ni aibu mno. Grow up man

Mkuu hakikisha unaishi katika upendo usifuge chuki unajua huku kwetu Tanzania watu neno upendo hawalijui Mimi nimepitia Hali Mbalimbali za chuki lakini siwezi kumfanyia Mtu chuki

Mimi Mama yangu alimfukuza mzee wangu katika Nyumba alizojenga mzee ,lakini mzee wangu now yupo peace kamsamehe na Mimi Mama namzungatia vizuri so chuki roho mbaya na kuchukia mme au mke au watoto chanzo ni Umasikini wa Akili then hapa chini ya jua tunapita tu to waste ur time to hate someone else ni upumbavu tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…