Kwa wale wana CCM mnaoutaka Urais 2030, Je mtaiweza nguvu ya Ridhwani Kikwete?

Ukiwa CCM yoyote anaweza kuwa Rais, ushahidi upo.
 
Kwani huyu ni nani?
Mbona hajaweza ku-deliver chochote cha maana katika nafasi alizokaa?
Sidhani kama hata atathubutu kusema kitu ktk haya!
Huitaji kuDeliver chochote kuwa kiongozi TZ. Uwezo sio sifa wala kigezo.
 
Ridhiwani ni Rais ajeye baada ya Samia, ccm tushajifunza,,hatutaki tena jamii ya watu wenye chuki na wauaji.
 
Ukisikia wakaanga mbuyu, sasa ndio hawa!,
Liwalo silo lisemwalo, bali liandikwalo ndilo liwalo, kama limeandikwa, ni limeandikwa, kama ni yeye, then ni yeye!, no one atazuia!.
P
Mkuu wakumbushe kuhusu Makonda wasimsahau.
 
Kwani uchaguzi 2025 ushafanyika?
Mnamjua Mungu ?
 
Tlaatlaah Lucas Mwashambwa
Njooni upesi, kuna madini ya kuwatoa ukungu na tongotongo machoni huku
huna haja ya kubabaika sana kwa upotoshaji na porojo za patapotea gentleman,

ishi na mambo haya mawili hapa chini, akilini na moyoni mwako wewe pamoja na wadau wengine wa jukwaa hili muhimu sana la siasa,

1. Mbeba maono ya waTanzania kuelekea uchaguzi mkuu wa october ya mwaka huu 2025 ni Dr.Dr.Samia Suluhu Hassan.
2. Agenda ya waTanzania kuelekea uchaguzi mkuu wa October 2030-2040 ni Dr.Emmanuel John Nchimbi, Full Stop.

nje ya hayo ni ushirikina
 
Huyo Dogo hatokuwepo.
 
Dogo,
Acha kukariri, ambatana na uhalisia halafu utanishukuru baadaye
 
Hizi ni ndoto za mchana. Nijuacho, Riz ni chawaa kama chawaaa wengine wa mother. Kwa sasa Tanzania inaweza kuongozwa na hata jogoooooo
 
Huyu 👆 ndio muda wa kurudisha jezi kwa kipa
 
Tuendelee kupiga Kasia pwani sio mbali 😀😀😀
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…