MESHACK WARIOBA
JF-Expert Member
- Mar 29, 2017
- 1,068
- 1,174
Mkuu hiyo ni Zamani sana Njia ya Kukusanya taarifa; Kwa sasa haitumiki sana hiyo;Mkuu kwani hujawahi kisikia UWT kujifanya vichaa?
Mkuu bora na wewe umeona hili; Yaan ni hoja za Vibanda vya kahawa kabisa;hoja ya reli ni dhaifu sana
1.Wepesi kulipa visasi(hurogana) wanaoroga Tabora si wanyamwezi pekee
2.Treni inasimama muda mrefu vichaa kutoka Kigoma hushuka hapa.
3.Bangi madawa ya kulevya njenje
{Isevya Chemchem Ng'ambo)
Jichanganye kuwa wote Vichaa shauri lakoKwa wale ndugu zangu wanyamwezi na wasukuma toka Tabora na watu mliowahi kufika Tabora mtakubaliana na mimi ya kwamba tatizo la wehu,wendawazimu na vichaa kuwa wengi lipo muda mrefu na kila siku linazidi kuongezeka mpka imefika hatua imekuwa kero sasa.
Eneo kama stendi mkuu hapo Tabora mjini kuna wehu na vichaa wanashinda pale wanapigana mitii hadharani wako uchi wa mnyama,ukipita njianindo usiseme katika watu sita utakaopishana nao basi watatu ni wehu ukipita soko kuu ndo usiseme wehu na vichaa wamejaa alafu hawana ustarabu siku akili zao zikifyatuka wanafanya fujo wanarusha mawe ovyoo waharibu biashara za watu yaani hawa viumbe wenzetu wamekuwa ni tatizo sana si mjini si vijijini wapo wengi kama juzi nilikuwa urambo soko kuu kuna mwehu nilimuona anajisaidia hadharani .
Lakini yote tisa hebu tuelezane ni kwanini katika huu mkoa wetu kwanini wehu, wendawazimu na vichaa ni wengi inawezekana labda mi nimekulia Dar labda sifahamu lakini nimetembea mikoa mingi ila Tabora too much.
Uislam mwingi sana na ushirikina uliokubuhu ndilo tatizo la Tabora, fika mkoa wowote hapa Tanzania unaondekeza dini ya kiislam LAZIMA utakuta unafiki na ushirikina unatawala huko. Kwa Tabora, ukimsema mtu kidogo tu, unatupiwa ukichaa, ukimshangaa mtu unatupiwa ukichaa kwa kusomewa Qur'an pia. Matokeo yake, jiji zima la Tabora, mjini karibu ya wakazi wote ni vichaa, wenye akili timamu ni waarab koko tu na baadhi ya wageni. Wenyeji wanasema vichaa wengi waliopo kwenye maduka ya wahindi Arusha na Zenji wamenunuliwa toka Tabora kwenda kuongeza rasilimali madukani mwa mabosi wao. Kiufupi, Tabora ni nyumbani kwa vichaa na misukulehapa East Afrika.
Hivyo unataka kusema dini ndo inafundisha hivyo?. Uje na vidhibitisho kama mtu mwenye akili timamuKweli Mkuu sehemu yenye mambo ya hiii Dini ya wenzetu mambo ya watu kuwa vichaa kwa wingi ni jambo la kawaida sana,Ukienda ata mikoa ya kusini Lindi,Newala,Mtwara na kwingineko huko ukichaa ni mwingi sana,wanaendekeza sana maswala ya kutupiana uchawi na kisomo kuliko maendeleo yao.
Naona umeamua tu kupinga hoja yangu kwa kejeli na matusi,ila nnachokwambia Mkuu hizo kanda nyingi ni dini kwa upande wa pili na nasema hivyo kwa uthibisho nilioshuhudia hiyo mikoa.Hivyo unataka kusema dini ndo inafundisha hivyo?. Uje na vidhibitisho kama mtu mwenye akili timamu
Uislam mwingi sana na ushirikina uliokubuhu ndilo tatizo la Tabora, fika mkoa wowote hapa Tanzania unaondekeza dini ya kiislam LAZIMA utakuta unafiki na ushirikina unatawala huko. Kwa Tabora, ukimsema mtu kidogo tu, unatupiwa ukichaa, ukimshangaa mtu unatupiwa ukichaa kwa kusomewa Qur'an pia. Matokeo yake, jiji zima la Tabora, mjini karibu ya wakazi wote ni vichaa, wenye akili timamu ni waarab koko tu na baadhi ya wageni. Wenyeji wanasema vichaa wengi waliopo kwenye maduka ya wahindi Arusha na Zenji wamenunuliwa toka Tabora kwenda kuongeza rasilimali madukani mwa mabosi wao. Kiufupi, Tabora ni nyumbani kwa vichaa na misukulehapa East Afrika.
Kweli Mkuu sehemu yenye mambo ya hiii Dini ya wenzetu mambo ya watu kuwa vichaa kwa wingi ni jambo la kawaida sana,Ukienda ata mikoa ya kusini Lindi,Newala,Mtwara na kwingineko huko ukichaa ni mwingi sana,wanaendekeza sana maswala ya kutupiana uchawi na kisomo kuliko maendeleo yao.
[emoji1] [emoji1] [emoji1] eti vicha kutoka kgm sio kweli kigoma hamna vicha kama tbr bana imezidi[emoji14] [emoji14]
Kiongozi mimi napinga hoja yako ya tumbaku kuwa chanzo cha vichaa tabora mimi nina ndugu zangu wakulima wa tumbaku muda mrefu sijaona chizi wala kichaaa lakini sikukataliii inawezekana ikawa kweliiii.
Lakini pia ushirikina pia upoo kiongozi
NIMETUKANA WAPI NIMELETA KEJELI IPI?Naona umeamua tu kupinga hoja yangu kwa kejeli na matusi,ila nnachokwambia Mkuu hizo kanda nyingi ni dini kwa upande wa pili na nasema hivyo kwa uthibisho nilioshuhudia hiyo mikoa.
NJOMBE INAONGOZA KWA MAAMBUKIZI YA UKIMWINaona umeamua tu kupinga hoja yangu kwa kejeli na matusi,ila nnachokwambia Mkuu hizo kanda nyingi ni dini kwa upande wa pili na nasema hivyo kwa uthibisho nilioshuhudia hiyo mikoa.
Kwa uzoefu wangu mikoa ya Tanga, Lindi, Mtwara, Morogoro hasa Kilosa, Tabora, Kigoma na Shinyanga hasa Tinde hili tatizo lipo sana.
Pia nchi kadhaa za kiarabu nilizobahatika kutembelea kama UAE, Oman na Misri kuna hii shida pia.
Uchunguzi wangu wa kijamii ulinionesha kuwa, kwa wenzetu wenye asili ya Arab na wenye kufuata imani ya Kiislam kwao kuoana Mabinamu ni jambo la kawaida.
Kisayansi ndugu mnaochangia damu mkipeana ujauzito, ni rahisi sana mtoto huyo kuwa na matatizo ya aidha kigenetic au kisaikolojia.
Na kwa sababu hii ndiyo maana tatizo la watoto vichaa au wenye maajabu huzaliwa sana miongoni mwa Jamii ya watu niliowataja kutokana na Tabia yao kuoana ndugu kwa ndugu.
Sent using Jamii Forums mobile app